<br />Naskia HR wao ni Mganda ina maana hamna Mtanzania anayefit kwenye nafasi hiyo...
We lazima utakuwa mmoja wa viongozi wa TBL Dar.......... Are we always posting matters in JF only for solution..?? Sometimes ni taarifa tu ili tujiandaye na kreti mia ndani za kunywa mwaka mzima endapo mgomo utachukuwa muda huo.............. Utajisikiaje ukifika sehemu na huna taarifa kuwa sehemu hiyo kuna mgomo....??? ACHA UTOTOWhere is the reason for starting the thread? TBL matters are nowdays solved in JF?
Mgomo wa wafanyakazi kiwanda cha bia dsm(tbl) umeanza leo hii asubuhi. issue kubwa ni kwamba wafanyakazi wanaushinikiza uongozi kuboresha hari yao ya kiamaisha katoka nyanja zote.wanadai wafanyakazi wanaishi katika hali ngumu huku kampuni ikipata faida kubwa kila mwaka. wanasema kinachoonekana nje ya kampuni hakiashirii hari halisi ndani ya kampuni. more to fall.
Mi kwa mara ya 1 naingia tbl nilishangaa,wafanyakaz wana hali mbaya, haswa wale wa packaging dept. Wanapigika ile mbaya harafu mshahara kiduchu! Weng wanaishia kula bia za bure pub!, mshahara mzur kwao ni lak7!!, wakat wanadhamin mambo chungu mzima huko nje! Kuna kaburu aitwaye trevor gray*tech. Director,hana maana zaid ya kuwanyonya technical staff kwa tricky job offers. Kweli niliwaeleza, 2yrs after my exit now yanatokea niliyomwambia hr wao!,pale tbl waswahili ndo wanabaniana,hr wao anajpendekeza sana kwa kaburus ili aonekane bora!
<br />imefka wakati wananchi kupigania haki zao wenyewe. kila la kheri.
Wahamie serengeti wanamjali mfanyakazi kwanza