Mgomo: Madaktari waiangukia serikali!

MAT sio watu kumbe ni wabinafsi kwelikwel, kwa nini wao wanaendelea kufanya kazi na interns ndo wafukuzwe? kwa nini hawajachukua hatua ili mrudishwe kazini?

Kwani MAT ndiyo waliowafukuza Mkuu? Mbona unawajia juu na kosa si lao?..hawa ni wale walioona uongozi wa MAT haufai, na hivyo kutafuta solution wao wenyewe, kwa sababu ya kutokuwa wavumilivu wenyewe..sasa kesi iko mahakamani, wao ndio wanategemea watapewa msamaha na kurudi kazini ikiwa new intern doctors wako kazini(sehemu yao) tayari?!!!
 
Hoa madaktari walioomba msamaha ni wasaliti wakubwa wa ukombozi wa Mtanzania, wanajali matumbo yao tu, wao hawakujua kuwa ukombozi una gharama? Kwanza wamejidhalilisha sana, kumbe mlichokuwa mnakidai hamkukiamini na sasa mnasingizia MAT, hamjui ni jinsi gani serikali ilishughulika kipuuzi na tatizo lenu? NYIE NI WAOGA NA WACHUMIA MATUMBO TU, NA HISTORIA ITAWAKUMBUKA KWA KUSALITI MAPAPMBANO.

Anyway rudini kazini mkiitwa, sisi tutaenelea kupigania ukombozi wa nchi hii mpaka mwisho.
 
Propaganda za kijinga bado zinaendelea... yani watanzania upuuzi kama huu ndio tunauweza vizuri mengine hamna kitu


Doomed country!! CCM wakiondoka madarakani nchi hii itarudi mstarini tu

Ndugu yangu shangaaa eti tuna wasomi hata kiwanda cha jembe la mkono au bycle hakuna ni umbea tu yaani maneno meeeengi...na ujanja ujanja wa kijinga anae ib anaonekana shujaa

 
heeee............ mbona wale viongozi wao hawaonekani pichani,,,,,,,,,,,,,,,, i.e. Dr Godbless na Dr Chitage......... hawaviongozi wapya wametoka wapi tena
 
Kama hii ni kweli basi naamini vifo vingi vya wagonjwa vinatokea kutokana na upumbavu wa madaktari, hatuna madaktari wenye weledi unaotakiwa ndio maana wameenda kupiga magoti badala ya kutafuta kazi kwenye nchi nyingine!

OSOKONI kumbuka wewe hata ukienda nje bado ndugu zako watabaki Tanzania. kwa nini mimi nisomee hela ya masikini ndugu zangu Watanzania halafu nikawahudumie raia wa nchi nyingine? tuweni wazalendo jamani fikirieni kidogo nje ya box
 
Hawa si madaktari bali wanganga njaa wanaoweza kuramba matapishi yao. Kama walikuwa wakijua wanachofanya hawakuwa na haja ya kumwangukia mtu aliyepaswa kuwaangukia. Njaa ni mbaya hasa inapoingia kwenye vichwa vya wale tunaodhania kuwa wamesoma ingawa hawakuelimika kama hawa madaktari uchwara wetu. Heri wangenyamaza wakaongeza kipato kwa kunyofoa mimba ingetsoha kuliko kuramba matapishi yao.
 
Comments nyiingi za wafuasi wa cdm zimejaa kashfa na matusi kwa madokta hawa waliogundua kosa lao kwa watanzania wenzao walio athirika wakati wa mgomo. Maana cdm walikuwa wanafurahia mgomo huo wa madaktari kwa kuwa kama kawaida yao ya siasa za maji taka na vulugu, walikuwa wanafaidika kwao.
 
MAT wajinga kweli kweli kwanini wamewatosa?

Ulimboka katoswa na hawa njaa imewauma:eek2::nerd:

Mkuu Kachanchabuseta,
1.Si busara kutukana..esp when you are emotional as you sounded.

2. Ni vyema ungejua shida iko wapi na si ku-conclude watu fulani ni wabaya bila uhakika

MAT walikuwa wanasubiri uongozi wa Serikali(kuitwa mahakamani), lakini baadhi yao hao madaktari wanataka ku-fast track maamuzi, sasa uliowaita wameonewa (Madaktari 160), hawakupendezwa na kauli za kusubiri kuitwa kuhojiwa mmoja mmoja..na ndiyo haya unayoyaona.

Suala la Dr. Ulimboka sijajua "alitoswaje" ..lakini Dr. Ulimboka anafanya kazi katika NGO, na si hospitalini na si kiongozi wa MAT, ila alikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya madaktari, you have to differentiate the two.
 
heeee............ mbona wale viongozi wao hawaonekani pichani,,,,,,,,,,,,,,,, i.e. Dr Godbless na Dr Chitage......... hawaviongozi wapya wametoka wapi tena

Kwa sababu wale wapo na msimamo ule ule kwamba madai ni ya msingi,..hawa ni "viongozi" waliojichagua baada ya kushindwa kuwa na subira wakati wakisubiri hatua za kisheria kufuatwa.
 
nngu007 Sina la kuongezea maana sisi wengine tulisema sana hapa JF wakatuona wajinga isipokuwa wao wasomi wana akili sana hata kusahau kuweka PR inayoendana na Uzalendo..
 
Last edited by a moderator:
Kwani MAT ndiyo waliowafukuza Mkuu? Mbona unawajia juu na kosa si lao?..hawa ni wale walioona uongozi wa MAT haufai, na hivyo kutafuta solution wao wenyewe, kwa sababu ya kutokuwa wavumilivu wenyewe..sasa kesi iko mahakamani, wao ndio wanategemea watapewa msamaha na kurudi kazini ikiwa new intern doctors wako kazini(sehemu yao) tayari?!!!
No, sikiliza mkuu, zingatia hawa watu ndo tu wameingia kazini hata bado hawjajipanga ki maisha na maisha ni magumu. viongozi wa MAT wao wanafanya kazi na wanaendelea kupata mishahara, hawa hawapati na mtaani doro. kwa nini viongozi kama katibu wa MAT yeye hakufukuzwa? au maana yake wao hawakugoma.
 
siasa za maji-taka za ccm

Kweli hii ni part of siasa za majitaka za CCM!! Waliofukuzwa/kusimamishwa ni zaid ya 300. Hawa walikuwa wanaongeaa kwa niaba ya wote? Hii habari imetoka kwenye gazeti gani? Walioongea hapo wapo wangapi? Na maswali mengine mengi---------
 
Kama hii ni kweli basi naamini vifo vingi vya wagonjwa vinatokea kutokana na upumbavu wa madaktari, hatuna madaktari wenye weledi unaotakiwa ndio maana wameenda kupiga magoti badala ya kutafuta kazi kwenye nchi nyingine!

watafute vp kazi mkuu wakati bado walikuwa hawajahitimu.
Ni uzembe wao wa kufanya mambo bila kufikiria, waliweka maslahi yao mbele badala ya maslahi ya wagonjwa, wakawaacha wakateseka, wakafa na wengine kupata ulemavu.
Dhambi waloifanya itawagharim sana mpaka watakapo tubia kwa dhati ya nafsi zao.
Walisahau wanashindana na serekali ambayo imeshika mpini nao wameshika makali kwani walikuwa bado hawaja hitimu na kuwa madaktari kamili.
Leo ndo wanakumbuka walipo jikwaa baada ya kusota mtaani.

Wasikate tamaa, waendelee kuiomba serekali na kuwaomba radhi watanzania.naamini watasamehewa na kurudishwa japo kwa masharti magumu.
 
OSOKONI kumbuka wewe hata ukienda nje bado ndugu zako watabaki Tanzania. kwa nini mimi nisomee hela ya masikini ndugu zangu Watanzania halafu nikawahudumie raia wa nchi nyingine? tuweni wazalendo jamani fikirieni kidogo nje ya box

Nakubaliana na wewe kabisa kwa uzalendo huo huo basi hakuna haja ya kuanzisha migomo na usipopata mshahara piga kazi tuu ukisubiri kuliko kuitisha mgomo ambao unatueleza objective zako za mgomo then unarudi kupiga magoti kuomba ulikosea means ulikurupuka kugoma na hii inatoana na akili ndogo ambayo ndio hiyo inaua wagonjwa!Daktari mwenye akili sawa na weledi alipaswa asome objective za mgomo ajiridhishe ndio agome sio kugoma leo kesho umerudi kupiga magoti kwa mwajiri!
 
Back
Top Bottom