Mgomo wa madaktari: Huu ni ugaidi

Mgomo wa madaktari: Huu ni ugaidi

Kimsingi madai ya ubora wa mazingira ya kazi kwa madokta yalikuwa ni yenye tija japo yalisukumwa na "upepo"wa madai ya nyongeza za posho kwa Wabunge.

Madaktari walifanya mazungumzo na pinda na "wakafika mwafaka"ambao uliitaji kupewa muda kwa serikari kushughulikia madai..SASA huu mgomo "siasa"wa kushinikiza waziri ajiuzulu "on the expense" ya wagonjwa sijaipenda hii style.

Sababu yangu ya msingi ni hii,kila mfuatilia siasa za tanzania anajua udhaifu wa serikari ya jk linapokuja suala la "kuwajibishana" halijaanza jana wala juzi na ni tatizo la kimfumo linalohitaji mageuzi ya "chama na kikatiba" ambayo tunayasubili 2015.

Hivyo basi wenzetu madokta kama ilivyo kwa wafanyakazi wengine na wananchi wote tuliochoshwa na "sanaa za jk na mawaziri wake" tuwe wenye subira na tusimnyang'anye mtu"wagonjwa" haki ktk kudai haki"madai ya madaktari" kwani tutaharibu mchakato mzima wa kupata Tanzania tunayoitaka yenye uongozi makina na amani bila kuwa na matabaka wala chuki.
 
Mkuu uko sahihi ila Gaidi namba moja ni HELLEN KIJO BISIMBA bila kumsahau NAMALA. Ni wauaji wa kweli hawa na ndiyo maana nimeanua kutumia maandishi mekundu.
Is BISIMBA married? sidhani kama ana mtoto.

mungu akusamee kwakua hujui ulitendalo
 
hakuna siasa kwenye stahili za mtumishi, huwezi kushughulikia tatizo wakati wewe ukiwa sehemu ya tatizo!
let them go,kwani walizaliwa kuwa mawaziri?
 
Unachosema kina mashiko, ulipoharibu ni kuja na propaganda za kusema hili suala la mgomo ni la kisiasa. Leo humu jamii forums mnaonekana mmetumwa wengi sana kuja kuitetea serekali na kujaribu kuwafanya madaktari waonekane wasaliti kwa watanzania. Lakini haitasaidia kwani kinachotakiwa ni uwajibikaji full stop. Mambo ya kupeana madaraka kwa kuwa watu walisaidiana kupata wachumba/wapenzi yamefika mwisho. Hizi nguvu zote mnazotumia za progapanda za vitisho sijui mtaleta madaktari toka cuba, india etc, ama sijui madaktari wanauza damu sijui na nini haitasaidia kwani badala ya kutafuta suluhisho la tatizo mnakuja na mawazo yaliyopitwa na wakati ya vitisho visivyo na maaana. Badala ya kupoteza muda kuja na vitisho na mbinu za kizamani humu jamvini ni bora mkakaa pamoja japo uelewa wenu ni mdogo ili mpate sulihisho tena kwa kuambiana ukweli. Na sio kuchukua mawazo mliyoyapata kwa waganga wa kienyeji kwamba ni wanasiasa wanasababisha
 
Watu wa propaganda ni hatari sana kwa ustawi wa nchi maskini kama yetu!!
 
Ni kweli serikali ya JK ni dhaifu katika kuwajibishana sasa umefika wakati wa kuwafundisha kuwajibishana kwa mashinikizo naunga mkono style ya madaktrari. Haki haiombwi inadaiwa na haki unayopewa kwa kuhurumiwa si haki.
 
Kimsingi madai ya ubora wa mazingira ya kazi kwa madokta yalikuwa ni yenye tija japo yalisukumwa na "upepo"wa madai ya nyongeza za posho kwa Wabunge.

Madaktari walifanya mazungumzo na pinda na "wakafika mwafaka"ambao uliitaji kupewa muda kwa serikari kushughulikia madai..SASA huu mgomo "siasa"wa kushinikiza waziri ajiuzulu "on the expense" ya wagonjwa sijaipenda hii style.

Sababu yangu ya msingi ni hii,kila mfuatilia siasa za tanzania anajua udhaifu wa serikari ya jk linapokuja suala la "kuwajibishana" halijaanza jana wala juzi na ni tatizo la kimfumo linalohitaji mageuzi ya "chama na kikatiba" ambayo tunayasubili 2015.

Hivyo basi wenzetu madokta kama ilivyo kwa wafanyakazi wengine na wananchi wote tuliochoshwa na "sanaa za jk na mawaziri wake" tuwe wenye subira na tusimnyang'anye mtu"wagonjwa" haki ktk kudai haki"madai ya madaktari" kwani tutaharibu mchakato mzima wa kupata Tanzania tunayoitaka yenye uongozi makina na amani bila kuwa na matabaka wala chuki.

wazo jema kabisa. madaktari mmepata mkate wenu katika mgomo wa kwanza angalau kidogo, watu wamekufa, leo tena mnadai wafukuzwe mawaziri, jamani nahilo tu watu wafe. hapana hamna haki hata kidogo. Tunawapenda sana madaktari na roho zetu ni zenu!!
 
Kimsingi madai ya ubora wa mazingira ya kazi kwa madokta yalikuwa ni yenye tija japo yalisukumwa na "upepo"wa madai ya nyongeza za posho kwa Wabunge.

Madaktari walifanya mazungumzo na pinda na "wakafika mwafaka"ambao uliitaji kupewa muda kwa serikari kushughulikia madai..SASA huu mgomo "siasa"wa kushinikiza waziri ajiuzulu "on the expense" ya wagonjwa sijaipenda hii style.

Sababu yangu ya msingi ni hii,kila mfuatilia siasa za tanzania anajua udhaifu wa serikari ya jk linapokuja suala la "kuwajibishana" halijaanza jana wala juzi na ni tatizo la kimfumo linalohitaji mageuzi ya "chama na kikatiba" ambayo tunayasubili 2015.

Hivyo basi wenzetu madokta kama ilivyo kwa wafanyakazi wengine na wananchi wote tuliochoshwa na "sanaa za jk na mawaziri wake" tuwe wenye subira na tusimnyang'anye mtu"wagonjwa" haki ktk kudai haki"madai ya madaktari" kwani tutaharibu mchakato mzima wa kupata Tanzania tunayoitaka yenye uongozi makina na amani bila kuwa na matabaka wala chuki.

Bado watanzania weng haswa vijijin hawajajua madhara ya jk acha wayaone sasa.jk na serikali yake ni wabovu wote kiutendaji.wala si wizara ya afya pekee yake.lakin pamoja nahilo bado nimbali kufikia 2015 tukisema wavute subira bado haitasaidia kwakua tutakua tumenyonywa sana bora tuanze leo ili hata huyotutakayempa urais ajue tanzania yaleo sio ile ya watu wanaohubiri amani na mshikamano usiokuepo
 
Uwezi kuja na propaganda za kitoto eti mawaziri hawana uzoefu kazini ndo kwnza wanamwka mmoja,ilhali unajua kbsa afya ni wizara nyeti,uku uswahilini kuajiriwa unatakiwa uwe na uzoefu wa miaka mitano,nyie mnatwambia waziri hana uzoefu?it doesn't make any sense pinda jipange acheni ujinga na utoto hii sio nch ya majuha.
 
sidhani kama kuna raisi mwingine atakaye achia uhuru huu aliouachia JK. Eti watu wanajiamulia kwa masrahi yao binafsi wanaamua kubeba mzigo wa damu kwa kulingia taaluma walizosomeshwa. Ivi nikuulize wewe daktari, kwa kipindi hichi mama yako akiugua hutojisikia vibaya kugoma kumtibu? kama ndio kwanini uchungu huo na huo utu usiuhamishie kwa mzazi wa rafiki yako?
 
After kusoma posts na threads nyingi humu jf nimefika conclusion kuwa watanzania wengi hawako upande wa madaktari..it may be coz wengi wamepata experience zao tofauti mahospitalini and all that.wengi pia hamjajua zile hoja za madaktari za msingi..wengine mnaongea tu kwa hasira..

Wengi wetu humu jf tuna uwezo wa kutibiwa private kwahyo ule uchungu wa kufunga foleni mwananyamala au wherever hatujapata au tulifika kati tukaona bora tuende pengine..mi nina uchungu mwingi na watanzania lakini pia madaktari pia ni watanzania na ni binadamu.kwanini mnawatreat kama wametoka mbinguni, hawali, hawaendi chooni..

Wameomba kuboreshwa mazingira ya afya..nani kati yenu hajawahi kwenda hospitali akakuta wagonjwa wamelala chini..sasa unalalamika dr,kwan yeye ndo ananunua vitanda..serikali..unalalamika umekosa dawa ukaelekezwa duka la dr,kwan kosa lake serikali thru msd hawajaweka madawa hospitalini.

Watu wanarisk maisha yao,elimu zao for us,alaf tunajifanya hawana uzalendo..kwel huu sio utu uzima.wamedai ongezeko la mshahara..nyie mnamind kisa mnajua dr analipwa sijui milioni..dr mshahara laki 6.bado hajasaidia mgonjwa anunue dawa(kama wewe hujawahi kusaidiwa usipinge lakini wale wasio na uwezo kabisa wanajua.na wao wanataka maisha bora kwajili yao na ya watoto wao..miaka 5 shule sio mchezo..huu ndio wito wenyewe.kupasua maiti ndo wito.

Kukuhudumia wakat yee mwenyewe inawezekana mama yake amelazwa ana cancer ndo wito..kuwa mjinga na kukubali kunyanyaswa sio wito, wala haipo kwenye elimu yao.

Wanahudumia watu wenye tb, hepatitis, ukimwi bila kubagua huo ndo wito jaman..oooh sijui wana kauli mbaya..we kwel hutakuwa na kauli mbaya kama hujalipwa miezi 2, vifaa vya kazi hamna, ndugu wanakupigia kelele na mgonjwa anakufia..

Vitu vingine tuwe adults na tuwaze kama adults..najua post yangu mtapinga wengi lakini huu ndo ukweli..madaktari ni binadamu,wameapa lakini familia zao hazijaapa.

Wanatimiza ahadi zao kwa kuingia kazini kila siku..wewe kama mtanzania unatimizaje upande wako wa kiapo chao..au hujui unahusika??? Kama hujui kasome alafu uingie mtaani uelimishe wenzio..
 
mkuu uko sahihi ila gaidi namba moja ni hellen kijo bisimba bila kumsahau namala. Ni wauaji wa kweli hawa na ndiyo maana nimeanua kutumia maandishi mekundu.
Is bisimba married? Sidhani kama ana mtoto.

mponda na nkya wanawatoto mpaka wa nj ya ndo...... Lakini mbona hawana huruma? Kuuliza mtu ana mtoto unamaana gani? Mafisadi woote wanawatoto lakini hawana huruma na ndio kwanza wanashirikiana na watoto wao kutuumiza angalia liz1 na fred walivyokula na baba zao
 
kimsingi nilikuwa nakubaliana na madai ya madaktari ila sasa naona wamelewa umaarufu na kuingilia kazi za watu.mi sioni msingi wa kulazimisha mawaziri kujiuzulu maana ata wakija wengine ni wa aina hiyo hiyo kwani ndege wa rangi moja huruka pamoja. cha msingi wadai madai yao na si kujadili watu,au wapendekeze waziri aliye safi wanayemtaka kama yupo. mwisho nawakumbusha pamoja na madai yao ya msingi lakini wajue hawa viongozi wetu hawana roho tena hawaumii hata kidogo na vifo vya watu ambao ni ndugu za madaktari na wao wenyewe maana ata wao uwezo wa kwenda apollo India hawana. rudini kwenye hoja ya msingi
 
Sasa mbona na wewe hufanyi kazi na unafanya siasa kupitia JF! Foool
 
kafanye kazi, viongozi wanapokuwa wazembe inabidi waongozwe mambo ya kufanya. Mimi ni mhanga wa mgomo lakini serikali inakela sana haina huruma na wananchi wake. Pinda ndugu yangu yule anasema eti mponda kaanza kazi hajamaliza mwaka, amalize mwaka ili iweje? wanatuhumiwa kwa ku mis-handle ule mgomo wa kwanza naomba madaktari wam-include pinda.
 
kimsingi nilikuwa nakubaliana na madai ya madaktari ila sasa naona wamelewa umaarufu na kuingilia kazi za watu.mi sioni msingi wa kulazimisha mawaziri kujiuzulu maana ata wakija wengine ni wa aina hiyo hiyo kwani ndege wa rangi moja huruka pamoja. cha msingi wadai madai yao na si kujadili watu,au wapendekeze waziri aliye safi wanayemtaka kama yupo. mwisho nawakumbusha pamoja na madai yao ya msingi lakini wajue hawa viongozi wetu hawana roho tena hawaumii hata kidogo na vifo vya watu ambao ni ndugu za madaktari na wao wenyewe maana ata wao uwezo wa kwenda apollo India hawana. rudini kwenye hoja ya msingi

Umeongea, mwenye kusikia na asikie mwenye kusoma na asome. madaktari rudini kazini. Hili mnalolidai mko peke yenu. Kesho mtasema mama Salma hatutaki awe mke wako kwa sababu tunahisi anakushauri vibaya mkiwa nyumbani. Mnakwenda mbali!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom