Look here wewe na wenzako, UKWELI utabaki kuwa UKWELI. Na ukweli ndio huu: SERIKALI MNAYOITUMIKIA NDIYO ILIYO-MESS UP, you are wasting your time kujaribu ku-justify incompetence ya serikali/waliowatuma na kuwalaumu victims. Simply that strategy will no longer work as this is not 1980 or even 2000. If I were you ningerudi kumwambia kikwete ukweli na hali halisi from the ground level perception NA SIO KUMWAMBIA ANACHOPENDA KUSIKIA.
Madaktari wana HAKI ya kugoma, kwa kuwa serikali hii mbovu inashindwa kutatua matatizo yaliyopo ikitegemea yatajitatua yenyewe. Iteni ni ugaidi, mkono wa siasa au vyovyote vile, ila hiyo haitabadilisha ukweli kuwa kuna tatizo na linahitaji kutatuliwa. Mtaanzisha threads humu hata milioni kumi, lakini msahau kuwa wanachi wa kawaida watabadilishwa mtazamo.
GET USED TO THIS FACT THAT TIMES HAVE CHANGED FOREVER! Watanzania walio wengi wameamua kuwa wao si kondoo tena they demand and deserve to be respected- na idadi ya watu wa aina hii inaongezeka kila kukicha. Better go and tell those who are mis-using the trust that they were given this simple and self-evident fact!