"Mgonjwa" wetu Kinana Mbona hatembelewi kama wengine?

Kwani aliyeleta mada ni Mtu wa Chadema?, how do you know that?
Swali Zuri Kabisa, Mimi sina Chama, Chama Chochote Kikisimamia Uhuru na Haki, Rais wa Chama Chochote akichaguliwa Kihalali, akaongoza kwa haki, akajali sheria, akasimamia katiba bila kupinda akajali utawala wa sheria na asiwe na hila, Sitajali ni Mmasai au Myamwezi, Mmakonde au Mgogo, Mwislamu au Mkristo Ukawa au CCM Mzawa au Mhindi au Mwarabu, Nitamheshimu nitamuunga Mkono na Nikisema lolote dhidi yake Mungu anilaani. Ila Kinyume na hapo hata Akiwa Baba yangu Mzazi au Kaka yangu baba mmoja baba mmoja, Nitampinga! I hate Injustice with all my Veins, na Injustice hata Ukimfanyia ambaye unadhani anastahili kibinadamu bado ni uovu!
 
Wanafiki katika ubora wao
hahaha eti leo wanauchungu na Kinana!!
Hoja kwisha
chezea magu!!
Awamu hii mtakimbia mpaka Vivuli vyenu
Sisi tunatetea haki ya kila mtu bila kujali chama cha muhusika.

Kinana sio mtu wa kuwekwa kizuizini chini ya ulinzi hivi kama gaidi, mtendeeni haki Kinana.
 
Hahaaaa....hakika sasa nimeamini hapa Tanzania hakuna vyama vya upinzani.

Watu wote ni wanaCCM na baadhi yao ni wanaCCM bila hata kujijua!

Ndo maana wanajali yanayojiri ndani ya CCM [yawe ya kweli au ya kizushi].
Ninachofahamu ni kuwa wengi wanataka kujua ukweli wa uvumi unaoendelea kuwa jamaa flani yuko kizuizini baada ya kutoa kauli tata juu ya mwenye yote, na mwenye yote akamjibu kuwa hapangiwi na mtu kwani fomu alichukua mwenyewe.
So hizi chokochoko zote ni watu kuutaka ukweli.
 

Unajua unaongea Utumbo lakini ni haki yako, Kama ni Silly move on unatumia Muda, energy na mishipa inakutoka kujibu "upuuzi" huwa mi nikiona hoja ya kipuuzi hata sisomi, Usitake nicheke mpaka nitapike ulimi
 

Ni upuuzi tu.

Hata Mwamunyange ilikuwa hivihivi....
 
Unafikiri huyo jamaa haelewi kinachoendelea?

Huyo ni mkolomije amepanic
 
Thank you! Huyu Nyani haelewi, jambo ambalo Hata Masokwe wangenielewa Kirahisi oops Labda ni kwa kuwa Masokwe hawana Mikia! I heard that developed species lose their tails so that the need will not arise to grab the tail of the one in the front and follow him blindly!
 
Kwa mujibu wa ITV Kinana atahudhuria msiba wa wanafunzi na walimu wa Lucky Vicent Arusha siku ya kesho j3
 
As long as umeshahoji, kesho utaanza kupata taarifa za huyo bwana kutembelewa, i know the politics of this Tanzania!
Tayari ITV katika habari ya usiku huu wametangaza kuwa atakuwa Arusha kesho
 
Ni upuuzi tu.

Hata Mwamunyange ilikuwa hivihivi....
Sawa, Mwamunyange hakuna Mtu aliyesimama na Kusema amemtuma India kwa Matibabu kwa siku 14 as if ni Doktari anayejua matibabu yatahitaji siku ngapi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…