Chuo kikuu cha Dodoma katika college ya Sayansi ya jamii(College of Social Science and Humanities) wamegoma kwa sababu hakuna huduma ya maji hapo chuoni kwao pia wanadai waruhusiwe kufanya Field,maana chuo kimewaambie hawatafanya field bila maelezo ya kutosha.....hadi mda huu njia ya kuelekea chuoni imefungwa na magari hayaruhusiwi kuingia wala kutoka chuoni hapo.