Mgomo TBL DSM

It beats me that in a country whose major population lives below 1USD, some can unabashedly hail themselves for their boozing tendency. And it's the same group of people who become so vocal and throw disparaging remarks against Kikwete's government once in the red. We should change our minds!

change yours first!
 
du! Bora wagome wasifanye kazi kwa mang'uniko,wataleta kisicho bora sokoni, c unajua tena safar ikikosewa! Wazee chondechonde, mlioko kwenye washer m/c osheni chupa vizr, mzee wa EBI,hakikisha inspection ya side wals,neck,na base iko makin, vijana wa filler, jazen kwa viwango bila kuwasahau pastarizer,labbeller,packer operators,bado tunahitaji kilicho bora huku mtaan kwetu machame kimbushi! Maslah yenu tutayadai sis wateja kama hawataki kuwapa kilicho bora..
i think i know u
 
Hawa wafanyakazi si wakichome moto tu hicho kiwanda, yanini maviwanda ya pombe? yanatuzidishia umaskini tu.
 
Aseee asavali wamesitisha mgomo wangetuua wengine walah! Na tungehamia kwenye konyagi mwitu naapa khaaaa
mbona kina nanii wanasimama kila kukicha kwenye mablogs and news conferences kumbe wanalipwa laki tano kwa mwezi awwwwwwwwwwwww wauza sura
 
Mgomo wa wafanyakazi kiwanda cha bia dsm(tbl) umeanza leo hii asubuhi. issue kubwa ni kwamba wafanyakazi wanaushinikiza uongozi kuboresha hari yao ya kiamaisha katoka nyanja zote.wanadai wafanyakazi wanaishi katika hali ngumu huku kampuni ikipata faida kubwa kila mwaka. wanasema kinachoonekana nje ya kampuni hakiashirii hari halisi ndani ya kampuni. more to fall.
kina mr K nad mr Dm wanalipwa posho kubwa kwa kuuza sura zao tu wakati wengine twalalama, just as well muda wa kuishi umeeongezwa ha ha ha ah
 
Back
Top Bottom