Mgombea urais wa ACT-Wazalendo ni Samson Mwigamba

Mgombea urais wa ACT-Wazalendo ni Samson Mwigamba

Status
Not open for further replies.
Na mfadhili wake mkuu alikuwa Lowassa si ndiyo?
wafadhili wake wanajulikana, walifikiri wangeweza kuiteketeza CDM kwa kumtumia yeye, upepo umebadilika sasa ka chama kake kanaishia shimoni, returns hakuna.
 
mkuu mbona unauliza maswali ya kindergarten?
Unajifanya humjui Boss wako!
Mkuu naona umeishakuwa mateka wa fisadi Lowassa upo kama nyumbu unasubiri safari ya matumani.

Teh teh teh.
 
Bora hawa pamoja na uchanga wao wamekataa kukodi mgombea kutoka chama chochote wanasimama peke yao, tofauti na Chadema wana miaka zaidi ya 20 lakini wagombea wao wote wa kukodi.
Kaka kuiondoa ccm madarakani inataka mbinu za hali ya juu sana! Sasa huyo mughamba si anapoteza muda tu? Hivi kuna mwehu atampigia kura huyo? Bora hata angeenda kugombea udiwani huko kwao!! U-Rais? Hivi hakusikia mpaka akina Pinda, Bilal, Sumaye, Augustine (wawili), Muhongo, Mwigulu n.k. wamekatwa kwamba hawatoshei kwenye u-Rais? Sasa si angejipima hapo tu, akajiona kwamba hatoshi?
 
wafadhili wake wanajulikana, walifikiri wangeweza kuiteketeza CDM kwa kumtumia yeye, upepo umebadilika sasa ka chama kake kanaishia shimoni, returns hakuna.
Mkuu ka-chama kake kana bendera nyingiiiiii!!!!!!!!!!! Yaani ukiona hivyo tu ujue hicho chama kinaongozwa na mataahira!!
 
Mwigamba ni MHAINI.

Halafu, hii taarifa kwa umma uliyotoa haiwezi kuwa na uzito bila kumtaja Lowassa na Magufuli?!

Waache kuweweseka na Lowassa waanze kufikiri watakavyomjibu msajili maana anamwelewa Kitilla fika. Nae Samson atakwenda bila mgombea mwenza?
 
sasa ikulu kila mtu anataka muachieni kiti chake lowasa
 
Kaka kuiondoa ccm madarakani inataka mbinu za hali ya juu sana! Sasa huyo mughamba si anapoteza muda tu? Hivi kuna mwehu atampigia kura huyo? Bora hata angeenda kugombea udiwani huko kwao!! U-Rais? Hivi hakusikia mpaka akina Pinda, Bilal, Sumaye, Augustine (wawili), Muhongo, Mwigulu n.k. wamekatwa kwamba hawatoshei kwenye u-Rais? Sasa si angejipima hapo tu, akajiona kwamba hatoshi?

Kwenye chama chao chenye bendera nyingi kuliko wanachama ukishapona panga la Zitto msajili hana shida anakupa fomu wananchi walakugawane huko uraiani.
 
Kwenye chama chao chenye bendera nyingi kuliko wanachama ukishapona panga la Zitto msajili hana shida anakuwa fomu wananchi walakugawane huko uraiani.
Hata hivyo si nimesikia hiyo fomu ilitolewa kwa ajili ya Kitila Mkumbo sasa sijui watafanyaje?
 
Chama cha ACT-Wazalendo kinamsimamisha Ndugu Samson Mwigamba kuwa mgombea Urais wa Chama hicho.

ACT-Wazalendo watafanya Mkutano MKUU wa Kidemokrasia wa kupitisha jina la Mgombea Urais. ACT-Wazalendo kimemsimamisha mtu muadilifu tofauti na vyama vingine.
Hamko serious
 
Hata hivyo si nimesikia hiyo fomu ilitolewa kwa ajili ya Kitila Mkumbo sasa sijui watafanyaje?

Hawatakuwa na la kufanya zaidi ya kuufyata. Huwezi kwenda tume ukamchukulie mtu fomu ya kugombea nafasi kubwa hivyo bila kuwa na makubaliano nae.Mahesabu ya Zitto kudhani kuwa prof.Mkumbo wako mzani sawa kisiasa hayakuwa sahihi.Linapokuja suala la uelewa na uchambuzi wa siasa Kitila ni wa kimataifa zaidi achilia mbali unafiki walio nao ambao naamini Zitto anaweza kumzidi tu kwa hilo. Kama aliweza kumpotosha hadi kuandika waraka ule basi yuko vizuri. Msajili anamfahamu vizri sana prof Kitilla sasa Mwigamba hiyo fomu ataijaza kwa jina gani hadi ipokelewe na kupitishwa na msajili? Labda msajili aagizwe na ccm kufanya hivyo.Nae msajili hatahoji kuhusu mgombea mwenza kama yalivyo matakwa ya katiba ya nchi?Tuendelee kusubiri upepo unaovuma tutazidi kuziona nyeti za kuku.
 
Chama cha ACT-Wazalendo kinamsimamisha Ndugu Samson Mwigamba kuwa mgombea Urais wa Chama hicho.

ACT-Wazalendo watafanya Mkutano MKUU wa Kidemokrasia wa kupitisha jina la Mgombea Urais. ACT-Wazalendo kimemsimamisha mtu muadilifu tofauti na vyama vingine.

Nyinyi ni wahuni tu hamna jipya. Ni genge la wahuni & matapeli wa kisiasa. Tunasubiri kampeni zianze ndio tumwage nondo zetu na kuumbua unafiki wenu
 
wasaliti katika ubora wao wamemteua Mwigamba apeperushe bendera ya urais na saivi anasubiri kupitishwa na mkutano mkuu.source:npo kikaoni

Sasa upo kikaoni kumbe unawachora tu wenzako huku unajua ni wasaliti? Sasa na wewe ni nani? Sio msaliti?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom