Mgomo: Madaktari waiangukia serikali!

Mgomo: Madaktari waiangukia serikali!

Msaliti mkubwa ni ulimboka,sikutegemea kama angekua nyanya kiasi hiki,ndio alio sababisha wenzake kuto kuonana kama kiongoz ame ingia mitin unategeme waongozwa wafanye nini?warud kazin tu hamna ujanja istoshe selikal imeona imeshinda wanakazia ushind kwa kuwashinikiza waende media wabadili msimamo wao na wanafatwa mmoja baada ya mwingine.nimemchukia uli sana na mungu atatulipa wa tz inshaallah
 
mkuu Ulimboka atakuja soon.mbona huna uvumilivu?fanyia kazi aliyosema!unakumbuka alivyorudi alisemaje?msaliti ni wewe usiyefanyia kazi matamko ya ulimboka.nachukia watu wa aina yako.
 
kwani madaktari ndo waliwaua hao unaosema wakaombwe msamaha...wa wapi ww!hovyoooo
 
na watuimbe na msamahaa! sisi wananchi mana sisi ndo tuliokubwa na madhara ya mgomo wao uliokosa tija na kushawishiwa na mandezi wachache ambao leo wamewasaliti kabisa.
 
Pengine yanayotokea tuliyaandika humu na tuliwaasa kunguni waliojitokeza kuomba msamaha
wakati wa mgomo tuliwaasa sana kama mmeamua muwe makini sana na kama amko pamoja ni bora mkajipange na kabla ya kujipanga anagalieni madhara yake yanayoenda kutokea

Dk Ulimboka aliongea vya kuongea lakini mkono wa serikali mrefu na hapo ndipo walipoamini wakati aliporudi sipendi kusema mlikosea naamini mlifanya mkumbo kukimbilia mgomo sasa basi naomba kama mmeomba msamaha basi nendeni kwenye makaburi ya kinondoni ama ya Dar yote mkaombe mlichofanya na upumbavu wenu kabla ya kusamehewa na serikali

nawaambia hivi kwakuwa wakati watu wanakufa muhimbili mlikuwa mkiwaona sasa basi mkihisi serikali ikiwasemehe imetoka, la hasha mkono wa Mungu ni mrefu kuliko serikali yenu simameni mbele ya watanzania muombe radhi kwa wafiwa wote waliokutwa na upumbavu wenu.

wewe Pdidy nimeona hii RAP yako, ni rap katuni eeh!
 
Pengine yanayotokea tuliyaandika humu na tuliwaasa kunguni waliojitokeza kuomba msamaha
wakati wa mgomo tuliwaasa sana kama mmeamua muwe makini sana na kama amko pamoja ni bora mkajipange na kabla ya kujipanga anagalieni
madhara yake yanayoenda kutokea

Dk Ulimboka aliongea vya kuongea lakini mkono wa serikali mrefu na hapo ndipo walipoamini wakati aliporudi sipendi kusema mlikosea naamini mlifanya mkumbo kukimbilia mgomo sasa basi naomba kama mmeomba msamaha basi nendeni kwenye makaburi ya kinondoni ama ya Dar yote mkaombe mlichofanya na upumbavu wenu kabla ya kusamehewa na serikali

nawaambia hivi kwakuwa wakati watu wanakufa muhimbili mlikuwa mkiwaona sasa basi mkihisi serikali ikiwasemehe imetoka, la hasha mkono wa Mungu ni mrefu kuliko serikali yenu simameni mbele ya watanzania muombe radhi kwa wafiwa wote waliokutwa na upumbavu wenu.

Ndugu Pdidy pole sana ndugu yangu najua una hasira km mimi. Ht mi mwanzo niliwalaani sn lkn baadaye nikaja kuwaelewa kwamba hawakuwa na nia ya kuomba msamaha bali ni NJAA ndugu yangu.

Hebu firikia mwenyewe, hao watu serikali ilikuwa ndo inawatema wkt washapigika kusoma miaka 5 i.e bila ajira wangeishije? Ungekuwa we ungefanyaje?

So nafikiri ht wao kutoka kumtima hawana nia ya kuomba radhi bali wakiangalia future du!. Hawataki tu kukubali lkn ukweli ndo huo na inawezekana ndo walikujibu hapa JF kwa hasira. Na nahisi walicomment kwa hasira hp jinsia zao ni 'me' bcoz mtoto wa kiume si unajua tena huwezi kukubali kujishusha kirahisi
 
Pdidy utaishi miaka mingi sababu hutumii ubongo wako! Uko relaxed kabisa. Muache mate wetu Ulimboka apumzike
 
Tena ilifaa radhi iombwe kwa watanzania (walalahoi) ambao walipoteza ndugu zao kwa kukosa huduma mahospitalini kwasababu ya huo mgomo. Siku-support hata siku moja huo mgomo, nililaani mno. Mdai yao ilikuwa kutunishiwa mfuko, then walipoona wanahitaji support toka kwa wananchi wakaongeza kisingizio eti "vitendea kazi mahospitalini...."
 
Pengine yanayotokea tuliyaandika humu na tuliwaasa kunguni waliojitokeza kuomba msamaha
wakati wa mgomo tuliwaasa sana kama mmeamua muwe makini sana na kama amko pamoja ni bora mkajipange na kabla ya kujipanga anagalieni madhara yake yanayoenda kutokea

Dk Ulimboka aliongea vya kuongea lakini mkono wa serikali mrefu na hapo ndipo walipoamini wakati aliporudi sipendi kusema mlikosea naamini mlifanya mkumbo kukimbilia mgomo sasa basi naomba kama mmeomba msamaha basi nendeni kwenye makaburi ya kinondoni ama ya Dar yote mkaombe mlichofanya na upumbavu wenu kabla ya kusamehewa na serikali

nawaambia hivi kwakuwa wakati watu wanakufa muhimbili mlikuwa mkiwaona sasa basi mkihisi serikali ikiwasemehe imetoka, la hasha mkono wa Mungu ni mrefu kuliko serikali yenu simameni mbele ya watanzania muombe radhi kwa wafiwa wote waliokutwa na upumbavu wenu.
Hujakosea, umeandika sahihi kabisa hasa nikikumbuka waliokufa kwa sababu ya huyo mgomo.
 
Hakuna wakumdanganya hapa. heading aliyoiweka si sahihi. Ma dr walioomba msamaha,wenyewe waliweka wazi kabisa ktk taarifa yao kua ni kikundi kingine-tofauti na jumuia ya madaktari iliyoongoza mgomo,ambayo ulimboka alikua kiongozi wake. so why amuunganishe ulimboka ktk hili? ulimboka hajatoa kauli hii na hahusiki ktk klundi hili, ni kundi dogo la intern? hii ni takataka pdidy, kubali ujifunze kuandika
labda nikusaidie, mpumbavu ni mtu wa aina ya hao madokta, kuanzia kugoma mpaka kuomba msamaha, kumbuka sio watoto hao, ni mijitu mizima. na kuhusu suala la kuficha ni kwenye magazeti, tv na redio. hapa ni freestyle unafunguka tu mkuu.
 
Tena ilifaa radhi iombwe kwa watanzania (walalahoi) ambao walipoteza ndugu zao kwa kukosa huduma mahospitalini kwasababu ya huo mgomo. Siku-support hata siku moja huo mgomo, nililaani mno. Mdai yao ilikuwa kutunishiwa mfuko, then walipoona wanahitaji support toka kwa wananchi wakaongeza kisingizio eti "vitendea kazi mahospitalini...."

Mkuu webondo, unayajua madai kweli?!..hilo unaloliaema "waliliongeza lini"?? when was the last time you attended the GOVERNMENT hospital? wapi?.. sidhani uko sahigi katika kile ulichokisema mkuu.
 
Mkuu Lukansola, sijaelewa ulichokuwa unamaanisha mkuu wangu, kwamba mpumbavu ni mtu wa aina gani na sababu ipi tena?
Mimi nina mashaka!huu ni mchezo umechezwa na watu flani ili kuisafisha serikali,si madokta hao!Lazima tufikiri kidogo kabla ya kulaumu kwa jazba!mi binfsi nakataa kwamba hao si madokta hata kidogo
 
KUNA MENGI YAMESEMWA HASA BAADA YA DR. ULIMBOKA KUTOKA KWENYE MATIBABU AFRIKA YA KUSINI. KUNA MENGINE KWENYE HALI YA KAWAIDA TUNAYAPUUZA ILA KUNA HILI LA KUWA ALIPEWA SH. BILLION 5 NA WATESI WAKE (ikulu) NA AMEHAMIA NJE KIKAZI. NINI UKWELI WAKE?
 
Najilazimisha kuhisi kuwa kuna mtu kaiba password ya Pdidy.[/QUOT

Nasikia madokta wa ukweli wamekanusha upuuzi huu uliotengenezwa idarani.

Mambo yeshakuwa mpwito mpwito, afya za watanzania zimewekwa rehani rasmi.
 
Yamewafika wenzetu .... kila wakitaka kujitahidi weeee........ mambo yamewashangaza....... tutafanya nini sasa eeehhh!! ... MUNDOOOOOO ....kamata mundo eehhh!!
 
MAT ndio walitakiwa kutoa tamko sio huyu kijana mganga njaa. Kama yupo honest aende polisi wamkamate ashitakiwe kwa mauaji ya kujitakia.
 
Nadahani hawana vyeti bado hivyo hawawezi kwenda!!!
Mimi nawashauri waende huko Rwanda, Botswana na SA.

Si nilisikia walikuwa wengi sana kwenye ubalozi wanaomba VISA kuna shuhuda alisema aliwaona.

teh teh teh
 
Back
Top Bottom