Mgomo wa madereva leo tarehe 29/09/2026.

TZ ukifwatilia kila jambo vizuri utakuta wote ni wakosaji hamna hata mmoja mnyoofu wa jambo

Ukianza na tajiri / dereva/ konda/ abiria / trafic/ etc
 
Waathirika zaidi ni abiria na wanalalamika sana kuhusu kucheleweshwa.

Majibu wanayopewa wanaambiwa wasubilie tu hadi maafikiano yatakapofikiwa ndo safari ianze.

Inauma lakini hakuna namna ya kufanya, nchi hii ina mambo mengi ya ajabu kwa sasa
Hao madereva wameshajiona maboss kwa abiria, wakati ukweli ni opposite, hakuna dereva mwenye kazi kama hakuna abiria barabarani.

Ajabu maboss ndio tunateswa na kukubali mateso kwa moyo mkunjufu, ndio maana bado CCM inatutawala kwa tabia zetu hizi hizi!
 
Hao madereva wameshajiona maboss kwa abiria, wakati ukweli ni opposite, hakuna dereva mwenye kazi kama hakuna abiria barabarani.
Na kitu kisichowezekana ni kukosekana kwa abiria barabarani ko tinachokifanya sasa hivi ni kujaribu kutafuta balance tu so tuvumiliane
 
Umeona hapo kwenye manyanyaso tu akili ikagomea hapo?

Hujaona usumbufu ysio wa lazima barabarani mfano dereva kulazimika kusimama muda mrefu ili tu atoe rushwa hata kama gari haina kosa?

Ungekuwa japo hata na Bajaj tu ungejua kwanini madereva wanafikia hatua ya kugoma.

Usumbufu ni mwingi mno ili mradi tu utoe kitu kidogo. Anasimamisha gari halafu haendi kuikagua anasubiri dereva amfuate ili wamalizane.

gari kuwa na kosa na dereva kuwa na makosa ni vitu viwili tofauti, >90% ya madereva tanzagiza hawafwati wala kuheshimu sheria za br. na kama unaendesha gari tanzagiza hauhitaji darubini kuliona hili kila mahali na kila wakati, tena hao malori, mabasi na boda boda ndiyo usiseme kwa mf. ulishamuona boda boda akisimama taa nyekundu?
ni mara chache sana trafiki "akaonea" dereva tanzagiza br. ...
 
Wewe utakuwa trafiki form four failure ndiyo maana unaonekana kutoguswa na madhila wanayopitia madereva barabarani.

Sheria ya usalama barabarani inamtaka asikari akisimamisha gari aifuate yeye kisha akague kile alichokusudia kukikagua huku dereva akiwa amebaki kwenye kiti chake.

Lakini magari hata kumi yanapigwa mkono kwa mkupuo kisha asikari anasimama mbali kabisa na magari aliyoyapiga mkono anasuburi makondakta wamfuate wamuachie ganji ya buku mbili mbili halafu hiyo ni kila baada ya kilomita chache tu unakutana na kundi lingine la asikari nao wanataka ganji.

Hii ni biashara kichaa yaani dereva anakuwa anamfanyia kazi boss na asikari huku yeye akiteseka. Kumbuka hapo dereva hakuna sheria aliyoivunja lakini anatakiwa kuacha ganji.
 
siyo kweli, sheria ziko wazi, kama hauna kosa unaweza kumshitaki trafiki kama "kakuonea", na ndiyo maana faini iko isheria unaweza kukataa kulipa na kwenda mahakamani kupinga au kulipa na kuidai mahalamani lkn wengi hamuwezi kufanya hivyo kwa sababu mnajua fika kwamba mna makosa lkn hamkubali mnataka ubabe.

trafiki kusimamisha magari kufanya ukaguzi ni sehemu ya kazi yao ...
 
Wamedharau hii serikali, hawataki kukatwa point wakifanya makosa barabarani. Ingekuwa enzi za Magu hata wasingefikiria huo upuuzi maana angefuta leseni za biashara na za udereva halafu wajue watakula mavi yao. Sahv wamiliki wa mabasi na wafanyakazi wao wanaiendesha hii serikali wanavyotaka, wamejipanfishia nauli maeneo mengine mpaka mara 2 hakuna anawafanya lolote, sasa wanataka wasipewe adhabu wakikosea, hatuna waziri wa uchukuzi, yule mpemba Makame Mbarawa yupo pale kusaini mikataba ya matrilioni ya ujenzi wa bandari, meli, viwanja vya ndege, reli hana muda na watanganyika na dadake Samia amemweka pale makusudi.
Kimsingi nchi sahv haina uongozi wa juu kwa maana ya Rais kila mwnye nguvu anajifanyia analoweza. Mpaka 2030 tutakuwa tumechoka sana, nchi inahitaji kiongozi mwenye mamlaka!
 
M
Sasa kama dawa ni kumuumiza wa chini yako, siku abiria nao wakiamua kugoma kupanda magari yao ndio watapata akili.

Bajaji, boda, na private cars zinaweza kuwanyoosha hao madereva wajuaji.
Magufuli aliwahi kuingiza mabasi ya JWTZ barabarani. Hata sikumbuki nani liliibuka mshindi kwenye huo mtanange! 😁😁😂😂
 
nilijua tu,

mtanzagiza ukimtaka afwate na kutii sheria atakwambia unamnyanyasa, hata ukisema kila mtu afike kazini muda kamili wa kuanza kazi uliowekwa kimkataba wa kazi watasema unawanyanyasa, yaani mambo ambayo jamii nyingine ni kawaida tanzagiza wanaita ni manyanyaso, wanatala waishi wanavyotaka wao.

bottomline: ni nadra sana trafiki akaaonea dereva br. tanzagiza ...
Umesema ukweli, mtanzania ni mtu wa aina yake, mlalamishi, mzembe, mvivu asiyetaka kutimiza wajibu wake, kila sheria na taratibu kwake ni uonevu kwa udhuru kwamba ni mnyonge, maskini, ila upuuzi huu CCM ndiyo imeulea!
 
Wamedharau hii serikali, hawataki kukatwa point wakifanya makosa barabarani. Ingekuwa enzi za Magu hata wasingefikiria huo upuuzi maana angefuta leseni za biashara na za udereva halafu wajue watakula mavi yao. Sahv wamiliki wa mabasi na wafanyakazi wao wanaiendesha hii serikali wanavyotaka, wamejipanfishia nauli maeneo mengine mpaka mara 2 hakuna anawafanya lolote, sasa wanataka wasipewe adhabu wakikosea, hatuna waziri wa uchukuzi, yule mpemba Makame Mbarawa yupo pale kusaini mikataba ya matrilioni ya ujenzi wa bandari, meli, viwanja vya ndege, reli hana muda na watanganyika na dadake Samia amemweka pale makusudi.
Kimsingi nchi sahv haina uongozi wa juu kwa maana ya Rais kila mwnye nguvu anajifanyia analoweza. Mpaka 2030 tutakuwa tumechoka sana, nchi inahitaji kiongozi mwenye mamlaka!
Li mtu lenu matako kabisa!
 
Wewe utakuwa trafiki form four failure ndiyo maana unaonekana kutoguswa na madhila wanayopitia madereva barabarani.

Sheria ya usalama barabarani inamtaka asikari akisimamisha gari aifuate yeye kisha akague kile alichokusudia kukikagua huku dereva akiwa amebaki kwenye kiti chake.

Lakini magari hata kumi yanapigwa mkono kwa mkupuo kisha asikari anasimama mbali kabisa na magari aliyoyapiga mkono anasuburi makondakta wamfuate wamuachie ganji ya buku mbili mbili halafu hiyo ni kila baada ya kilomita chache tu unakutana na kundi lingine la asikari nao wanataka ganji.

Hii ni biashara kichaa yaani dereva anakuwa anamfanyia kazi boss na asikari huku yeye akiteseka. Kumbuka hapo dereva hakuna sheria aliyoivunja lakini anatakiwa kuacha ganji.
Si uache hiyo kazi? Shida madereva hawataki mfumo wa kukatwa poiny hizo rushwa ndiyo mnapenda iendelee maana inaficha makosa yenu
 
Kwa nchi ambayo imejaa dhuluma kama hii, ni lazima wananchi, kila mmoja aamke kwenye nafasi yake na kukataa dhuluma. Hongera kwa madereva kama wameweza kuwa na msimamo wa pamoja katika kupambania haki zao. Maana hakuna njia nyingine, ukienda mahakamani, ndiyo hizo mahakama bandia za kusikiliza maelekezo. Bungeni kwa sababu nako kumejaa madhulumati, nako hakuna msaada. Sasa wananchi watumie njia gani zaidi ta migomo?
 
nilijua tu,

mtanzagiza ukimtaka afwate na kutii sheria atakwambia unamnyanyasa, hata ukisema kila mtu afike kazini muda kamili wa kuanza kazi uliowekwa kimkataba wa kazi watasema unawanyanyasa, yaani mambo ambayo jamii nyingine ni kawaida tanzagiza wanaita ni manyanyaso, wanatala waishi wanavyotaka wao.

bottomline: ni nadra sana trafiki akaaonea dereva br. tanzagiza ...
😂😂unachekesha. Unafiki ni kipaji cha kwako kipo 100%
 
Mbona kama hii issue ipo serious sana aise.

Nipo stand ya nyegezi mwanza Hakuna dereva aliyetoa gari hadi muda huu.

Sometimes inabidi tu tajiri mwenyewe mwenye gari aje ashike usukani aendeshe mwenyewe.

Vipi kwenu huko?
Mgomo batili. Hii nchi vijana mnaiharibu sana.
Fuateni taratibu, kama ni polisini, nedneni k wa RTO kwa kiupitia uongozi wenu mfanye mazungumzo, ikishindikana nendeni kwa waziri.
Kama ni issue ya LATRA, NENDENI KWENUYE OFISI ZAO WKA KUPIRTIA UWAKILISHI WENU, MGOMO KWA KIFUPI NII UHUJUMU UCHUMI.
 
Back
Top Bottom