Mgomo wa madaktari - Updates

Hoja hujibiwa kwa hoja na si rejea tu. Any way sio kosa lako.

lazy lady ...you don't know what you I talking about ..I cite a reference so that you can go ,get understanding then come and discuss.You resisted ,you keep your ignorant ...research will give you a right to speak..amka
 

Maana ya JF inadhihirika! You are the great thinker friend! Ulikuwa wapi?
 

I disagree with my friend,

Mnatukomboa wananchi kwa lipi ambalo tunahitaji kukombolewa. Kumbe mgomo wa madaktari mnataka kupindua nchi???? Kama lengo lenu ni hilo siwaungi mkono maana najua kuna nguvu nyuma yenu inawasukuma na hiyo nguvu itawatokea puani kwani mjue urais ni taasisi sasa mkimpindua huyo mtakayemweka hatatawala kwa amani na ndio mwisho amani tunayoimba kila siku Tanzania.
 

vifaa,mazingira yakiwekwa mazuri huku wakwamishaji wakiondolea
 
kwa wale msioamini naomba mtembelee muhimbili.habari zinasema huu mgomo wa leo umezidi ule wa kwanza.madaktari wote wamerespond,specialist wanaendelea na kikao.

Rafiki,
naona unashadadia as if ni kitu kizuri sanaaaaaa.
ni mambo matatu
1. kwa serikali
act faster kwa hicho mlichojipanga(stmt from Mh. Pinda)
ushauri
-tangaza nafasi za udaktari ndani na nje ya TZ.
-privatised medical sector
2. kwa madaktari
-rudini kazini
-kwa wale wanaogoma tu kwa shinikizo la wengine be careful ulisoma peke yako na ukakaribia na kua daktari kama ww
speak out then serikal ikusaidie si kwa njia ya kusababisha mauaji/hofu kwa wagonjwa
-ninyi ambao mna channels kwenye ma NGO halafu mnawachuza wenzenu M/Mungu atawalipizia humu humu dunian, kwan hata mkifukuzwa tayari mna kazi sehem nyingine
3. wananchi
-mgomo wa madaktar unaweza kua ni sahihi ila tutazame kwa kina jamaa wamekosea,maombi yao mengi ni nadhalia zaid kuliko uhalisia na iwapo wakitimiziwa haya next watakuja na complicated things na pia je kuna halufu ya kuchochowa!!!
 

Mtawakomboaje watanzania kwa kutomtaka waziri? unadhani shida kubwa ya watanzania ni afya?

Assume waziri kajiuzulu na madai yenu yote mmetimiziwa kesho, je mnaweza tibu wagonjwa bila umeme, maji etc?

Mmefanya kosa kuingiza, kuingia au kuingizwa kwenye siasa na kusahau wajibu wenu.
 
vifaa,mazingira yakiwekwa mazuri huku wakwamishaji wakiondolea

There lies a problem mazingira yapi mnayataka? Mishahara minono, marupurupu kibao au mazingira ya nje kama vifaa vya matibabu, vitanda nk. Ama mazingira ya nje kama vitanda na vitu vyengine nawaunga mkono but katika mishahara na marupurupu siwaungi mkono maana hamsemi ukweli. Madaktari mishahara yenu inajumuisha allowance zote ambazo wafanyakazi wa serikalini wanapata. Ila hamtosheki mnataka zaidi kwa madai kuwa hampati. Zamani mlikuwa mkilipwa mishahara midogo but kukiwapo housing allowance, petrol allowance nk. Kuanzia mwaka 2000 nadhani ikabadilishwa vyote vikajumuisha katika mshahara. Sasa tatizo liko wapi? Je hilo ni tatizo la waziri au idara zenu za fedha zilizopeleka mapendekezo hayo? Mbona taasisi zengine hawajafanya kama walivyofanya nyie. Acheni tamaa zenu natamani rais anipe uwaziri wa wizara hiyo maana mngelinikoma wallahi.
 
Mkuu wangu hizi stori za vijiweni usituletee hapa. Hakuna watoto wachanga hapa! Hakuna mtawala/kiongozi ktk dunia ya leo anaweza wazunguka madaktari na vifaru! Hakuna. Hizi ni akili viwango vya kata kama anavyosema mkuu Ritz!
 


Hivi umeshawahi kunafikiria kwa nini kuna watendaji au mawaziri wanaonekana ni bora kuliko wenzao??? Wote tunaju kuwa kanuni, sheria na taratibu za kazi ni zilzile lakini utendaji ndiyo huwa unatofautiana.
 

you can be selfish as much as you want..........lakini uselfish huo....kuu-associate...na kutaka Mawaziri wajiuzulu....is absolutely NONSENSE......PERIOD!....huhitaji kuwa eti "great thinker" kwenye hilo.....Mkuu Riwa........



Again..........maelezo mengine yako sawa.........hilo la kujiuzulu......mmeonyesha uwezo wenu mdogo wa kufikiri.......your selfishness exceeded your ability to think..........



Thank you...........given whetever they desire..........jeuri wanayoionyesha.......INATU-COST na ITATU-COST sana wananchi.......

Naishauri serikali....kuboresha mazingira ya madaktari ni muhimu.........however kushinikizwa kuwaondoa viongozi kwa njia hii.......ni NO NO!

Watu wanakuwa kama hawajaelimika.......aisee......
 
Jana nilikwambia kuwa safari hii mtakoma....mgomo uko pale pale
Hii kali, itabidi lile tangazo lakukataza mabango ya waganga wakienyeji libadolishwe wakati huu ili tuende kwao tukapate matibabu hadi Kaka NAZI atakapomalizana na hawa madaktari .
 
Taarifa zilizonifikia kutoka vyanzo vya kuaminiaka bugando wamebandika tangazo likisomeka hivi

"KUTOKANA NA SERIKALI KUTOKUWA TAYARI KUSHUGHULIKIA MADAI YA MADAKTARI IPASAVYO SISI MADAKTARI TUMESIKITISHWA SANA. KUANZIA LEO TAREHE 7 MACHI 2012 SAA 2; 00 ASUBUHI,MADAKTARI WA HOSPITALI YA BUGANDO TUNASITISHA KUTOA HUDUMA ZOTE MPAKA HAPO SERIKALI ITAKAPOSHUGHULIKIA MADAI HAYO.
JUMUIYA YA MADAKTARI BUGANDO (INTERN,REGISTRARS,RESIDENTS)
NAKALA KWA WAKUU WA IDARA,UTAWALA BMC"

MUHIMBILI
EMD-KITENGO CHA WAGONJWA WA DHARURA KIMEFUGWA

OPD-WAGONJWA WAMEJAA LAKINI HAWAONI

THETRE HAZIFANYI KAZI NA MASPECIALIST WAPO RUSSIAN CULTURE TO PUT LAST NAIL IN THE COFFIN. WAMEUNGANA NA WATAANZA MGOMO RASMI LEO.

AMANA
TOTAL TOOLS DOWN

MWANANYAMALA
TOTAL TOOLS DOWN EXCEPT 4 COs

TEMEKE
TOTAL TOOLS DOWN

MBEYA
WANAENDELEA PALE WALIPOISHI MAANA MGOMO KAMA KAWA

IFAKARA
TOTAL TOOLS DOWN

KCMC
MADAKTARI KUTOA TAMKO MUDA SI MREFU
-TOTAL TOOLS DOWN

MOUNT MERU

TOOLS DOWN

OCEAN ROAD
TOOLS DOWN


IFAKARA
TOOLS DOWN


Ikulu kuna mkutano mkubwa unaendelea nitato updates bdae
 
Kondolewa -siyo kusimamishwa -kwa Mponda na Nkya ndio jambo la kwanza la kufanya madaktari warudi kazini. Siyo ahadi au "mchakato".
 
JJK akipeana mkono na Dr. DUX, katikati karibu na Dux ndo Dr. Ulimboka kwa msiomjua.
Nyuma ya JK anayesmile ni Rais wa MAT Dr. Namala Mkopi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…