Mgomo: Madaktari waiangukia serikali!

Mgomo: Madaktari waiangukia serikali!

Pdidy umeandika ujinga hapa! Jifunze kujenga hoja na kuwa subjective

Ujinga gani we unaona hapo!, mbona ni ukweli mtupu!!. Hao wanaojifanya kuomba msamaha wameonyesha ubinafsi zaidi.
 
Mkuu Pdidy, nakushauri;

1. Jifunze Uandishi, UPYA...Habari au hoja haijengwi namna hiyo hapo juu, kuanzia kichwa cha uzi na yaliyo ndani yake.

2.Unajishushia HESHIMA, wewe na wale "unaotaka kuwawakilisha" kwa lugha yako ya kejeli zisizo na msingi.

3. Jifunze kustahimili HISIA(hasira na chuki), hasa unapotaka kuandika jambo.

Mwisho, kama mmoja wa wale uliowatukana na wewe KUSHAWISHI watu wenye akili zao TIMAMU bora wawe "wapumbavu" ..nakukumbusha kuwa " kutamani UPUMBAVU" kama ulivyosema hapo mwisho ni kujidhalilisha unless hujui MPUMBAVU ni mtu wa aina gani Mkuu.

labda nikusaidie, mpumbavu ni mtu wa aina ya hao madokta, kuanzia kugoma mpaka kuomba msamaha, kumbuka sio watoto hao, ni mijitu mizima. na kuhusu suala la kuficha ni kwenye magazeti, tv na redio. hapa ni freestyle unafunguka tu mkuu.
 
Hii kitu haiwezi kuandikwa na mtu mwenye akili timamu unless awe ametandika mataputapu ya kutosha,huyu ni pdiddy wa Jf au wa Fb?haya ndugu akili za asubuhi zaweza tofautiana na za asubuhi.
 
Umeandika upumbavu kwa lugha yake halisi,yaani lugha ya kipumbavu izungumzwayo na wapumbavu.
 
Kuwaambia wakaombe msamaha makaburini ni kuwaonea. Yule mama naibu sijui, alisema mjengoni hakuna vifo vilivyotokana na mgomo.
Ila kaka leo umekathirika! Naomba unisamehe mimi kwa niaba yao
 
Hii kitu haiwezi kuandikwa na mtu mwenye akili timamu unless awe ametandika mataputapu ya kutosha,huyu ni pdiddy wa Jf au wa Fb?haya ndugu akili za asubuhi zaweza tofautiana na za asubuhi.

mlitaka aandike kile mnachokitaka nyie?
kila mtu yupo huru kutoa maoni yake pasi ya kuingilia uhuru wa mtu mwingine
 
mkuu pdidy, nakushauri;

1. Jifunze uandishi, upya...habari au hoja haijengwi namna hiyo hapo juu, kuanzia kichwa cha uzi na yaliyo ndani yake.

2.unajishushia heshima, wewe na wale "unaotaka kuwawakilisha" kwa lugha yako ya kejeli zisizo na msingi.

3. Jifunze kustahimili hisia(hasira na chuki), hasa unapotaka kuandika jambo.

Mwisho, kama mmoja wa wale uliowatukana na wewe kushawishi watu wenye akili zao timamu bora wawe "wapumbavu" ..nakukumbusha kuwa " kutamani upumbavu" kama ulivyosema hapo mwisho ni kujidhalilisha unless hujui mpumbavu ni mtu wa aina gani mkuu.

kama mungu bado ajakulaaani kuchana gamba la tanzania basi naamini umesoma maneno ya magazeti ya leo na kesho ntakuwekea hapa na kama umesoma na bado umeandika haya basi naomba nisimame na kuita udkatari ni kazi moja yapo uya kipumbavu kwanini nasema hivi sikupenda kuita wajinga lakini unapoelekea ntaita hivyo......

Unajua akuna kitu kibaya kama kwenda na condom guest na kuiweka mfukoni alafu baada ya hapo unajuta
mungu wanguuuuuuuuuuuuuuuuuuu nimefanya nini???ni bora uwe na dhamia leo situmii condom lakini unapoingia nayo na kuishiaa kukaa nayo mfukoni alafu unamwomba mungu akusamehe basi sioni tatizo kukuita ibilisi

sasa basi kama awa watu wamefanya mgomo na akuna magazeti yalaioacha kuandika haya na kuomba jamani warudi si hivyo kuonyeshwa maiti kwenye magazeti si kwamba tulipenda na ndio maana kuna kaka yangu kibonde anakosea kama binadamu na siachi kumchamba huku lakini alipokuja na swala la dk nilikuwa nyuma yake na nililaani upuuzi wanaofanya si kwamba nasikitika watu wanaoenda kufa bali upumbavu wao ...unajua bora ukose utajiri kuliko kunyimwa ufahamu wa mungu ...uwezi kuangalia mtu anahangaika na machine ya oxygen ukijua anaitaji dawa alafuleo hii ukamtetea si mmpumbavu ...mkuu samahani kwa hili ila naomba kusimama na jina hili la upumbavu mpaka kesho saa tatu asbh
 
labda nikusaidie, mpumbavu ni mtu wa aina ya hao madokta, kuanzia kugoma mpaka kuomba msamaha, kumbuka sio watoto hao, ni mijitu mizima. na kuhusu suala la kuficha ni kwenye magazeti, tv na redio. hapa ni freestyle unafunguka tu mkuu.

Mkuu Lukansola, sijaelewa ulichokuwa unamaanisha mkuu wangu, kwamba mpumbavu ni mtu wa aina gani na sababu ipi tena?
 
kama mungu bado ajakulaaani kuchana gamba la tanzania basi naamini umesoma maneno ya magazeti ya leo na kesho ntakuwekea hapa na kama umesoma na bado umeandika haya basi naomba nisimame na kuita udkatari ni kazi moja yapo uya kipumbavu kwanini nasema hivi sikupenda kuita wajinga lakini unapoelekea ntaita hivyo......

Unajua akuna kitu kibaya kama kwenda na condom guest na kuiweka mfukoni alafu baada ya hapo unajuta
mungu wanguuuuuuuuuuuuuuuuuuu nimefanya nini???ni bora uwe na dhamia leo situmii condom lakini unapoingia nayo na kuishiaa kukaa nayo mfukoni alafu unamwomba mungu akusamehe basi sioni tatizo kukuita ibilisi

sasa basi kama awa watu wamefanya mgomo na akuna magazeti yalaioacha kuandika haya na kuomba jamani warudi si hivyo kuonyeshwa maiti kwenye magazeti si kwamba tulipenda na ndio maana kuna kaka yangu kibonde anakosea kama binadamu na siachi kumchamba huku lakini alipokuja na swala la dk nilikuwa nyuma yake na nililaani upuuzi wanaofanya si kwamba nasikitika watu wanaoenda kufa bali upumbavu wao ...unajua bora ukose utajiri kuliko kunyimwa ufahamu wa mungu ...uwezi kuangalia mtu anahangaika na machine ya oxygen ukijua anaitaji dawa alafuleo hii ukamtetea si mmpumbavu ...mkuu samahani kwa hili ila naomba kusimama na jina hili la upumbavu mpaka kesho saa tatu asbh

Mkuu Pdidy, kwa kuanza ningesema with your quote above i think, we obviously have different definations of "magamba"kulingana na ombi lako uliloniomba mwishoni, ..haina tabu after all am nobody, it's "free country" and you can can whenever you feel like...but back to the topic;

Sijaelewa hoja ni Ipi hasa hapa na jinsi ulivyoitoa achilia mbali mifano uliyoitoa/kuainisha hapo juu.

Hebu nirekebishe katika hili then tuendelee mkuu.
 
Lugha yako ni chafu sana katika content (matusi) na katika uandishi. Huko makini ktk kuandika kwani makosa ni tele. Jifunze kuandika umetulia, na kabla ya ku-post hakiki ulichoandika ndipo urushe.
 
mlitaka aandike kile mnachokitaka nyie?
Kila mtu yupo huru kutoa maoni yake pasi ya kuingilia uhuru wa mtu mwingine
olyset
pole sana ni mie unaenijua wala si mwingine sijanywa sinywi na wala sitoonja kwa sababu ma dk wameomab masamaha....ila nitamwomba mungu awape nguvu kwenda kwenye maakaburi na kuomba msamaha kwa vifo mlivyoleta hapa tanzania si kwamba magazeti yalipenda kupiga picha za maiti pale muhimbili bali ukosefu wa ufahamu
mungu atusaidie naa mini kama umesoma gazeti za leo basi naamini maneno yao ya kutorudia tena mgomo yatasimama kama ilivyo...unajua nenda kagome bar ukisema nikigoma malaya watakosa kazi lakini si kugoma hospitalini unaona ndugu yako anakufa huyoooooooooooooooo...samahani kwa hili nasikitika kwa sababu kuna dk mmoja ndug wa mkwe wangu mmoja alishiriki mgomo na alipotumiwa msg mttooto wa dadako yuko hoi alizima simu baaday a kuita kwa muda ...anyway yamepita ila kama tusemavyo kwenye tembe za ndoa tukisamehee lazima tusahau basi kaombeni wafiwa kwanza msamaha then tuje kusahau

naamini amkwend akwenye vyombo vya habari kuomba kazi bali damu za marehemu ndizo zilizowaumiza na kuwafanya mtoke huko peponi mlikofichwa na ibilisi shetan leo mnataka kurudi kaanani na kaanani akuingii kirahisi kama wasemavyo ni vigumu tajiri kuingia kuliko..........kasome
 
Pdidy, Unajuwa ni kwanini Madaktari wetu ni WAPUMBAVU?, Ni kwa ''SABABU WAMEFUNDISHWA KUKARIRI NA SIYO KUULIZA KWANINI''.
 
mkuu pdidy, kwa kuanza ningesema with your quote above i think, we obviously have different definations of "magamba"kulingana na ombi lako uliloniomba mwishoni, ..haina tabu after all am nobody, it's "free country" and you can can whenever you feel like...but back to the topic;

sijaelewa hoja ni ipi hasa hapa na jinsi ulivyoitoa achilia mbali mifano uliyoitoa/kuainisha hapo juu.

Hebu nirekebishe katika hili then tuendelee mkuu.

mkuu hoja ni

kukimbilia kugoma kwa sababu ya upumbavu na kusababisha maelfu ya wananchi kufariki na mwisho kurudi kwenye hayo hayo magazeti mlikuwa mkisimama nayo bila kujua mnawapa biashara na kuomba tenaaaaaa msamahaaa....labada ungenijuza mmeomba msamaha mrudi kazini kwa sababu ya kijiwe ama mmeumia kwa dhambi mlioifanya kwa kupoteza maelfu ya watanzania????ukinijibu hili tuendelee
 
Mkuu kwa mbaaaali ninaanza kuipata hoja yako, naomba niseme hivi..ndio mimi ni daktari, lakini si intern doctor(daktari aliyechini ya uangalizi wa daktari bingwa), kwani nilikuwa intern doctor kitambo kidogo hapo nyuma.

Then katika kujibu hoja yako naimba nikukumbushe.

1. UMUHIMU WA TAARIFA: Hawa ni intern 150 ( kati ya madaktari 364) WALIOSIMAMISHWA.. Taarifa zao kutokana na sababu wanazozijua WAO, waliamua kuomba msamaha hapo jana trh 18.09.2012...lakini leo hii uongozi wa Jumuiya ya madaktari(+/-MAT) umetoa TAMKO, kuondoa huo mkanganyiko..so either hukuwa na taarifa au ulikuwa na taarifa kuhusu tamko hili la leo but yet you did stick to yesterday's saga.

Hata katika TAMKO la leo madaktati uliowaona ni WALEWALE wa toka vuguvugu la mgomo kuanza, tofauti na wale "MADAKTARI WAOMBAJI MSAMAHA" wa jana!

Labda wale "madaktari waombaji msamaha" wapo humu jamvini wangetueleza sababu za MSINGI za kuomba msamaha huo.

Ushauri: Mkuu ingekuwa vizuri ungecheck yaliyojiri jamvini kabla ya ku_post thread yako(kama hukuwa na taarifa), but above all punguza hisia mkuu.

So hope nimekujibu, ila niko tayari kufafanua sehemu ambayo hatuko sawa Mkuu.
 
Njaa mbaya sana...mtu kama huyu anaandika ***** ili akaonyeshe alipwe loh...
 
mmetegwa mkategeka hasira za nini?
Tools down is coming,aluta continua!
 
Back
Top Bottom