Hatushangai kwa watu kama wewe kuunga mkono maana hata katiba mpya mliunga mkono hata mambo ambayo hayakuwa ya maanaNaunga mkono hoja ya mzeelapa 100 kwa 100.
Mkuu uko sahihi ila Gaidi namba moja ni HELLEN KIJO BISIMBA bila kumsahau NAMALA. Ni wauaji wa kweli hawa na ndiyo maana nimeanua kutumia maandishi mekundu.Sifa moja ya magaidi ni kutishia na ikiwezekana kutoa roho za binadamu wasio na hatia ili kutimiziwa malengo yao. Madaktari kuamua kugoma na roho za watu zipotee ili matakwa yao yatimizwe ni ugaidi. Kwa mfano, Magaidi wanaua mamia ya watu ili mwenzao mmoja atolewe gerezani na madaktari wetu wanataka kufanya hivyo hivyo kupoteza mamia ya maisha ya wagonjwa eti watu wawili tu waondolewe madarakani, hii inaingia akilini kweli? Hao watu wataendelea kuwepo hapo wizarani milele? Kwani wameona hakuna njia nyingine zaidi ya mgomo? Haki inaweza kupiganiwa kwa muda mrefu sio lazima anufaike yule anayedai na kutaka mabadiliko ya papo kwa hapo.
Sasa hivi napata picha kila nikimuona daktari namuona kama gaidi, watadharauliwa na jamii kwani ni wananchi wachache sana ambao hawataathirika kama mgomo kama ukitokea.
Nawasilisha.
Daktari wale wana vifaa vyote vya operation ikiwemo mikasi na hizo ni miongoni mwa silaha za magaidi so wasipovitumia kuwaponya wagonjwa si utani ni magaidi hawa.Kati ya madaktari na Serikali nani GAIDI?
Sifa moja ya magaidi ni kutishia na ikiwezekana kutoa roho za binadamu wasio na hatia ili kutimiziwa malengo yao. Madaktari kuamua kugoma na roho za watu zipotee ili matakwa yao yatimizwe ni ugaidi. Kwa mfano, Magaidi wanaua mamia ya watu ili mwenzao mmoja atolewe gerezani na madaktari wetu wanataka kufanya hivyo hivyo kupoteza mamia ya maisha ya wagonjwa eti watu wawili tu waondolewe madarakani, hii inaingia akilini kweli? Hao watu wataendelea kuwepo hapo wizarani milele? Kwani wameona hakuna njia nyingine zaidi ya mgomo? Haki inaweza kupiganiwa kwa muda mrefu sio lazima anufaike yule anayedai na kutaka mabadiliko ya papo kwa hapo.
Sasa hivi napata picha kila nikimuona daktari namuona kama gaidi, watadharauliwa na jamii kwani ni wananchi wachache sana ambao hawataathirika kama mgomo kama ukitokea.
Nawasilisha.
Tatizo miluzi mingi humchanganya MBWA ndugu yangu unajua mpka sasa mimi sijui anayedai haki ni Daktari, BISIMBA ama ni nani? Serikali nayo itakuwa inajua kuwa inapambana na kundi zaidi ya moja so, uekelezaji lazima uende ngazi kwa ngazi. Kwani hawa LHRC wao wanaona mataktari wa Dar es salaam ndiyo wanaonewa? Mbona kule vijijini hapo? Sijawahi kusikia BISIMBA akiandamana kwa sababu eti ALBINO anauawa kikatili au yeye hana haki?. Tuache taratibu zifuatwe ili wagonjwa wetu wasiteseke tena kama ilivyokuwa awali kwa sababu ya external forces ambazo malengo yake ni ubinafsi na chuki binafsi.Sikulaumu sana kwa mawazo yako ila napenda uelewe tu kuwa hakuna maendeleo bila mapambano tena si ya vitabuni bali ni yenye kutoa jasho na mpaka damu kwa maana ya vifo.
Unadhani haki inatafutwa kwa njia ya amani?Niambie ni wapi ambapo uliona kuna haki na watu hawakufa wakati wa kuipigania?
Kma ni ugaidi basi nadhani tunaanza kuupotosha na kupoteza maana halisi ya neno lenyewe.
Nchi ipo katika kupambana na njia zote kandamizi ambazo zimekuwa zikifanya na viongozi wetu,wote tunapambana bila kujali ni kutoka upande gani cha msingi malengo ambayo tunakusudia ya kupata maslahi kulingana na kazi ambazo kila mtu anafanya,kwa mfano chukulia u mwalimu ambaye umeajiliwa hivi karibuni na unaenda kuripoti katika kituo chako cha kazi ambako ni mbali na huna mwenyeji ambaye unaweza kumuomba msaada,kufika unaambiawa hakuna pesa,utapenda?Utakaa kimya?Mambo kama haya ndio yanayoleta misuguano katika nchi yetu ndugu.Tatizo miluzi mingi humchanganya MBWA ndugu yangu unajua mpka sasa mimi sijui anayedai haki ni Daktari, BISIMBA ama ni nani? Serikali nayo itakuwa inajua kuwa inapambana na kundi zaidi ya moja so, uekelezaji lazima uende ngazi kwa ngazi. Kwani hawa LHRC wao wanaona mataktari wa Dar es salaam ndiyo wanaonewa? Mbona kule vijijini hapo? Sijawahi kusikia BISIMBA akiandamana kwa sababu eti ALBINO anauawa kikatili au yeye hana haki?. Tuache taratibu zifuatwe ili wagonjwa wetu wasiteseke tena kama ilivyokuwa awali kwa sababu ya external forces ambazo malengo yake ni ubinafsi na chuki binafsi.
Wanachotaka kurudia kukifanya maDaktari wetu ni zaidi ya UGAIDI. Waliona madhara yaliwakumba akina nani wakati wa mgomo wao ule wa kwanza. Viongozi wakubwa serikalini hawakuumizwa na mgomo ule. Wao madaktari hawakuumizwa na mgomo ule. Wanataka kuurudia tena mgomo ule sio kwa sababu za KITAALUMA au KIMASLAHI kwao wala kwa TAIFA hili bali KISIASA kabisa! Wanatofauti gani na akina Osama waoelekeza mabomu kwa wasio na hatia tena kwa kutumia jina la Mungu?