mgomo wa madereva

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa wito kwa Madereva waliofungiwa Leseni zao kuzifuata

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ametoa wito kwa madereva kufuata sheria na kanuni za usalama barabarani baada ya kushughulikia mashauri ya madereva waliowasilisha malalamiko yao wakati wa changamoto ya madereva wa mabasi iliyotokea Septemba 29, 2026, katika maeneo mbalimbali...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Madereva: Je, Viongozi Wetu Wana Taarifa Sahihi au Wanaingizwa Mkenge?

    Mgomo wa madereva au wamiliki wa vyombo vya usafiri unapotokea, huathiri kwa kiasi kikubwa sana maisha ya wananchi wa kawaida—kama wapo wanaokosa kuhudhuria harusi, misiba ya wazazi, mahojiano ya kazi, au hata matibabu ya dharura. Poleni sana wote mliopatwa na madhara haya. Tathmini yangu...
  3. Pfizer

    JamiiForums Tanzania DAWASA YATEGUA KITENDAWILI GHARAMA UONDOSHAJI MAJITAKA KIGAMBONI

    Wakazi wa Kigamboni wanatarajiwa kupunguza gharama za uondoshaji wa majitaka baada ya DAWASA kukamilisha ujenzi wa mitambo miwili midogo ya kuchakata majitaka katika Kata za Vijibweni na Gezaulole zenye wakazi zaidi ya 410,400 Mitambo hiyo yenye thamani ya Sh2.3 bilioni imejengwa kwa ajili ya...
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mmoja anakwenda pale kukagua shughuli za usafirishaji wa abiria na mwingine anakwenda kufuatilia mgomo wa madereva

    Mmoja anakwenda pale kukagua shughuli za usafirishaji wa abiria na mwingine anakwenda kufuatilia mgomo wa madereva. Je, wananchi na wafanyabiashara washike lipi?
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu akutana na viongozi wa Madereva, mgomo wasitishwa

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 30, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa madereva wa mabasi na malori nchini, katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo hayo, viongozi hao wamekubali kusitisha mgomo wa madereva uliodumu...
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba kutinga mchana huu Stand ya Magufuli. Kutatua mgomo wa madereva

    Mwigulu Nchemba kukagua hali ya usafirishaji wa abiria na kuzungumza na wananchi pamoja na madereva. Ziara hiyo itafanyika leo, Jumatano, 30 Septemba 2026, katika Kituo cha Mabasi Magufuli, Mbezi Luis, Dar es Salaam. Anayejiita Waziri wa mambo ya ndani Patrobas Katambi hana mvuto wala...
  7. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Madereva nchi nzima: hii si dalili njema kwa serikali!

    Madereva si wachache nchi nzima. Kwamba wameweza kuanzisha mgomo nchi nzima ya Tanzania ni suala limetugutua kidogo. Tunaona serikali iko katika panic mode- hawakujua hili linakuja. Hilo ni somo kwa serikali na vyombo vyake. Tunasikia kila siku kuna intellijensia, sasa hivi wamevuliwa msuli...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Abiria waliokosa usafiri kufuatia mgomo wa madereva, wanaweza kufungua kesi ya kudai fidia dhidi ya makampuni ya mabasi?

    The point is; Msafirishaji alipokea pesa ya nauli na alimpa biria tiketi ya safari ya kwenda mji mwingine kwa ajili ya safari iliyotajwa. Abiria aliripoti ipasavyo katika kituo maalum cha kupandia na akasalia akiwa tayari na mwenye nia ya kusafiri. Muda maalum wa kuondoka ulipita, na...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Katambi: Kama kuna dereva amekatwa point atakuwa ameonewa na amlete aliofanya hivyo hatua zichukuliwe

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema hadi sasa hajapokea malalamiko kutoka kwa madereva kuhusu kukatwa point kwenye leseni zao, na kuongeza kuwa endapo kuna dereva amekatwa point, amfikishe mtu aliyemkata ili hatua zichukuliwe. Pia soma: Mgomo wa Madereva na Wafanyakazi...
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa madereva Utaondoka na Vyeo vya watu

    Mgomo huu ndo kielelezo cha kwamba watendaji na Wateule wa Samia hawajalli Shida za Wananchi. Yaani wanafanya kazi kwa Vitisho na Ubabe mwingi sababu hawajateuliwa. Serikali inayowajibika kwa Wanancgi lazima ifanye mabadiliko. Watu wanakaa Ofisini muda mrefu na kufanya kazi kwa Mazoea...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Polisi Wang’oa namba za magari, madereva waliogoma kuondoa mabasi Stendi ya Magufuli

    aada ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando kuwataka madereva kuyaondoa mabasi yao katika Stendi ya Magufuli kwani muda wa kukaa ndani ya stendi hiyo umeisha, Jeshi la Polisi limeanza kuondoa namba za magari kwa mabasi ambayo madereva wake hawajayaondoa. Msando ametoa kauli hiyo leo...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa madereva wa mabasi ni haramu hawatakiwi kuchekewa

    Ninasikitishwa na kadhia ya mgomo wa madereva wa mabasi wanaoshinikiza eti wasikatwe pointi kwenye leseni zao wanapofanya makosa. Pamoja na hayo kuna mmoja nimemsikia akisema eti wanatozwa faini hata mara tatu ya kosa la kuzidisha mwendo na kwa hiyo anaona alistahili kuipa mara moja hata kama...
  13. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Kuna update yoyote kuhusu huu mgomo wa madereva maana abiria wajarudishiwa nauli zao na wamebakii kuchoma mahindi

    Kuna update yoyote kuhusu huu mgomo wa madereva maana abiria wajarudishiwa nauli zao na wamebakii kuchoma mahindi Karibuni
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania Leo ni Mgomo wa Madereva wa Malori na Mabasi. Epuka usumbufu

    Mwanasheria na Wakili nguli Mheshimiwa Tundu Lissu aliwahikusema, siku madereva wakipaki magari yao yote watapati haki. Leo imetimia
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Madereva na Wafanyakazi wa mabasi wafanya mgomo Morogoro na Dar

    Hali ilivyo Mbezi, Dar Es Salaam kwenye Stendi Kuu ya Mabus ambapo inaripotiwa kwa taarifa za awali kuwa kuna mgomo wa Madereva wa Mabus wakigomea kukatwa alama kwenye Leseni zao hivyo wamegoma kuanza safari hii leo. Hali ya mgomo wa madereva na wafanyakazi wa mabasi imeendelea kushuhudiwa...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Madereva na Wafanyakazi wa mabasi wafanya mgomo Morogoro na Dar

    Hali ilivyo Mbezi, Dar Es Salaam kwenye Stendi Kuu ya Mabus ambapo inaripotiwa kwa taarifa za awali kuwa kuna mgomo wa Madereva wa Mabus wakigomea kukatwa alama kwenye Leseni zao hivyo wamegoma kuanza safari hii leo. Hapa ni stendi ya Nane Nane, Dodoma, hali ilivyo asubuhi ya leo baada ya mgomo...
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania Leo ni Mgomo wa Madereva wa Malori na Mabasi. Epuka usumbufu

    Kama ilivyo tangazwa hapo awali, Leo ni Mgomo wa Madereva wa Malori, Mabasi na IT Nchi Nzima Tanzania. Hivyo kama ni msafiri, tumia njia nyingine kama ndege, Treni au Meli hata Mtumbwi. Asante. Kuna watu wanahoji kwanini wanagoma? Wanagoma kutoka na Utawala Mbovu usiotenda haki wa CCM na...
  18. Funny boe

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa madereva leo tarehe 29/09/2026.

    Mbona kama hii issue ipo serious sana aise. Nipo stand ya nyegezi mwanza Hakuna dereva aliyetoa gari hadi muda huu. Sometimes inabidi tu tajiri mwenyewe mwenye gari aje ashike usukani aendeshe mwenyewe. Vipi kwenu huko?
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Udhibiti Uchumi LATRA: Madereva watakaogoma Aprili 12, kufutiwa Leseni

    Mkurugenzi wa Udhibiti Uchumi wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), Abdallah Mhagama, amesema kuwa kanuni na sheria zinazosimamia utoaji wa huduma za usafiri ziko wazi, na zinaweka masharti kwa watoa huduma ikiwemo kutofanya migomo. Mhagama amebainisha kuwa mgomo wowote unaofanyika...
Back
Top Bottom