ahadi unaita dai jipya?
nadhani na hiyo ni moja ya vitu iliyoleta mgomo,maana wakilipwa stahiki zao hutayaona hayo!madaktari wengi wana tabia mbaya wanatoa huduma mbovu lakini leo wanasema wanahitaji vifaa kwa ajili yetu wagonjwa wakati hata huduma ya mdomo tu wanashindwa kwa wagonjwa. Mgomo ni wa kulilia maslahi yao si vifaa vya wagonjwa wangeanza na huduma bora.
wafuasi wa chama cha maandamano wanafurahi sana kuona nchi inatikisika kwa mgomo huku watu wanakufa.
Ahadi ipi haijatimizwa? Waizri na Naibu waziri wanuhusiano upi na utendaji wao.
Kuna kila uwezekano kuwa sasa hivi minya ya ulaji fedha kijenga inazibwa na huyu waziri ndio maana wanamletea zengwe.
Tuliyaona alipokuwepo mzungu pale Muhumbili, aliziba njia za wizi basi akafanyiwa kila njama aondoke, akatishiwa mpaka maisha akiendelea kuwepo, mzungu wa watu akakimbia.
Hawa si madaktari ni wauwaji na wasisikilizwe hata kidogo na wahukumiwe na kupewa adhabu kali kabisa.
Naunga mkono madai ya Madaktari, serikali yetu si sikivu mara nyingi inajiona iko juu ya sheria ikifikiri mahakimu wako chini yake, lakini niseme mahakimu wakubwa ni wananchi kuna siku itahukumiwa.
Huu mgomo ni well calculated, madaktari wameanza na sharti ambalo serikali haihitaji hata shilingi moja kulitatua, ni la waziri kujiuzulu, hapo serikali haina kisingizio. Kwa hiyo madaktari wanafanya mgomo si kwa ajili ya dai moja tu ila wameona kama dai dogo tu serikali hawezi kutekeleza itakuwaje watakapodai mengine yanayohitaji pesa?
Inaelekea una "ya ndani kuliko tujuavyo" hebu mwaga hapa jamvini tuchambue
huyo silent burner naona anaongea kama kasuku! hivi hujui kuwa nchi jirani ndio zinazoongoza kwa kutuibia madaktari wetu kwa sababu wao hawana madaktari wa kutosha? sasa hao wa kutoa huduma za dharula watoke wapi? na huko kwao atabaki nani wa kuwatibia wananchi wao? u r full of ****! mambo ya zamamni hayo ya kutishiana nyau watu wazima! wanaoumia ni watanzania wa kawaida, na ambaye anasababisha ni serikali, FULL STOP!!! Shushushu weee!Huu mgomo ni batili kisheria. Serikali ina haki ya kuwashtaki au iwafukuze kazi wale watakaoendelea kukaidi rai ya kuwataka warudi kazini.
For Dr's info: ma-dr wa kutosha kutoa huduma za dharura wako stand-by toka nchi rafiki. Liwalo na liwe, watakuja kuokoa roho mnazotaka zipotee. In the meantime serikali inajipanga kushughulikia kiburi chenu na kuwarudisha kwenye saizi yenu halisi.
Kipindi hiki lazima jambo litafanyika, hata kama ni kwa gharama. Lazima kukomesha hii jeuri ya madaktari kuvunja katiba na kutaka kuingilia madaraka ya Rais ya kuteua wasaidizi wake.
Nipo muhimbili,mama mkwe wangu amefariki,aliwekewa mashine ya oxgen usiku baada ya hapo dr hakuja tena,na mama ndo ametutangulia.migomo ina madhara,amefarik saa sita na nusu mchana huu.
Naunga mkono madai ya Madaktari, serikali yetu si sikivu mara nyingi inajiona iko juu ya sheria ikifikiri mahakimu wako chini yake, lakini niseme mahakimu wakubwa ni wananchi kuna siku itahukumiwa.
Huu mgomo ni well calculated, madaktari wameanza na sharti ambalo serikali haihitaji hata shilingi moja kulitatua, ni la waziri kujiuzulu, hapo serikali haina kisingizio. Kwa hiyo madaktari wanafanya mgomo si kwa ajili ya dai moja tu ila wameona kama dai dogo tu serikali hawezi kutekeleza itakuwaje watakapodai mengine yanayohitaji pesa?
pole kwa kufiwa na mama mkwe..pumzika mama mkwe wangu....JK anaona sasa!!! kiburi hicho alikuwa nacho hata gadhafi lakini mwisho wake walimuingiza niiiiii kwenye nanihiiii.....
Waziri unamuhusu nini? wakati maswala yao yote yana shughulikiwa? Serikali ikiendelea kuwasikiliza hawa makanjanja wanaojiita madaktari itakuwa haijawatendea haki watanzania. hawa madaktari Kikwete anawachekelea sana, ingekuwa mimi, saa hizi wananyea debe.
Hakuna ya ndani, ni nini kinachowafanya wasimtake waziri? watendaji wakuu wamesimamishwa na Pinda mbele yao alipokutana nao. Sasa wanaingilia ambako mipaka yao hairuhusu wafike.
huyo silent burner naona anaongea kama kasuku! hivi hujui kuwa nchi jirani ndio zinazoongoza kwa kutuibia madaktari wetu kwa sababu wao hawana madaktari wa kutosha? sasa hao wa kutoa huduma za dharula watoke wapi? na huko kwao atabaki nani wa kuwatibia wananchi wao? u r full of ****! mambo ya zamamni hayo ya kutishiana nyau watu wazima! wanaoumia ni watanzania wa kawaida, na ambaye anasababisha ni serikali, FULL STOP!!! Shushushu weee!
nilipokushauri ukatafute matusi mapya baada ya masaa manne 'makanjanja' is the best you can come up with?! Katafute mengine makubwa zaidi kisha urudi tena hapa...mpaka ufuke povu leo na dua zako za kuku!