Mgomo wa wafanyakazi wasitishwa kwa muda

Kutembea virungu hiyo ni kawaida kwa askari wa kibongo, cos hata kama majambazi wamevamia sehemu bbada ya tukio mtakao kutwa kichapo kitawatembelea na rupango utaswekwa
 
rais wa TUCTA na timu nzima watulie tu na ninajua ni watu wenye hekina,akili,mawazo,busara na nia njema kwa maslahi ya watanzania wafanyakazi ambao ndio tunaolisha jamii hii ya kitanzania kwa icho kipato kidogo,hawatakuja na MIPASHO VIDOLE JUU kama hili bw***ge maana ataonekana/wataonekana wajinga wote tu...watu wenye akili utawajua na pumba utazijua
ila kwa hili la maslahi na mustakhabari wa taifa la tanzania hatutalifumbia jicho.unajua sii lazima watu wapande jazba au waandamane ila majibu/matokeo mbona yapo tu???

yeye ni muajiri mkuu na muajiri anaajiriwa na nani?sisi ndio tumemuajiri (nanzi zaidi,jadili)
 
Wengi wao walikuwa wajumbe wa halmashauri ya ccm ya wazee.Na nadhani waliandaliwa maalumu kwa ajiri ya kupiga makofi na kuitikia chorus ya mipasho/taarabu.

hao wazee wamenickitisha sana, halafu kesho wanajilaza road kushinikisha kulipwa pesa zao za jumuia, kwanini hakuongea na wasomi wake wa vyuo vikuu?
 
Umesitishwa hadi mwezi wa sita. PM aliwaomba wafanye hivyo. Sasa sijui kipi kitafuata. Sijui watafukuzwa kazi au laa. Ila yote ni tisa, hili la MIGOMO kama Kikwete akirudi tena madarakani, basi atashuhudia MIGOMO isiyo na kichwa wala miguu. Nampa pole.

nchi hii ya ajabu sana.
 
Kwa mtu mweny busara, akiona kwamba akienda vitani atashindwa, hurudisha majeshi nyuma na kujipanga upya.
Nawashauri wafayakazi kama wanaona wameshikwa pabaya waairisha mgomo na wajipange upya.
Kwa kauli za JK, inaonesha kuna msukumo toka nje unaowafanya wafanyakazi wagome, sijui ni homa ya wapinzani wa CCM au vipi.

Hivyi viongozi wa vyama vya siasa wanasemaje wao kuhusu huu mgomo?

Virungu vitatembea!!!!
Kama wewe ni mwanajeshi hufai kwenda vitani unaogopa mkwara wa adui na kugeuka nyuma hata vita havijaanza, wanajeshi wa aina yako hupigwa risasi mgongoni aidha na adui au mwanajeshi mwenzake maana hufai.
 
Hilo ndilo wengi wetu tunasubiri. Labda wamkamate kabla ya kusogelea mic. Lazima TUCTA itoe maelekezo kwa wanachama wake. Vinginevyo tutasambaratika kwa aibu kama Ma-Profesa wetu walioshindwa kuhimiri vishindo vya kuku. Shame on them!!

lol wee kiboko!!hahahahahaaaa
 
Hivi ule mgomo wa maprof wa vyuo umeishia wapi?
Niliambiwa uliisha kwa aibu!
Umesitishwa hadi mwezi wa sita. PM aliwaomba wafanye hivyo. Sasa sijui kipi kitafuata. Sijui watafukuzwa kazi au laa. Ila yote ni tisa, hili la MIGOMO kama Kikwete akirudi tena madarakani, basi atashuhudia MIGOMO isiyo na kichwa wala miguu. Nampa pole.

Sina hakika, ila unaweza kuwa sahihi. Ila mimi niliambiwa kuwa viongozi wa wahadhiri ambao ndio walikuwa wanaratibu mgomo walichimbwa mkwara wa nguvu wakajiuzulu na mgomo ndo ukafa kifo cha mende. Niliambiwa kuwa Dr Nanyoro wa UDSM pamoja Prof Assey wa SUA (ambao ndiyo wakuwa viongozi wa umoja wa wahadhiri) waliamua kuachia ngazi.
 
maprofesa wameonyesha woga wa hali ya juu...walirudi kazini kirahisi mno. walitishwa kuwa mgomo ni batili na kuwa maswala yao yatashughulikiwa wakati wa bajeti. mabadiliko kwa tanzania ni magumu mno. kama wasomi ni cowards je hao kima cha chini? nimeongea na baadhi yao wenyewe wanadai kweli walipotoka walikuwa hawana sababu za msingi za kugoma/hawakujipanga vizuri...it is a shame...at the first place waligomaje sasa...biila kutafakari?? ishu wametishwa kidogo tu wakajua mwisho wa mwezi unaweza pita bila fungu wakafyata mkia!!
 
Msomi akiamua kuwa coward ni hatari zaidi kuliko wale wazee njaa!
 
Tusubiri tuone..... Ila Wakitusaliti najiondoa chama cha wafanyakazi. Bora niwe peke yangu maana haina maana kuwa kwenye umoja wowote.
 
Niligoma nikiwa nasoma Chuo sikupata Chochote... zaidi nilijipotezea muda wangu wa kusoma.... Sasa na kazini tena nigome???? Hata! Namuheshimu Raisi wangu!
 
maprofesa wameonyesha woga wa hali ya juu...walirudi kazini kirahisi mno. walitishwa kuwa mgomo ni batili na kuwa maswala yao yatashughulikiwa wakati wa bajeti. mabadiliko kwa tanzania ni magumu mno. kama wasomi ni cowards je hao kima cha chini? nimeongea na baadhi yao wenyewe wanadai kweli walipotoka walikuwa hawana sababu za msingi za kugoma/hawakujipanga vizuri...it is a shame...at the first place waligomaje sasa...biila kutafakari?? ishu wametishwa kidogo tu wakajua mwisho wa mwezi unaweza pita bila fungu wakafyata mkia!!

Kwa mtazamo wa serikali ya CCM, ni mgomo upi uliwahi kuonekana halali? sitaona ajabu serikali imekwenda makamani ku-seek injuction ya kusema mgomo siyo halali, na mahakama ikatoa ruling usiku wa manane ili Tucta wasipate nafasi ya kupinga. Ilishatokea hii kuhusu mgomo wa walimu. Nchi hii ya ajabu kweli!
 
Tatizo letu kubwa hatujui haki zetu, tulitegemea maprofessor waliosoma nchi za watu wanatambua sana mambo ya haki zao za msingi. lakini imekuwa tofauti wamekuwa waoga kupindukia na zaidi ya hapo wakawa kama watoto wakaanza kutajana eti flani ndo anataka kuhimiza mgomo! kwa kweli ni aibu kubwa sana. swali la kujiuliza ni nini basi wanawafundisha vijana wetu wanaowafundisha? ndo hao vijana ambao watakuja maofisini na kutii kila kitu.
 
Niligoma nikiwa nasoma Chuo sikupata Chochote... zaidi nilijipotezea muda wangu wa kusoma.... Sasa na kazini tena nigome???? Hata! Namuheshimu Raisi wangu!

Karibu JF: Kwako nasema kitu kimoja tu : 'Miafrika ndivyo ilivyo' - Bara hili halitaendelea popote kwani viongozi na idadi kubwa ya wakazi wake ni mbumbumbu kupindukia.
 
Niligoma nikiwa nasoma Chuo sikupata Chochote... zaidi nilijipotezea muda wangu wa kusoma.... Sasa na kazini tena nigome???? Hata! Namuheshimu Raisi wangu!

umenisaidia kuupdate ignore list!
 
Kugoma kunahitaji MOYO! Nchi hii unaweza kuamua kugoma, kumbe ukajikuta uko peke yako.. Tukikuwa tutafanya! Lakini sasa MBAAAADO!:gossip:
 
Tusing'ang'anie kugoma..... tuangalie faida na hasara za kugoma! Wewe hujiulizi, kugoma ndio njia pekee ya kupata ufumbuzi?
 
Tatizo letu kubwa hatujui haki zetu, tulitegemea maprofessor waliosoma nchi za watu wanatambua sana mambo ya haki zao za msingi. lakini imekuwa tofauti wamekuwa waoga kupindukia na zaidi ya hapo wakawa kama watoto wakaanza kutajana eti flani ndo anataka kuhimiza mgomo! kwa kweli ni aibu kubwa sana. swali la kujiuliza ni nini basi wanawafundisha vijana wetu wanaowafundisha? ndo hao vijana ambao watakuja maofisini na kutii kila kitu.
Tusubiri tuone..... Ila Wakitusaliti najiondoa chama cha wafanyakazi. Bora niwe peke yangu maana haina maana kuwa kwenye umoja wowote.
maprofesa wameonyesha woga wa hali ya juu...walirudi kazini kirahisi mno. walitishwa kuwa mgomo ni batili na kuwa maswala yao yatashughulikiwa wakati wa bajeti. mabadiliko kwa tanzania ni magumu mno. kama wasomi ni cowards je hao kima cha chini? nimeongea na baadhi yao wenyewe wanadai kweli walipotoka walikuwa hawana sababu za msingi za kugoma/hawakujipanga vizuri...it is a shame...at the first place waligomaje sasa...biila kutafakari?? ishu wametishwa kidogo tu wakajua mwisho wa mwezi unaweza pita bila fungu wakafyata mkia!!

Ok,Let us wait for the time to blust.
 
Back
Top Bottom