CCM msipowapelekea Watanzania Rais Samia Uchaguzi ujao mtakuwa mmewakatisha Tamaa na kuwavunja moyo sana

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,268
9,715
Ndugu zangu watanzania,

Napenda kuwaambia ukweli wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM , halmashauri kuu ya CCM na kamati kuu ya CCM kuwa kwa vyovyote iwavyo ni lazima muhakikishe kuwa Rais samia ndiye anayepewa ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama uchaguzi ujao na kumalizia muhula wake wa pili. Nje ya hapo na kinyume cha hapo itakuwa ni kuwakatisha Tamaa na kuwavunja moyo makundi mbalimbali hapa nchini ambayo yamekuwa na imani kubwa sana na uongozi wa Rais samia na kupata matumaini makubwa sana katika mioyo yao juu ya kutimiza ndoto zao.

Kwanini tusimuache na kumpatia nafasi ya kumalizia muhula wa pili kama ambavyo watanzania wanahitaji na kukesha wakiomba kutokana na mafanikio makubwa aliyoliletea na kulipatia Taifa letu? Hatuoni namna tulivyo piga hatua za kimaendeleo? Ni Secta ipi ambayo Rais samia hajagusa au kuweka mikono yake? Ni wakati upi demokrasia imewahi kushamiri na kuchanua katika Taifa letu kama wakati huu wa Rais samia? Hatuoni namna alivyolipatia heshima Taifa letu? Ni wapi ambapo Rais samia kakosea?

Ni wapi ambapo Rais samia amefanya maamuzi ya kuliumiza na kuliangamiza Taifa letu kwa maamuzi yake binafsi na kwa maslahi yake binafsi? Alipokosea kwanini tusimshauri mapema kama chama mnapoona labda hapapo sawa? Mbona amekuwa ni msikivu? Mnataka na tunataka Rais wa aina ipi zaidi ya Rais samia ambaye amekuwa msikivu na muungwana kwa kila jambo na aliye tayari kujikosoa ,kukosolewa na kujisahihisha? Kwani shida ipo wapi ambayo sisi wengine hatuioni kwa mama huyu mzalendo na mnyenyekevu?

CCM yangu,chama changu nawaombeni sana msipuuzie na kuzipuuza sauti za mamilioni ya watanzania wanaoendelea kupaza sauti za kuhitaji kumpatia Rais samia muhula wa pili. Watanzania wanahitaji Rais samia amalizie kazi njema aliyoianza miaka mitatu iliyopita, hawataki aishiye njiani kwa kukatishwa na chama kwa kuwaletea mtu mwingine. Wanataka nuru iangazayo katika Taifa letu iendelee kuangaza maisha ya watu,hawataki muwape hofu, hawataki wa kuleta giza na kuwakatisha watu tamaa wala kuwatisha wala kuwapa hofu ,hawataki mtu wa kuja kuwafanya wanyonge katika Taifa lao ,hawataki kurudishwa nyuma.wanataka kusonga mbele na Rais samia mpaka 2030.

Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.wapeni watanzania chaguo lao,wapeni hitaji lao,wao ndio wenye nchi,wao ndio wanajuwa nani awaongoze na nani anawafaa kubeba Taifa lao kulingana na kazi iliyombele yetu,Tayari wameshamuona Rais samia anafaa kubeba jukumu hilo la heshima na zito katika mabega yake,ndio maana wanawaombeni CCM muwapeni Rais Samia ili wampigie kura na Aendelea kuwa sauti yao na nguvu yao na mtetezi wao.

Angalieni namna Taifa lilivyo moja ,hakuna habari za Udini wala ukabila wala ukanda wala ubaguzi wa aina yoyote ile kwa misingi ya aina yoyote ile.watanzania wote ni ndugu na wamoja kabisa.ndio maana hata katika uteuzi tunaona watu wakiteuliwa kutoka maeneo mbalimbali ya nchi yetu bila kujali Dini ya mtu wala kabila la mtu wala sehemu aliyotoka.kinachozingatiwa ni sifa ya mtu kiuongozi na uwezo wa mtu kumudu majukumu yake.

Kikubwa kwa wakati huu chama ni kuendelea kumsaidia Rais wetu na mama yetu,mpeni ushauri wa kujenga na siyo kubomoa au kusubiri akosee au kumpa ushauri mbaya ili achafuke bila kujuwa mnakichafua chama chetu kizima .mwambieni ukweli panapo hitajika hata kama ukweli ni mchungu kuwa mama na Rais wetu mtu fulani hatufai na hakufai wewe kuwepo katika wadhifa fulani kwa kuwa uwepo wake anakuchafua kwa matendo yake na tabia yake na hivyo watu kukuchukia wewe uliyemteua na mwenye mamlaka ya kumuondoa. Na Hapa ithibitike kweli mtu huyo anayepigiwa kelele hafai kweli kwa tabia yake mbaya na matendo yake maovu na siyo Majungu na fitina tu maana ieleweke kuwa huwezi ukapendwa na kila mtu wala kukubalika kwa kila mtu.

Au kama kuna mahali hapapo sawa kimaamuzi au kisera au kimaelewano na Taasisi yoyote ile hapa nchini inayoweza kujiona kama kutengwa au kunyanyaswa au kutokusikilizwa mawazo yake au maoni yake basi mwambieni mama yetu kuwa mama tunaona ungekaa mezani na kuzungumza na Taasisi fulani au na viongozi fulani wa Dini au wa kisiasa au wa usalama au kundi fulani mzungumze kwa uwazi kwa maslahi ya Taifa letu na kila mmoja awe na Amani na sote tusonge mbele kwa pamoja pasipo wengine kujiona kama wanyonge ndani ya nchi yao..

Uzuri ni kuwa Rais wetu ni msikivu sana na mnyenyekevu sana. siyo Rais na kiongozi mwenye kiburi ,hana dharau kwa mtu au kikundi au jumuiya au taasisi yoyote ile. Rais samia anathamini sauti na mawazo ya kila mtu na kila Taasisi,ndio maana anajitahidi kukaa mezani na kusikiliza sauti zote,ili tunaposonga mbele tusonge kwa pamoja kama Taifa pasipo kumuacha mtu nyuma akiwa mpweke.

Viongozi wa Dini niwaombeni kuwa muendelee kumuombea Rais wetu , tuendelee kumuombea sote kwa pamoja ili kwa kila maamuzi afanyayo basi yakatanguliwe na kupewa kibali na mwenyezi Mungu,yakawe ni maamuzi yenye maslahi kwa Taifa letu na ustawi wake. muombeeni Rais wetu jicho la kuona watu sahihi wa kuwa karibu yake kumshauri ambao ni wema, waungwana, wanyenyekevu,wenye kutosheka,wenye huruma, hofu ya Mungu,upendo, uzalendo na ukarimu. Muombeeni asizungukwe na watu wenye viburi,ujeuri,dharau,majigambo, uchu wa madaraka, waroho, mafisadi, wezi, majambazi na wenye kujifikiria wao na matumbo yao na kuacha mamilioni ya watanzania wakitopea katika umaskini wa kutupwa.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Ndugu zangu watanzania,

Napenda kuwaambia ukweli wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM , halmashauri kuu ya CCM na kamati kuu ya CCM kuwa kwa vyovyote iwavyo ni lazima muhakikishe kuwa Rais samia ndiye anayepewa ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama uchaguzi ujao na kumalizia muhula wake wa pili. Nje ya hapo na kinyume cha hapo itakuwa ni kuwakatisha Tamaa na kuwavunja moyo makundi mbalimbali hapa nchini ambayo yamekuwa na imani kubwa sana na uongozi wa Rais samia na kupata matumaini makubwa sana katika mioyo yao juu ya kutimiza ndoto zao.

Kwanini tusimuache na kumpatia nafasi ya kumalizia muhula wa pili kama ambavyo watanzania wanahitaji na kukesha wakiomba ,kutokana na mafanikio makubwa aliyoliletea na kulipatia Taifa letu? Hatuoni namna tulivyo piga hatua za kimaendeleo? Ni Secta ipi ambayo Rais samia hajagusa au kuweka mikono yake? Ni wakati upi demokrasia imewahi kushamiri na kuchanua katika Taifa letu kama wakati huu wa Rais samia? Hatuoni namna alivyolipatia heshima Taifa letu? Ni wapi ambapo Rais samia kakosea?

Ni wapi ambapo Rais samia amefanya maamuzi ya kuliumiza na kuliangamiza Taifa letu kwa maamuzi yake binafsi na kwa maslahi yake binafsi? Alipokosea kwanini tusimshauri mapema kama chama mnapoona labda hapapo sawa? Mbona amekuwa ni msikivu? Mnataka na tunataka Rais wa aina ipi zaidi ya Rais samia ambaye amekuwa msikivu na muungwana kwa kila jambo na aliye tayari kujikosoa ,kukosolewa na kujisahihisha? Kwani shida ipo wapi ambayo sisi wengine hatuioni kwa mama huyu mzalendo na mnyenyekevu?

CCM yangu,chama changu nawaombeni sana msipuuzie na kuzipuuza sauti za mamilioni ya watanzania wanaoendelea kupaza sauti za kuhitaji kumpatia Rais samia muhula wa pili? Watanzania wanahitaji Rais samia amalizie kazi njema aliyoianza miaka mitatu iliyopita, hawataki aishiye njiani kwa kukatishwa na chama kwa kuwaletea mtu mwingine. Wanataka nuru iangazayo katika Taifa letu iendelee kuangaza maisha ya watu,hawataki muwape hofu, hawataki kurudishwa nyuma.wanataka kusonga mbele na Rais samia mpaka 2030.

Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.wapeni watanzania chaguo lao,wapeni hitaji lao,wao ndio wenye nchi,wao ndio wanajuwa nani awaongoze na nani anawafaa kubeba Taifa lao.Tayari wameshamuona Rais samia anafaa kubeba jukumu hilo la heshima na zito katika mabega yake,ndio maana wanawaombeni CCM muwapeni Rais Samia ili wampigie kura na Aendelea kuwa sauti yao na nguvu yao na mtetezi wao.

Angalieni namna Taifa lilivyo moja ,hakuna habari za Udini wala ukabila wala ukanda wala ubaguzi wa aina yoyote ile kwa misingi ya aina yoyote ile.watanzania wote ni ndugu na wamoja kabisa.ndio maana hata katika uteuzi tunaona watu wakiteuliwa kutoka maeneo mbalimbali ya nchi yetu bila kujali Dini ya mtu wala kabila la mtu wala sehemu aliyotoka.kinachozingatiwa ni sifa ya mtu kiuongozi na uwezo wa mtu kumudu majukumu yake.

Kikubwa kwa wakati huu chama ni kuendelea kumsaidia Rais wetu na mama yetu,mpeni ushauri wa kujenga na siyo kubomoa au kusubiri akosee au kumpa ushauri mbaya ili achafuke bila kujuwa mnakichafua chama chetu kizima .mwambieni ukweli panapo hitajika hata kama ukweli ni mchungu kuwa mama na Rais wetu mtu fulani hatufai na hakufai wewe kuwepo katika wadhifa fulani kwa kuwa uwepo wake anakuchafua kwa matendo yake na tabia yake na hivyo watu kukuchukia wewe mwenye mamlaka ya kumuondoa. Na Hapa ithibitike kweli mtu huyo anayepigiwa kelele hafai kweli kwa tabia yake mbaya na matendo yake maovu na siyo Majungu na fitina tu maana ieleweke kuwa huwezi ukapendwa na kila mtu wala kukubalika kwa kila mtu.

Au kama kuna mahali hapapo sawa kimaamuzi au kisera au kimaelewano na Taasisi yoyote ile hapa nchini inayoweza kujiona kama kutengwa au kunyanyaswa au kutokusikilizwa mawazo yake au maoni yake basi mwambieni mama yetu kuwa mama tunaona ungekaa mezani na kuzungumza na Taasisi fulani au na viongozi fulani wa Dini au wa kisiasa au wa usalama au kundi fulani mzungumze kwa uwazi kwa maslahi ya Taifa letu na kila mmoja awe na Amani na sote tusonge mbele kwa pamoja pasipo wengine kujiona kama wanyonge ndani ya nchi yao..

Uzuri ni kuwa Rais wetu ni msikivu sana na mnyenyekevu sana. siyo Rais na kiongozi mwenye kiburi ,hana dharau kwa mtu au kikundi au jumuiya au taasisi yoyote ile. Rais samia anathamini sauti na mawazo ya kila mtu na kila Taasisi,ndio maana anajitahidi kukaa mezani na kusikiliza sauti zote,ili tunaposonga mbele tusonge kwa pamoja kama Taifa pasipo kumuacha mtu nyuma akiwa mpweke.

Viongozi wa Dini niwaombeni kuwa tuendelee kumuombea Rais wetu , tuendelee kumuombea ili kwa kila maamuzi afanyayo basi yakatanguliwe na kupewa kibali na mwenyezi Mungu,yakawe ni maamuzi yenye maslahi kwa Taifa letu na ustawi wake. muombeeni Rais wetu jicho la kuona watu sahihi wa kuwa karibu yake kumshauri ambao ni wema, waungwana, wanyenyekevu,wenye kutosheka,wenye huruma, hofu ya Mungu,upendo, uzalendo na ukarimu. Muombeeni asizungukwe na watu wenye viburi,ujeuri,dharau,majigambo, uchu wa madaraka, waroho, mafisadi, wezi, majambazi na wenye kujifikiria wao na matumbo yao na kuacha mamilioni ya watanzania wakitopea katika umaskini wa kutupwa.

Wewe kenge usitujazie server
 
Naunga mkono hoja.

Samia ndio amerejesha matumaini Kwa Mamilioni ya Wakulima waliokuwa wametelekezwa na kudharauliwa Kwa kuoneshwa kwamba Kilimo hakina maana na ni kazi ya maskini.

Lakini Kwa kutumia ruzuku,kupanua masoko Yao ,kuwapatia mikopo na kuwajengea miundombinu ya umwagiliaji amekifanya Kilimo kuwa kimbilio Kwa Mamilioni ya watu na kutoka kimaisha.

Ccm msifanye mzaha na kutuletea watu wapuuzi wanaodharau kilimo.61% ya Watu wote wameajiriwa kwenye Kilimo.

Binafsi ni Kati ya watu tuliokimbilia kwenye Kilimo na kuona matuini mapya baada ya Mama kutupa ruzuku na kununua mazao yetu.

On top of that mama ametufungulia Barabara zetu Vijijini,Leo hii bei ya mazao yakiwa shamba na mjini yanatifautiana Kwa sababu za usafiri tuu.

Nisingependa turudie kule ambako watu wanawaza vitu vyepesi vyepesi vya kupigia picha kama madaraja ila hawana maarifa ya kuwaondoa watu kwenye umaskini kama anavyofanya Samia.
 
Ndugu zangu watanzania,

Napenda kuwaambia ukweli wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM , halmashauri kuu ya CCM na kamati kuu ya CCM kuwa kwa vyovyote iwavyo ni lazima muhakikishe kuwa Rais samia ndiye anayepewa ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama uchaguzi ujao na kumalizia muhula wake wa pili. Nje ya hapo na kinyume cha hapo itakuwa ni kuwakatisha Tamaa na kuwavunja moyo makundi mbalimbali hapa nchini ambayo yamekuwa na imani kubwa sana na uongozi wa Rais samia na kupata matumaini makubwa sana katika mioyo yao juu ya kutimiza ndoto zao.

Kwanini tusimuache na kumpatia nafasi ya kumalizia muhula wa pili kama ambavyo watanzania wanahitaji na kukesha wakiomba ,kutokana na mafanikio makubwa aliyoliletea na kulipatia Taifa letu? Hatuoni namna tulivyo piga hatua za kimaendeleo? Ni Secta ipi ambayo Rais samia hajagusa au kuweka mikono yake? Ni wakati upi demokrasia imewahi kushamiri na kuchanua katika Taifa letu kama wakati huu wa Rais samia? Hatuoni namna alivyolipatia heshima Taifa letu? Ni wapi ambapo Rais samia kakosea?

Ni wapi ambapo Rais samia amefanya maamuzi ya kuliumiza na kuliangamiza Taifa letu kwa maamuzi yake binafsi na kwa maslahi yake binafsi? Alipokosea kwanini tusimshauri mapema kama chama mnapoona labda hapapo sawa? Mbona amekuwa ni msikivu? Mnataka na tunataka Rais wa aina ipi zaidi ya Rais samia ambaye amekuwa msikivu na muungwana kwa kila jambo na aliye tayari kujikosoa ,kukosolewa na kujisahihisha? Kwani shida ipo wapi ambayo sisi wengine hatuioni kwa mama huyu mzalendo na mnyenyekevu?

CCM yangu,chama changu nawaombeni sana msipuuzie na kuzipuuza sauti za mamilioni ya watanzania wanaoendelea kupaza sauti za kuhitaji kumpatia Rais samia muhula wa pili? Watanzania wanahitaji Rais samia amalizie kazi njema aliyoianza miaka mitatu iliyopita, hawataki aishiye njiani kwa kukatishwa na chama kwa kuwaletea mtu mwingine. Wanataka nuru iangazayo katika Taifa letu iendelee kuangaza maisha ya watu,hawataki muwape hofu, hawataki kurudishwa nyuma.wanataka kusonga mbele na Rais samia mpaka 2030.

Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.wapeni watanzania chaguo lao,wapeni hitaji lao,wao ndio wenye nchi,wao ndio wanajuwa nani awaongoze na nani anawafaa kubeba Taifa lao.Tayari wameshamuona Rais samia anafaa kubeba jukumu hilo la heshima na zito katika mabega yake,ndio maana wanawaombeni CCM muwapeni Rais Samia ili wampigie kura na Aendelea kuwa sauti yao na nguvu yao na mtetezi wao.

Angalieni namna Taifa lilivyo moja ,hakuna habari za Udini wala ukabila wala ukanda wala ubaguzi wa aina yoyote ile kwa misingi ya aina yoyote ile.watanzania wote ni ndugu na wamoja kabisa.ndio maana hata katika uteuzi tunaona watu wakiteuliwa kutoka maeneo mbalimbali ya nchi yetu bila kujali Dini ya mtu wala kabila la mtu wala sehemu aliyotoka.kinachozingatiwa ni sifa ya mtu kiuongozi na uwezo wa mtu kumudu majukumu yake.

Kikubwa kwa wakati huu chama ni kuendelea kumsaidia Rais wetu na mama yetu,mpeni ushauri wa kujenga na siyo kubomoa au kusubiri akosee au kumpa ushauri mbaya ili achafuke bila kujuwa mnakichafua chama chetu kizima .mwambieni ukweli panapo hitajika hata kama ukweli ni mchungu kuwa mama na Rais wetu mtu fulani hatufai na hakufai wewe kuwepo katika wadhifa fulani kwa kuwa uwepo wake anakuchafua kwa matendo yake na tabia yake na hivyo watu kukuchukia wewe mwenye mamlaka ya kumuondoa. Na Hapa ithibitike kweli mtu huyo anayepigiwa kelele hafai kweli kwa tabia yake mbaya na matendo yake maovu na siyo Majungu na fitina tu maana ieleweke kuwa huwezi ukapendwa na kila mtu wala kukubalika kwa kila mtu.

Au kama kuna mahali hapapo sawa kimaamuzi au kisera au kimaelewano na Taasisi yoyote ile hapa nchini inayoweza kujiona kama kutengwa au kunyanyaswa au kutokusikilizwa mawazo yake au maoni yake basi mwambieni mama yetu kuwa mama tunaona ungekaa mezani na kuzungumza na Taasisi fulani au na viongozi fulani wa Dini au wa kisiasa au wa usalama au kundi fulani mzungumze kwa uwazi kwa maslahi ya Taifa letu na kila mmoja awe na Amani na sote tusonge mbele kwa pamoja pasipo wengine kujiona kama wanyonge ndani ya nchi yao..

Uzuri ni kuwa Rais wetu ni msikivu sana na mnyenyekevu sana. siyo Rais na kiongozi mwenye kiburi ,hana dharau kwa mtu au kikundi au jumuiya au taasisi yoyote ile. Rais samia anathamini sauti na mawazo ya kila mtu na kila Taasisi,ndio maana anajitahidi kukaa mezani na kusikiliza sauti zote,ili tunaposonga mbele tusonge kwa pamoja kama Taifa pasipo kumuacha mtu nyuma akiwa mpweke.

Viongozi wa Dini niwaombeni kuwa tuendelee kumuombea Rais wetu , tuendelee kumuombea ili kwa kila maamuzi afanyayo basi yakatanguliwe na kupewa kibali na mwenyezi Mungu,yakawe ni maamuzi yenye maslahi kwa Taifa letu na ustawi wake. muombeeni Rais wetu jicho la kuona watu sahihi wa kuwa karibu yake kumshauri ambao ni wema, waungwana, wanyenyekevu,wenye kutosheka,wenye huruma, hofu ya Mungu,upendo, uzalendo na ukarimu. Muombeeni asizungukwe na watu wenye viburi,ujeuri,dharau,majigambo, uchu wa madaraka, waroho, mafisadi, wezi, majambazi na wenye kujifikiria wao na matumbo yao na kuacha mamilioni ya watanzania wakitopea katika umaskini wa kutupwa.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Wewe Zwazwa acha uchawa wako!
Wewe huoni Samia katoa Bandari zetu milele kwa Waarabu bila tender yoyote ya wazi?
Zwazwa wewe huoni jinsi wizi ulivyotamalaki Serikalini ?!
Rejea Kauli ya Samia mwenyewe kuhusu wizi katika Halmashauri Mkoani Mbeya!
Toka Uhuru Rais gani ulisikia anawambia Mawaziri wale kwa urefu wa kamba zao ila wasivembewe😟😟!?
Go to hell with your Samia!
 
Ukiyaona manyoya yake tu basi tambua kuwa ameshageuzwa kuwa kitoweo.
 
Aliepigiwa ni RIP late president jpm
Yeye alikuwa kama boti tu

Wapi alipiga kampeni yeye kama yeye ama akapigiwa kura
Kwani kwenye karatasi ya kura hukuona picha ya Rais samia kwa pembeni.??hukumuona akipita kila kona ya nchi yetu kupiga kampeni na kuomba kura?
 
Back
Top Bottom