kipindi kile watu mnashabikia ulimboka nilisema kuwa madaktari hawana akili mkapinga sana hapa...leo ndo unawaona? hwa majamaa hawana maana ndo maana wanapasua kichwa badala ya mguu. siku ukipeleka mtoto wako wakatahiri angalia wasijekumng'oa macho badala ya govii.Upumbavu,yaani alichotendewa ulimboka kidogo wanae wapoteze baba na mke mume,na mama na baba mtoto,leo hii mnasema hv,yaani madaktari wana poor vision namna hii,u should hav cn this early,mmeua wangapi?halafu ndo mnajua,ningekuwa raisi nawafuta kazi maana inaonyesha mapungufu makubwa kwa wanaoitwa wasomi,
Hivi wewe roho inakuuma hawa madaktari kuomba msamaha? maana naona post zako humu hazina raha kabisa.
Punguza ghadhab, kuwa na amani moyoni, fikiria faida ya watanzania walio wengi na upige debe hawa vijana wasamehewe.
nategemea tamko la madaktari kupitia MAT na sio hawa mamluki
Unazungumzia walimu ambao wanaednelea na kazi na maisha yao kama kawaida!
Kwanini tunakosa huruma na hawa young professionals?
Akisoma tamko la madaktari la kuwaomba radhi wananchi na rais Mh JK kwa usumbufu uliosababishwa na mgomo wao wa mwezi wa sita mwaka huu,
Pia pamoja na kumwomba radhi MH Rais waesema kuwa wanatambua jitihada zake za kutatua mgogoro ule pia juhudi zake za kutatua changamoto za afya nchini.
Source:Redio wapo yaliotokea leo jion saa moja
My take
mlio karibu na hawa mabwana mtujuze nini kimewakuta je ule mgomo ulikuwa feki?
wamesacrifice kazi na maisha yao kwasababu ya negligence na upuppu wa hawa wasomi wa muhimbili...Kwa hiyo wanataka na Nyoni, Nkya na Mponda warudi kwenye nafasi zao?
Kwa sababu registrars wana usajiri unaowaruhusu kufanya kazi mahali kwingine nje ya serikali. Huwezi kuwafananisha na interns ambao hawaruhusiwi kufanya kazi hospitali yoyote.
Hoa madaktari walioomba msamaha ni wasaliti wakubwa wa ukombozi wa Mtanzania, wanajali matumbo yao tu, wao hawakujua kuwa ukombozi una gharama? Kwanza wamejidhalilisha sana, kumbe mlichokuwa mnakidai hamkukiamini na sasa mnasingizia MAT, hamjui ni jinsi gani serikali ilishughulika kipuuzi na tatizo lenu? NYIE NI WAOGA NA WACHUMIA MATUMBO TU, NA HISTORIA ITAWAKUMBUKA KWA KUSALITI MAPAPMBANO.
Anyway rudini kazini mkiitwa, sisi tutaenelea kupigania ukombozi wa nchi hii mpaka mwisho.[/QUOTE]
Mbalinga, acha kuwadanganya vijana wenzako...wale wanaojiita kwamba ni wapambanaji na wataendelea kupambana hadi mwisho wamefanya nini so far? Assume wasingeomba msamaha, nini ambacho wange-achieve baadae baada ya mahakama kutoa maamuzi? Kama wenzako asilimia kubwa wako kazini wewe unajifanya unapambana bila kauli, bila kuwahimiza wengine kwa njia za uamsho, bila ushirikiano, unategemea kuitwa mpambanaji?
Mimi siwezi kuwajaji hawa madaktari maana wenzao wengi hawakuwa tayari kupambana au waliwekwa chambo na wenzao, so wakashindwa vita. Retreating is also a technique not to kill the whole army!! Wakajipange!!
Serikali ilifanikiwa ilipowagawa na wakatawalika kwa mafanikio, na hao wanaoitwa mabingwa wakarudi nyuma, wakawaacha vijana wasio na option nyingi wawe mbele... (very weak seniors!!!)
Watanzania wenyewe hawakuwa tayari kwa mabadiliko, wakakaa kimya bila kushinikiza serikali irudishe hali ya huduma ya afya tena hata Dr. Ulimboka alipotekwa na kuumizwa, wananchi hawajaandamana wala kuitaka serikali iwajibike...tena hata baada ya Gazeti kufungiwa hawajachukua hatua zenye tija...sasa wale wanaorudi nyuma baada ya kuona vita hawaiwezi bado, msiwalaumu.
Nawasilisha.