Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,038
- 12,104
Endelea kumiliki mkokoteni ambao hauna kero yoyote barabarani.Si uache hiyo kazi? Shida madereva hawataki mfumo wa kukatwa poiny hizo rushwa ndiyo mnapenda iendelee maana inaficha makosa yenu
Ukimiliki hata ka IST tu ndiyo utaelewa tunachosema.