mchambuzixx
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 1,292
- 946
Naskia ni ana mughira sio mwigamba....fomu si walishachukua hivi zinaweza kutolewa mara 2
Hiyo asilimia 71 ya Lowasa inatoka wapi? Kwani mafisadi na wauza unga ni wengi kiasi hicho?
Chama cha ACT-Wazalendo kinamsimamisha Ndugu Samson Mwigamba kuwa mgombea Urais wa Chama hicho.
ACT-Wazalendo watafanya Mkutano MKUU wa Kidemokrasia wa kupitisha jina la Mgombea Urais. ACT-Wazalendo kimemsimamisha mtu muadilifu tofauti na vyama vingine.
Kaka kuiondoa ccm madarakani inataka mbinu za hali ya juu sana! Sasa huyo mughamba si anapoteza muda tu? Hivi kuna mwehu atampigia kura huyo? Bora hata angeenda kugombea udiwani huko kwao!! U-Rais? Hivi hakusikia mpaka akina Pinda, Bilal, Sumaye, Augustine (wawili), Muhongo, Mwigulu n.k. wamekatwa kwamba hawatoshei kwenye u-Rais? Sasa si angejipima hapo tu, akajiona kwamba hatoshi?
Mwalimu Kaijage siyo mama mwenyekiti tena? Duh! Mwigamba hata ubunge ni sheedah mmempeleka uraisi? Hahaha!
Chama cha ACT-Wazalendo kinamsimamisha Ndugu Samson Mwigamba kuwa mgombea Urais wa Chama hicho.
ACT-Wazalendo watafanya Mkutano MKUU wa Kidemokrasia wa kupitisha jina la Mgombea Urais. ACT-Wazalendo kimemsimamisha mtu muadilifu tofauti na vyama vingine.
Kutunza heshima ya chama kwa wananchi ni afadhali msingelisimamisha mgombea !! Tuliona hivyo kwa vyama vilivyokuwa vinachipuka (vichanga) wakati huo kama CHADEMA na vingine vichache kutokuwa tayari kupata walau 0.1% ya kura zote za URAIS ni bora ukajipanga kwenye udiwani na viti walau 2 vya ubunge.
Dili so limestukiwa! BTW huyu Mwigamba ndiyo yule tuliona picha take kakwidwa baada ya kunzulumu mwenzie Mpesa toka kwa CEO?
Chadema wangejifunza kupitia ACT-Wazalendo chama kina mwaka mmoja lakini kimemsimamisha mwanachama wake kugombea urais, Chadema wagombea wake wa urais na mgombea mwenza wote siyo wanachama wa Chadema wamewakodi tu kwa muda.
Kwa kichekesho kingine kama hiki tuma meseji "Cheka" kwenda namba 15468. Vodacom, kazi ni kwakoChama cha ACT-Wazalendo kinamsimamisha Ndugu Samson Mwigamba kuwa mgombea Urais wa Chama hicho.
ACT-Wazalendo watafanya Mkutano MKUU wa Kidemokrasia wa kupitisha jina la Mgombea Urais. ACT-Wazalendo kimemsimamisha mtu muadilifu tofauti na vyama vingine.
Nimeshawahi kuwasikia Viongozi waandamizi wa ACT wakisema kwamba ATAYECHAGULIWA KUPEPERUSHA BENDERA YA URAIS NDIYE ANACHUKUA CHEO CHA KIONGOZI MKUU. Naongojea kwa Hamu kuona kama Zitto ataachia UNURU na UTASWIRA wa Chama Kitila Mkumbo