Makatibu Uenezi wa Majimbo ya Uchaguzi Mkoani Kagera wameanzisha mgomo baridi wa kuwalazimisha wenye malori ili wasombe watu kwenda mikutano ya kampeini itakayohutubiwa na Waziri Mkuu Majaliwa anayeingia mkoani jumapili 28/9.
Wamedai si vizuri CCM kuendelea kujidanganya kuwa ina watu wakati hawaji kwa utashi wao. Tajiri mmoja wa Missenyi aliyeombwa malori yake amehoji "kwani Wana CCM Wana funza miguuni?".
Alifafanua kuwa wapinzani mbona wanatembea wenyewe?
Mpaka jumamosi jioni, wakuu wa Wilaya walikuwa wakihangaika kutafuta mafuta kwa sababu wenye magari wamegoma kutoa magari yao mpaka wapewe mafuta.