Wewe! Mpumbavu nani kati ya serikali na Madaktari? Usituuzie chai! Hawa wamewazoea walimu wetu sasa wamekutana na Mainginia wa afya zao na zetu!ANGALIZO
Ubovu wa serikali usitufanye wajinga kiasi kwamba tuanze kuchekelea watu fulani waanze kuweka afya zetu rehani kupata wanacho kitaka kwasbabu tu wanadhani wao ni watu muhimu kuliko wengine.
Kitendo cha kuanza kuingilia mambo ya siasa na kuweka kando kwanza madai yao ya msingi hakina mantiki kwa wagonjwa wetu watakao poteza maisha eti kwasababu tu watu walio na dhamana ya kuwashughulikia wamegoma kwakuwa rais hajamfukuza kazi waziri na naibu wake, what a shame......
UPUMBAVU MWINGINE HAUVUMILIKI JAMANI, TUAMKE
Wewe ndio kuku kweli!Madaktari wataojidai kugoma ndio watujuwa Watanzania kuwa hatutaki kuchezewa, tunaenda kuwashughulikia wao kwanza, halafu Serikali itutafutie madaktari kutoka India ituletee, wamejaa tele ni kiasi cha kukodisha ndege 5 zinajazwa madaktari wanakuja.
Within 24 hours huduma bora kuliko za hawa wajivuni.
Mkuu nimependa sana hawa wakuu walivyo comment hapa chiniSasa Mkuu Paulss tumuamkie nani???
Sawa unayoyasema ni kweli, ila ngumu sana kukaa upande wa serikali hasa serikali yenyewe hii...
This is a lose-lose situation: the ruling part and its govt lose, the innocent Tanzanians lose, and unfortunately the doctors lose too! We all lose in one way or another.....sikio la kufa....... God Almighty, utuepushe na hili balaaaaaaaa...
Imefikia kipindi watu wanadhani DRs wakigoma wanamkomoa JK na serikali yake, hapana watakufa watoto wangu, mke wangu ndugu zangu nk eti kwasababu JK hajamtoa waziri na naibu wake.Mkuu niko nawe. I Seriously hate this corrupt and weak gvrnmt that can never be serious for anything, but when it comes to this issue we soon gonna hit the world's record, believe me! Kama ningepewa mandate I would execute both of the parties!
KATIKA ORODHA YA KUNYONGWA NINGEANZA NA MADAKTARI THEN SERIKALI YA MKULU WITHOUT POUSE!
BOTH OF THE TWO ARE GOOD FOR NOTHING!
Mkuu jiulize pia wasipo achia ngazi tatizo liko wapi? maana matatizo yapo pale paleMawazo mgando sana. Kwani watu wawili waziri na naibu wake wakiachia ngazi tatizo liko wapi? Waambie wao ndio waamke na waache upu.** madaktari hawawataki. Kwa ufupi hawatakiwi na majority ktk wizara ile
Mkuu wote ni wapumbavu tu mkuu,msome huyu mkuu hapa chiniWewe! Mpumbavu nani kati ya serikali na Madaktari? Usituuzie chai! Hawa wamewazoea walimu wetu sasa wamekutana na Mainginia wa afya zao na zetu!
Mkuu niko nawe. I Seriously hate this corrupt and weak gvrnmt that can never be serious for anything, but when it comes to this issue we soon gonna hit the world's record, believe me! Kama ningepewa mandate I would execute both of the parties!
KATIKA ORODHA YA KUNYONGWA NINGEANZA NA MADAKTARI THEN SERIKALI YA MKULU WITHOUT POUSE!
BOTH OF THE TWO ARE GOOD FOR NOTHING!
Madaktari wataojidai kugoma ndio watujuwa Watanzania kuwa hatutaki kuchezewa, tunaenda kuwashughulikia wao kwanza, halafu Serikali itutafutie madaktari kutoka India ituletee, wamejaa tele ni kiasi cha kukodisha ndege 5 zinajazwa madaktari wanakuja.
Within 24 hours huduma bora kuliko za hawa wajivuni.
Kuwaita wanaodai stahiki zao WAPUMBAVU is not so high either - with due respect!!!!Mkuu with all due respect.............
Hebu njoo basi ki Great thinker tujadili, this is too low
Madaktari wataojidai kugoma ndio watujuwa Watanzania kuwa hatutaki kuchezewa, tunaenda kuwashughulikia wao kwanza, halafu Serikali itutafutie madaktari kutoka India ituletee, wamejaa tele ni kiasi cha kukodisha ndege 5 zinajazwa madaktari wanakuja.
Within 24 hours huduma bora kuliko za hawa wajivuni.
In principle nakubaliana na madai ya madaktari juu ya maslahi yao.
Hata hivyo wamejiingiza katika mtego wa kisiasa, kwa kutaka kushinikiza kujiuzulu wanasiasa.
Thats dangerous.
Mwanasiasa anaishi kwa kupiga domo, na juhudi zozote za kumuondoa kwa domo ni lazima zitapata upinzani mkubwa sana.
Mbaya zaidi ni precedence ambayo madaktari wanataka kuiweka.
Nawashauri waachane na wanasiasa na waendelee kudai maslahi yao.
Naaam sasa umekuja kujadili...............Mind that MPUMBAVU sio tusi ni sifa ya mtu,Kuwaita wanaodai stahiki zao WAPUMBAVU is not so high either - with due respect!!!!
Mtanisamehe wana JF, ila kwa mawazo hawa madaktari wanajaribu tu kuwa difficult bila sababu yeyote ya msingi. Hivi toka wamekubaliana kuingia kwenye meza ya majadiliano na Serikali hao Haji Mponda na Lucy Nkya wameongea kitu gani ambacho kimekua kikwazo kwenye majadiliano yao. Wanachotafuta hao madaktari ni sifa tu ili waonekane wamewaondoa Mawaziri.
Serikali lazima iwe makini kwenye hili na isifanye maamuzi kwa vile tu kundi fulani linataka waziri fulani aondolewe. Kama Mponda na Nkya wataondelewa madarakani kwa vile tu Madaktari wanataka hivyo, then JK ajiandae kwasababu na yeye atakua njiani kuondolewa kwa style hiyo hiyo. Itakuaje leo Walimu nao waseme Waziri wa elimu aondolewe kwa vile wamecheleweshewa kulipwa marupu rupu yao? Itakuaje na mapolisi nao wakitaka waziri wa mambo ya ndani aondolewe kwa vile mishahara yao ni midogo, itakuaje.......
Nchi haiendeshwi hivyo na kuna vyeo serikalini ambavyo unaweza kucheza navyo na kushurutishwa mtu aondolewe madarakani, lakini sio kwenye uwaziri au urais. Hao madaktari kama kweli wanania ya kutatua matatizo yao waendeleze majadiliano na serikali bila kuweka masharti ambayo hayana dira. Tatizo la malipo duni kwa Tanzania sio la Mawaziri wa afya tu, ni la mfumo mzima wa nchi. Inasikitisha sana kuona madaktari wanataka kutumia taaluma zao ambazo ni za muhimu kwa maisha ya binadamu, kuwanyanyasa wananchi wasio na Hatia.
Naaam sasa umekuja kujadili...............Mind that MPUMBAVU sio tusi ni sifa ya mtu,
Stahiki inakwenda na wajibu,
Nakubaliana na madai yao ya msingi ya awali, na natambua serikali ilifanya uzembe kama kawaida yake
Lakini sikubaliani pia na utaratibu wa kuweka rehani afya yangu, ya yule, na yako kwa stahiki zisizo na msingi mkuu
Sasa kwakuwa serikali imefanya upumbavu na DRs nao wafanye upumbavu kwa kigezo cha "wakifa watu tusilaumiane"
Hata imani yangu inakataa eti watu wafe kwasabubu JK hajamfukuza waziri na naibu wake, sheria yenyewe haimbani JK kufanya hivo, wao waangalie madai yao ya awali na waachane na mambo ya siasa vinginevyo nawao watakuwa wapumbavu kama serikali yenyewe