Mgomo wa wafanyakazi wasitishwa kwa muda

Huu ndo wakati wa kurejesha/kuanzisha upya harakati za kudai maslahi bora,lakini inavyojionyesha ni kwamba wameridhishwa na hiki kiduchu kilichoongezwa kinyemela.Shime wafanyakazi wa Tanganyika simameni kudai haki zenu,wakati ni huu!
 
Kama Bajeti ya jana itapita basi kuna haja ya kurejesha mgomo huo.
 
Dr. Slaa, Chadema mkipata nafasi ya kuunda serikali, kima cha chini kitaanzia kiasi gani na mtatoa wapi fedha za kulipia hilo?

Tunahitaji fikra zako wewe mwenyewe kuchunguza madhaifa ya serikali inapokwama ktk kukusanya mapata na pale inapotumia vibaya rasilimali asili za nchi pamoja na mislocation of human resource,vandalism,theft,extravagantism na mengineyo. Tunaamini kama tutatumia vizuri mafungu haya uwezo wa kuongeza mishahara upo mkubwa lakn pia ukisoma risala ya mwisho ya Tucta utaona namna walivoishauri serikali namna ya kuongeza mapata.,lakn nawe pia mchanga wako wa kifikra unahitajika.
 
Back
Top Bottom