OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Udhamini watapata saa ngapi?, washachelewa mpaka sasa
Mwigamba ndio naaani??
Udhamini watapata saa ngapi?, washachelewa mpaka sasa
Ha ha ha ha nimecheka sana leo loh........!!!!Chama cha ACT-Wazalendo kinamsimamisha Ndugu Samson Mwigamba kuwa mgombea Urais wa Chama hicho.
ACT-Wazalendo watafanya Mkutano MKUU wa Kidemokrasia wa kupitisha jina la Mgombea Urais. ACT-Wazalendo kimemsimamisha mtu muadilifu tofauti na vyama vingine.
Chama cha ACT-Wazalendo kinamsimamisha Ndugu Samson Mwigamba kuwa mgombea Urais wa Chama hicho.

Jamaa hawapo serious....
Nadhani atashika nafasi ya tatu. ACT ina wafuasi wengiAtaambulia 0.00000% kati ya kura zote.Nina uhakika hata yeye hatojipigia kura.
Hiyo asilimia 71 ya Lowasa inatoka wapi? Kwani mafisadi na wauza unga ni wengi kiasi hicho?Matokeo Urais jimbo la Arusha Mjini
1. Edward Ngoyayi Lowassa - Chadema 71,265
2. John Pombe Magufuli - CCM 10,115
3. Christopher Mtikila - DP 3
4. Samson Mwigamba - ACT Wazalendo 0
Kuna mtu anaenda kuaibika yeye na familia yake. Wanadhani Kitila Mkumbo ni mjingaa kukataa kugombea.
Chadema wangejifunza kupitia ACT-Wazalendo chama kina mwaka mmoja lakini kimemsimamisha mwanachama wake kugombea urais, Chadema wagombea wake wa urais na mgombea mwenza wote siyo wanachama wa Chadema wamewakodi tu kwa muda.