Mgomo: Madaktari waiangukia serikali!

Mgomo: Madaktari waiangukia serikali!

This is ridicolous, wanajutia kusalitiwa Au Vifo vilivyotokana na mgomo? This is stupidy full stop.
 
Wanaonaje kama wataiilipa serikali kwa kukiri kosa hadharani? Pia waende jela miezi mitatu kila mmoja kwa kosa la .....
 
Yan tbc kwenye muhtasari wametangaza habari hii kwa mbwembwe sana!
 
Hapa sasa ndio watafunguliwa mashitaka ya mauaji na kutakiwa kulipa fidia! Hujuha wao utawaponza
 
Yan tbc kwenye muhtasari wametangaza habari hii kwa mbwembwe sana!

Hivi wewe roho inakuuma hawa madaktari kuomba msamaha? maana naona post zako humu hazina raha kabisa.

Punguza ghadhab, kuwa na amani moyoni, fikiria faida ya watanzania walio wengi na upige debe hawa vijana wasamehewe.
 
uwez kushndana na serekal ya ccm hata cku moja, kwa propaganda chafu,unafk,uftn,kusambaratsha wa2,uuwaj...na mendne meng hata chadema mwshowe watfka kama MAT..
 
Naombeni background ya huyo mwenyekiti wao, tuweze kujua upeo wake ndo nitachangia.

madaktari.jpg


huyu hakuwa pro wa vyama vya siasa vilivyoongoza mgomo wa Madaktari na walimu ndio Background yake

View attachment 65250
 

Attachments

Wanaonaje kama wataiilipa serikali kwa kukiri kosa hadharani? Pia waende jela miezi mitatu kila mmoja kwa kosa la .....

Tunaiomba Serikali iwe sikivu na iwa samehe kwa roho nyeupe kama wao walivosema kuwa kwa sasa wataenda kuwatibu Watanzania kwa roho nyeupe.

Waliingizwa mkenge, majeraha waliyopata yanatosha kabisa. Serikali tunaomba iwasamehe bila masharti.
 
This is totaly insane watu wamepoteza maisha kipindi cha mgomo wao leo wanakuja na filamu nyingine,ina maana waligoma kwa mambo wasiyoyaamini?Hawa ndio madaktari watarajiwa sawa bwana......
 
ndio maana madaktari wanasota pamoja na kuwa ba taaluma adimu, njaa mpaka mwisho. Watangaze kujiunga na CCM.
 
nakikumbuka kitabu cha -kwame nkurumah "daima mbele nyuma mwiko”
Nyie madaktari mmetutia aibu kwa kukosa msimamo na kula matapishi yenu sababu ya njaa,
mmesahau MTEMI MKWAWA alikuwa tayari kujipiga risasi kufa kuliko kumuangukia mjerumani!!
elimu haijawasaidia kabisa, kumbe mlikuwa mnapigania kitu ambacho hamkiamini??
 
Akisoma tamko la madaktari la kuwaomba radhi wananchi na rais Mh JK kwa usumbufu uliosababishwa na mgomo wao wa mwezi wa sita mwaka huu,
Pia pamoja na kumwomba radhi MH Rais waesema kuwa wanatambua jitihada zake za kutatua mgogoro ule pia juhudi zake za kutatua changamoto za afya nchini.
Source:Redio wapo yaliotokea leo jion saa moja
My take
mlio karibu na hawa mabwana mtujuze nini kimewakuta je ule mgomo ulikuwa feki?
 
Tunaiomba Serikali iwe sikivu na iwa samehe kwa roho nyeupe kama wao walivosema kuwa kwa sasa wataenda kuwatibu Watanzania kwa roho nyeupe.

Waliingizwa mkenge, majeraha waliyopata yanatosha kabisa. Serikali tunaomba iwasamehe bila masharti.
Sidhani kama ulipoteza ndugu sababu ya mgomo ungekuwa mwepesi hivi kuwaombea msamaha let them go.....
 
wanatakiwa wasamehewe, lakini msamaha usiwe wa haraka kiasi hicho, waachwe kwanza wakae home kama mwaka mmoja ivi ili wakione cha moto, kwa ujinga wao wa kuwagomea watz ambao wamewaridhia wasomeshwe kwa kodi zao halafu kuwatibu watoa kodi hawataki wanajifanya kugoma. wakikaa mtaani wakiombaomba nauli kama mwaka ivi, watapata adabu, ndio wasamehewe. nachelea kusema kuwa, kutowasamehe kabisa ni hasara kwasababu wamesoma kwa pesa za kodi zetu halafu hawajarudisha matunda ya kodi zetu kwa kuwatumikia wananchi, ikizingatiwa kuwa hawa madoctor hata kulipa deni la mkopo nasikia hawalipi kama course zingine. pia tuna uhaba wa madoctor hivyo serikali ijifanye mjinga siku ipite wawasamee ili tupate watu wa kutibu raia wetu. kama kuangukiwa tu serikali imeangukiwa hivyo mbabe ni serikali hakuna haja ya kuendeleza mashindano nyasi ambao ni raia zitaumia tu.
 
shenzi sana... walikuwa wanapimana nguvu na dola.....kisa influence ya MAT na siasa.
mkawa mnaobwa na waziri mkuu mkutane basi msuluhishe na bado mkagoma na kumdhalilisha kwa kutotokea.
mmewaua ndugu zetu kisa upuuzi
mmemkosea heshima raisi jakaya na wananchi kwa ujumla
dhambi zenu ni ngumu sana kusamehewa hasa na wale mliowaua ndugu zao
tamaa za mali na pesa ziliwafanya mkaona pesa nii zaidi ya maisha ya watu
mkaondoka kwa jeuri na kusema mnakwenda botswana..
botswana hakwenda mkaishia kukaa kijiweni kwa miezi michache sasa maisha yamewageukia.
kwa mimi binafsi kila nikikumbuka uchungu nilioupata sitaweza kuwasamehe kirahisi.
 
Sidhani kama ulipoteza ndugu sababu ya mgomo ungekuwa mwepesi hivi kuwaombea msamaha let them go.....

Kusema kweli hata kama hawajasamehewa sidhani kama hao ndugu zetu waliopotea kama watarudi. Tuwasamehe, ni vijana waliorubuniwa, wakushtakiwa ni wale wa MAT.
 
Back
Top Bottom