specialists wajiandae kula vichwa 300 wakianza na dr swakala
dr. Swakala alikua anatetea madai ya hao specialists pia ambao leo wanaendelea na kaz huku swakala akiwa amesimamishwa, huon kua kua alichofanya n sahihi kutokana na unafk, usaliti wa hao mabingwa...