Mgomo wa wafanyakazi wasitishwa kwa muda

I cant wait kumsikia Mgaya anasemaje juu ya madai kwamba
....eti walichosaini ni tofauti na wanachokuja kutuambia (wanatudanganya)
.....eti alimuomba Kapuya atangaze viwango tofauti na makubaliano ya kikao chao
....eti kuna maslahi yake binafsi

abovu all tujue kesho nini hatima ya mpango mzima wa mgomo??
 
Ni swali zuri ila nadhani mkulu amechemka kwa jinsi alivyolijibu anyway tusubiri kauli ya rais wa TUCTA kufukuza wafanyakazi 300,000 halafu ukasema utaajiri wengine ni uongo na mkwala mbuzi. Unaignore wale professional zao?, experiences, networks ambapo vitaigharimu serikali mabilioni kama sio matrilioni ya shillingi katika kuzipata hadi serikali ikawa inaenda kwa utaratibu. Vilevile wafanyakazi serikali ni wananchi ambao familia zao zinawategemea. Hawa wengi wao ndio hao hao wapiga kura wa tanzania. unaposema watu laki 3 hawakubabishi sijui tukuelewa vipi tukiconsider kila mtu ana mke au mume ni laki 6 kwa hesabu ya haraka. tukisema kila mmoja ana watoto wawili walio juu ya miaka 18 ni milioni 1.2, tuseme kila mmoja ana rafiki moja mpenzi ni milioni 1.5, tuseme kila mmoja ana ndugu wawili ni 2.4 millioni na tuseme ana mzazi mmoja ni 2.7 millioni hawa ni watu wa karibu ambao wako sympathise na hao uliowafukuza sasa jiulize hawa wakikataa kukupigia kura itakuwaje???? na bado wale ambao wako nje ambao nao wako sympathetic na wagomaji utakuta jumla ya wananchi milioni 9 hawakupigii kura je itakuwaje??? Ni hesabu tu za haraka haraka kila la kheri mkulu nilikuwapo!!!!
 
tupe mbadala na wewe

Njia nzuri ni ya mazungumzo na tunajua hizi pande mbili yaani TUCTA na SERIKALI bado wapo kwenye mazungumzo! Kwanini hawa TUCTA watulazimishe kugoma wakati bado muafaka haujafikiwa? Tusubiri
 
mgaya weeeeeeeeeeeeeeeee.toa tamko tu nchi haina uongozi ni kutishana tu sasa,,nawewe tunisha misuli mwambie na yeye asipoangalia ataingia kwenye meza ya mazungumzo na plasta mdomoni
 
Njia nzuri ni ya mazungumzo na tunajua hizi pande mbili yaani TUCTA na SERIKALI bado wapo kwenye mazungumzo! Kwanini hawa TUCTA watulazimishe kugoma wakati bado muafaka haujafikiwa? Tusubiri
Tusubiri for how long maana mazungumzo hajaanza jana wala juzi ni miaka nenda rudi.
 
Tunasubiri kwanza tamko la Mgaya na TUCTA

MGAYA NI NANI NA TUCTA NI NANI???????????.
Kwa mawazo yangu,Mgaya anapewa jukumu la kuongoza ujumbe wa wafanyakazi Tanzania nzima.
Hata JK jana kakosea kumtaja Mgaya kama issue ni ya mtu binafsi.
Mgaya katumwa na wafanyakazi wote.

SUBIRI HIYO KESHO UTAONA KILICHOMKIMBIZA JAMAA WA SYSHELIS.
 
Nimesikia mgomo umehairishwa Tucta watatoa tamko tarehe 8. Hoja za rais kupitiwa kabla ya kujibiwa.
 
Njia nzuri ni ya mazungumzo na tunajua hizi pande mbili yaani TUCTA na SERIKALI bado wapo kwenye mazungumzo! Kwanini hawa TUCTA watulazimishe kugoma wakati bado muafaka haujafikiwa? Tusubiri

mazungumzo eeeeh!!! unajua hizo negotiations zimeenda kwa miaka mingapi? kila mei mosi ahadi hewa..........

hapa hamna mazungumzo tena, yameshindikana...................toa mbadala mwingine huo sahau
 
Nimepata habari kuwa Mgaya yupo hewani akitoa tamko la TUCTA. Na kwamba mgomo umesitishwa rasmi. Tunasubiri ripoti kamili.
 
Mgaya amesema kuwa wametoa nafasi kwa ajili ya mkutano wa tarehe 8 May.
 
????? Nilifikiri watakuwa na 'guts' kama za wale jamaa wa mashati mekundu kule Thailand kumbe ........
 
Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaagh! ntagoma kivyangu na mamsapu wangu.
 
Tusing'ang'anie kugoma..... tuangalie faida na hasara za kugoma! Wewe hujiulizi, kugoma ndio njia pekee ya kupata ufumbuzi?

Sikushangai hata Chembe. ila kwa kifupi wewe ni fisadi kama sio zuzu.

What am I saying.
Serikalini kuna Aina Mbili ya wafanyakazi.

Wale wanaishi kwa paying slip, na wale ambao hawajawahi kuangalia mshahara umeingia kwenye account au la.

Very simple Example:
Wewe ni mwajiriwa wa serikali unaishi Dar. unafamilia ya mke na watoto 2. Just tell me. how will you survive with a take home salary of 315,000?

Naomba mwana JF yeyote ambaye kweli anaweza kumudu budget ya hii amount atushushie hapa!!!

This is horrible if not terrible
 
hivoooooooooooo!!!!??

Ndo hivyo mdogo wangu. Ila nasikia Mgaya anashangaa kwa nini Rais ameamua kung'ang'ania mkutano wa tarehe 8 May wakati hoja mbili zilikuwa tayari zimepata maamuzi (i.e kima cha chini na pensheni.. walikuabaliana kutokubaliana) na kilichokuwa kimebaki ni suala la kodi kwenye mishahara. Mgaya amesema kuwa watu waende kazini na mipango mipya itatolewa baada ya mkutano huo.

Wallah uhai ni mtamu sana. Yaani jinsi JK alivyotishia kumshusha mtu ngiri sioni ajabu kwa TUCTA kuchomoa!
 
Unakumbuka wale FFU enzi zile? Mkuu ulikimbilia Dark City!
 
Wafanyakazi tutagoma?....
FEAR= Forget Everything And Runaway
FEAR= Face Everything And Recover.
which fear do wafanyakazi will choose?...Is your life and for your next generation.

the Lorld is my shepherd I follow him always.
 
Back
Top Bottom