Mgomo TBL DSM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo TBL DSM

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kahema, Aug 3, 2011.

1. Kahema

Kahema JF-Expert Member

#1
Aug 3, 2011
Joined: May 21, 2010
Messages: 202
Likes Received: 2
Trophy Points: 35
Mgomo wa wafanyakazi kiwanda cha bia dsm(tbl) umeanza leo hii asubuhi. issue kubwa ni kwamba wafanyakazi wanaushinikiza uongozi kuboresha hari yao ya kiamaisha katoka nyanja zote.wanadai wafanyakazi wanaishi katika hali ngumu huku kampuni ikipata faida kubwa kila mwaka. wanasema kinachoonekana nje ya kampuni hakiashirii hari halisi ndani ya kampuni. more to fall.

2. Mwita25

Mwita25 JF-Expert Member

#2
Aug 3, 2011
Joined: Apr 15, 2011
Messages: 3,840
Likes Received: 6
Trophy Points: 0
Where is the reason for starting the thread? TBL matters are nowdays solved in JF?

3. King'asti

King'asti JF-Expert Member

#3
Aug 3, 2011
Joined: Nov 26, 2009
Messages: 27,133
Likes Received: 1,454
Trophy Points: 280
imefka wakati wananchi kupigania haki zao wenyewe. kila la kheri.

4. L

LAT JF-Expert Member

#4
Aug 3, 2011
Joined: Nov 20, 2010
Messages: 4,524
Likes Received: 64
Trophy Points: 0
Serengeti breweries At work

5. King'asti

King'asti JF-Expert Member

#5
Aug 3, 2011
Joined: Nov 26, 2009
Messages: 27,133
Likes Received: 1,454
Trophy Points: 280
u real ar a philander, arnt u? what matters ar solved on jf?

6. PakaJimmy

PakaJimmy JF-Expert Member

#6
Aug 3, 2011
Joined: Apr 29, 2009
Messages: 16,233
Likes Received: 130
Trophy Points: 160
Are you on your senses?
Is JF for taking actions or informing?
This is a very useful thread to 70% of my fellow-sippers!...huh!...Where the hell do you think we'll get the Castle-Light-thang this evening?

7. Tusker Bariiiidi

Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

#7
Aug 3, 2011
Joined: Jul 3, 2007
Messages: 4,620
Likes Received: 60
Trophy Points: 145

Mwambie huyo...

8. Rejao

Rejao JF-Expert Member

#8
Aug 3, 2011
Joined: May 4, 2010
Messages: 9,237
Likes Received: 210
Trophy Points: 160
Thanx kwa information mkuu!

9. King'asti

King'asti JF-Expert Member

#9
Aug 3, 2011
Joined: Nov 26, 2009
Messages: 27,133
Likes Received: 1,454
Trophy Points: 280
sasa hii information PJ, TB na rejao inaitumiaje? nashauri muweke stock home afu jioni unajibebea kwenye ka-rambo ukakae bar na kuji-enjoy. poleni sana na masaibu!

10. Rejao

Rejao JF-Expert Member

#10
Aug 3, 2011
Joined: May 4, 2010
Messages: 9,237
Likes Received: 210
Trophy Points: 160
Baada ya kupata hii information imebidi niagize stock ya kutosha!
Bila kugonga maji ya ilala, sipati usingizi kabisa!

11. Tusker Bariiiidi

Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

#11
Aug 3, 2011
Joined: Jul 3, 2007
Messages: 4,620
Likes Received: 60
Trophy Points: 145
Angalau WAMEGOMA kipindi cha RAMADHAN la sivyo kungekuwa na UHABA MKUBWA wa Maji haya ya DHAHABU!!! Hata GUEST HOUSE Wikiendi hii zitakuwa tupu Huraaaaay!!!

12. King'asti

King'asti JF-Expert Member

#12
Aug 3, 2011
Joined: Nov 26, 2009
Messages: 27,133
Likes Received: 1,454
Trophy Points: 280
hahaha! mmedata nyie! na kitimoto ewura waliagiza kishushwe bei! wekeni na stock home kama mna majenereta ya kuendesha deep freezer,lol!

13. Kiteitei

Kiteitei JF-Expert Member

#13
Aug 3, 2011
Joined: Jan 14, 2009
Messages: 1,139
Likes Received: 54
Trophy Points: 145

jamani mwaacheni tu huyo jamaa!imagine leo kaaga home kwa miluzi mingi kuwa anawahi kazini,kufika getini kazuiwa kuingia,halafu kwa kiasi kikubwa maslahi yanayodaiwa yeye ni msimamizi,yuko kwenye gari liko silence kachanganyikiwa,ghafla anapigiwa simu na jamaa yake eeeh bwana vp?huko kwenu kuna nn?nimeona kwenye jf!huyoo kwenye blackberry yake ya zawadi anakutana na hili.........

14. Watu

Watu JF-Expert Member

#14
Aug 3, 2011
Joined: May 12, 2008
Messages: 2,965
Likes Received: 306
Trophy Points: 180

Only chadema matters are solved here on JF kwi kwi kwi kwi kwi kwi makubwa

15. Rejao

Rejao JF-Expert Member

#15
Aug 3, 2011
Joined: May 4, 2010
Messages: 9,237
Likes Received: 210
Trophy Points: 160
Kitimoto cha nyumbani hakinogi!
Itabidi tuwe tunaenda na bia zetu kwenye maeneo husika!

16. Leonard Robert

Leonard Robert JF-Expert Member

#16
Aug 3, 2011
Joined: Apr 22, 2011
Messages: 8,714
Likes Received: 1,652
Trophy Points: 280

aya bana, umenena..

17. Bright Smart

Bright Smart JF-Expert Member

#17
Aug 3, 2011
Joined: May 4, 2011
Messages: 644
Likes Received: 30
Trophy Points: 45
nakubaliana na wewe asilimia zote kwa hili!!!

18. Mwita25

Mwita25 JF-Expert Member

#18
Aug 3, 2011
Joined: Apr 15, 2011
Messages: 3,840
Likes Received: 6
Trophy Points: 0
It beats me that in a country whose major population lives below 1USD, some can unabashedly hail themselves for their boozing tendency. And it's the same group of people who become so vocal and throw disparaging remarks against Kikwete's government once in the red. We should change our minds!

19. Chimunguru

Chimunguru JF-Expert Member

#19
Aug 3, 2011
Joined: May 3, 2009
Messages: 9,826
Likes Received: 216
Trophy Points: 160
hawa wawekezaji washenzi sana wanatumia pesa nyingi sana kwa miradi ya kijamii wakati wafanyakazi wanalipwamishahara midogo saana. Charity begins at home, waanze kuwalipa vizuri wafanyakazi wao halafu baadaye ndo wajue huko nje ya kampuni wafanye nini!!

20. Mwita Maranya

Mwita Maranya JF-Expert Member

#20
Aug 3, 2011
Joined: Jul 1, 2008
Messages: 10,566
Likes Received: 85
Trophy Points: 145
Acha kubwabwaja wewe, waambie makaburu wawalipe watanzania mishahara inayokidhi mahitaji uone kama watagoma.

Serikali ya Kikwete haina tofauti na hao makaburu wa tbl, kwani nayo haijaweza kulipa mshahara wa kima cha chini ambacho ni kiwango cha living wage inayokubalika, kwahiyo wote wanakuwa kwenye kapu moja.

Kama kila siku makaburu wa tbl wanajipendekeza kutoa misaada maeneo mbalimbali ilitakiwa image hiyo hiyo ireflect kwa wafanyakazi, hizo pesa wanazotapanya kuna watu wamezitolea jasho, wanatakiwa kuwa wa mwanzo kuzifaidi.

Loading...