Mzee wa Bonde
New Member
- Oct 28, 2009
- 2
- 0
Subira huvuta heri. lakini ngoja ngoja uumiza matumbooooooooooooo!!!!!!!!!Chelewa chelewa utakuta mwana si wako................. sasa tufanyeje?????????
mipango mipya..............tunaanza ku-scratch tena!! mpaka 2015 tena!!!
mkubwa wangu nimeishiwa manaeno ngoja nikajipe raha, maisha yenyewe magumu, mafupi agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!
Mgaya umetusaliti?Ndo hivyo mdogo wangu. Ila nasikia Mgaya anashangaa kwa nini Rais ameamua kung'ang'ania mkutano wa tarehe 8 May wakati hoja mbili zilikuwa tayari zimepata maamuzi (i.e kima cha chini na pensheni.. walikuabaliana kutokubaliana) na kilichokuwa kimebaki ni suala la kodi kwenye mishahara. Mgaya amesema kuwa watu waende kazini na mipango mipya itatolewa baada ya mkutano huo.
Wallah uhai ni mtamu sana. Yaani jinsi JK alivyotishia kumshusha mtu ngiri sioni ajabu kwa TUCTA kuchomoa!
hahaaaa mi nilijificha kule unit six karibu na nyumba ya dean
Mgaya umetusaliti?
Mgomo ulipaswa kuendelea sambamba na mazungumzo; makubaliano yakiwepo mgomo unasitishwa yasipokuwepo mgomo unaendelea. Sasa kama katika masuala ya msingi kama kima cha chini na pensheni mlishakubaliana kutokubaliana na jana umemsikia JK akisema hata mkigoma miaka 8 hamuwezi kupata hizo 315,000/=, sasa unategemea hiyo tarehe 8 may mzungumze nini?
Ulipaswa kutorudi nyuma; na kwa kweli umedissapoint wafanyakazi wengi, umeonyesha woga kuliko hata JK aliouonyesha jana. Nina wasiwasi kuwa ukiitisha mgomo mwingine hutapata wafuasi!.
Mgaya amefanya maamuzi ya busara sana, kuliko angeingia kwenye marumbano na mwenye nchi.... Ila yana mwisho haya wazungu wanasema the end justfy the means
Je itakuwaje kama hata hao FFU wa JK nao watajiunga kwenye mgomo wakidai maisha mazuri kama ya wenzao kule Mwenge??????
hahaaaa mi nilijificha kule unit six karibu na nyumba ya dean
definition of fear is forget everything and run away, this is for tanzania mainland, andyaani rais alisimama akamwaga radhi ,watu wamekua wapole namna hiyo?
Kweli tanzania watu ni wabinafsi,kwa hali hii hata ccm wataendelea kujikita madarakani.huku ni kujidhalilisha,poor us.wanamapinduzi tuko wapi?hivi kweli hakuna watu wenye uzoefu na migomo ktk kulazimisha maslahi yao yatiliwe maanani?yaani vitisho alivyotoa jk vinafanana na vitisho alivyokuwa anatutolea headmaster wa shule moja,lakini tuligangamana mpaka tukapata haki yetu na kukomesha udikteta wa kishenzi kwenye ile shule. Ati ffu watawapiga mkigoma?kivipi yaani?
Yaani jinsi rais alivyoongea jana bila busara,anaweza kubadilisha misimao ya watu wenye busara?
Eti ubalozi wa RWANDA uko wapi hapa nchini? nasikia kuna nafasi za KAZI.
Siwalaumu TUCTA, inawezekana wamefanya strategic withdrawal. Inaruhusiwa katika uwanja wa mapambano. Ila kama wamesitisha kwa sabab ya kuogopa plasta basi ni hatari.
Mimi nimefurahi sana kwani ni hatari kwenda vitani wakati makamanda hawajui kwa nini wanapigana na mbinu gani za kushinda vita. Ndo maana wahadhiri na ujanja wao wote wa kunyaka vijana wamepigwa tobo! Kunji siyo mchezo, linataka wanaume wa shoka; na siyo kila kikojozi anaweza kuongoza kunji!
Nenda kapate Juice ndugu yangu. Nirushie bill nitalipa tu!
Duh sikutegemea kwa kweli...........yaani HAKUNA MGOMO!!!!