Mgomo wa Wahadhiri na Wanafunzi UDOM 2011

huo ni mwanzo tu najua viongozi wa chuo huwa wanajaribu kutumia kila mbinu ili UDOM ionekane haina migomo na mara nyingi waandishi wa habari wa dodoma wamwkua wakipewa kitu kidogo ili kuficha ukweli. ukweli ni kwamba usanii umezidi chuoni hapo hata hao wanafunzi wa education walioenda field walifanyiwa usanii tu walimu walioenda kuwafanyia assessment walipewa wiki moja kukamilisha zoezi hilo kitendo ambacho kilisababisha walimu kufanya table assessment bila kuhudhuria darasani kuona jinsi walimu wanavyofundisha. UDOM ina matatizo mengi sana ya kiutawala ambayo yasipochukuliwa hatua wahitimu wa pale hawatakua na dili katika soko la ajira. Uongozi ulifikiri unaweza kuwadhibiti wanafunzi hao siku zote likini wanatakiwa wafahamu kwamba chuo hicho kina wanafunzi wengi sana na hivyo wasifikiri wataweza kuwanyamazisha kitu cha msingi inabidi wawatatulie matatizo yao. nimesikia mpaka muda huu vita inaendelea kati ya FFU na wanafunzi ambao wanafanya mashambulizi yao kutokea kwenye vichaka na mapori yaliyokizunguka chuo hicho.
 
no remorse whatsoever... watoto walijisahau sana hawa shenzi type
 
Hao waache tu wateseke si makada wa ccm,wenyewe waliona ccm ni damu damu kumbe weza walikuwa nataka kura yao tu.wameshapewa kura yao now wanaonekana wajinga tu.
Makada wa ccm hao waacheni wateseke huko kugoma hakusaidi kitu.
 
Tesekeni tu hamna mana nyinyi udom, ni kweli hawa ndo waliomchukulia fomu jk na kuizungusha nchi nzima .sasa wanagoma nini?
Pumbavu zao ,binafsi wananichefua tu hapa.
 
Hao si ndio walikuwa wanaipongeza CCM juzi, na kupinga CHADEMA ku-walk out bungeni, imekuwaje tena?

Let us be realistic and honest, hata kama ruling party ingekuwa CHADEMA, matatizo yote hayawezi kuisha kwa wakati mmoja. Kilichopo hapo, management ishughulikie tatizo na ilimalize haraka sana vijana waendelee kupata nondoz.
 
where is CCM when you need them

Yawezekana Maralia Sugu yupo busy kuwatatulia huo mgogoro t-shirt na kofia wamevaa kumbe vyoo vyao havina maji hahahaha si bora wangekataa hizo ugua pole ili wachimbiwe visima hapo UDOM
 
Yawezekana Maralia Sugu yupo busy kuwatatulia huo mgogoro t-shirt na kofia wamevaa kumbe vyoo vyao havina maji hahahaha si bora wangekataa hizo ugua pole ili wachimbiwe visima hapo UDOM
Thanks mkuu kwa kunikumbusha kofia na tisheti... wazikamue basi zitoe maji, LOL
 
Hao si ndio walikuwa wanaipongeza CCM juzi, na kupinga CHADEMA ku-walk out bungeni, imekuwaje tena?

Let us be honest and realistic, hata kama ruling party ingekuwa CHADEMA, matatizo yote yasingeisha kwa wakati mmoja. Cha msingi ni kwamba, management ya chuo ishughulikie tatizo hilo kutoka kwenye bajeti yake.
 
Hivi hao si wale waliomchangia JK ili achukuel form !!!! Wangelijua hilo wangechangia uchimbaji visima vya maji hapo chuoni...... Nilishasema hao vijana wanamchangia JK/CCM for what for ?? just in this poor country !! Kweli hiki ni Chuo Cha KATA !!!
 
Hata kama wasingemshobokea huyo Kikwete na kumchangishia hela ya kuchukula fomu mambo yangekuwa hayohayo tu! Tuko wapi wakina sisi tuliokuwa hatumtaki?!
Ila kwa sasa ngoja wale jeuri yao ndo wajue kama walikuwa wanalipitisha kuti kavu...
 
Sipati picha mabango watakayobeba yatakuwa ya kumlaumu nani; serikali ya CCM?
 
Teh teh teh vijana kazeni but vyoo vya nini someni kwanza vyoo badaye mkipata kazi
 
Wapuuzi sana hawa vijana walikuwa wanachekelea kupewa pilau na soda za CCM sasa wanagoma nini wakati ujinga wao na kutofikiri who are their real enemy kwa maendeleo yao ya kishule na taifa kwa ujumla
 
Wanagoma kulalamikia maji!!! These are simple minded kids. Walitakiwa kurudi nyuma zaidi, kujua ni nini kinasababisha maji kutopatikana. Hawa ni kama watu waliowashangilia wakata bomba (CCM) linaloelekea nyumbani kwao halafu walipofika nyumbani kuona maji hayatoki, wanaghadhabika na kuanza kuwabughudhi majirani wakiuliza kwa nini maji hayatoki. Wache wajifunze, siku moja watakuja kuujua ukweli kuwa ADUI MKUBWA WA USTAWI WA WATANZANIA NI CCM BILA YA KUMTOA HUYO TUNATWANGA MAJI KWENYE KINU.
 
Back
Top Bottom