Mgombea urais wa ACT-Wazalendo ni Samson Mwigamba

Status
Not open for further replies.
Chama cha ACT-Wazalendo kinamsimamisha Ndugu Samson Mwigamba kuwa mgombea Urais wa Chama hicho.

ACT-Wazalendo watafanya Mkutano MKUU wa Kidemokrasia wa kupitisha jina la Mgombea Urais. ACT-Wazalendo kimemsimamisha mtu muadilifu tofauti na vyama vingine.

Mwigamba ni MHAINI.

Halafu, hii taarifa kwa umma uliyotoa haiwezi kuwa na uzito bila kumtaja Lowassa na Magufuli?!
 
Chama cha ACT-Wazalendo kinamsimamisha Ndugu Samson Mwigamba kuwa mgombea Urais wa Chama hicho.

ACT-Wazalendo watafanya Mkutano MKUU wa Kidemokrasia wa kupitisha jina la Mgombea Urais. ACT-Wazalendo kimemsimamisha mtu muadilifu tofauti na vyama vingine.

You are having a lough ,
 
Mchambuzi na Mungi wazee wa udaku njooni basi na taarifa za mgombea wa ACT-Wazalendo aliyechaguliwa na CCM.

Jamaa wamejidhalilisha sana eti ndiyo wachambuzi wa JF.

Teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Kutunza heshima ya chama kwa wananchi ni afadhali msingelisimamisha mgombea !! Tuliona hivyo kwa vyama vilivyokuwa vinachipuka (vichanga) wakati huo kama CHADEMA na vingine vichache kutokuwa tayari kupata walau 0.1% ya kura zote za URAIS ni bora ukajipanga kwenye udiwani na viti walau 2 vya ubunge.
Nia ya ACT na vyama vingine njaa ni kupunguza kura za UKAWA. Hata hivyo pongezi kwa mgombea Urais. Isije mwisho wa siku mkasema mmeamua kumuunga mkono Magufuli
 
Chama cha ACT-Wazalendo kinamsimamisha Ndugu Samson Mwigamba kuwa mgombea Urais wa Chama hicho.

ACT-Wazalendo watafanya Mkutano MKUU wa Kidemokrasia wa kupitisha jina la Mgombea Urais. ACT-Wazalendo kimemsimamisha mtu muadilifu tofauti na vyama vingine.

Yeye aje kushiriki tu atengeneze cv kwamba aliwahi kugombea uraisi wa jmt!
 
ACT chama kichanga sana, walitakiwa wajipange kwa 2020.
 
Chama cha ACT-Wazalendo kinamsimamisha Ndugu Samson Mwigamba kuwa mgombea Urais wa Chama hicho.

ACT-Wazalendo watafanya Mkutano MKUU wa Kidemokrasia wa kupitisha jina la Mgombea Urais. ACT-Wazalendo kimemsimamisha mtu muadilifu tofauti na vyama vingine.

Kweli Act wamechanganyikiwa. usaliti ni dhambi mbaya sana.
 
Leo Chama cha ACT Wazalendo kitatangaza msimamo wa mgombea wao wa urasi kutipitia mkutano utakaorushwa moja kwa moja na Kituo cha Runinga cha ITV.

Aidha, katika mkutano huo pamoja na mambo mengine wanatarajia kuondoa utata wa taarifa zinazosambaa kwenye vyombo vya habari kuwa chama hicho kinahaha kumpata Mgombea urais katika kushiriki Uchaguzi Mkuu.

Mkutano utawajia saa 10: 00 jioni hii.
 
Bora hawa pamoja na uchanga wao wamekataa kukodi mgombea kutoka chama chochote wanasimama peke yao, tofauti na Chadema wana miaka zaidi ya 20 lakini wagombea wao wote wa kukodi.
 
Mgombea urais wa band au TFF ebu niwekeni sawa.
 
Uuuuuwi!!!! Nimechapia, mkutano uko wapi? Nimeona mitaa ya sinza kuna pitapita nyingi ya ACT, tujuze tukachukue kadi.
 
Hiki chama kilianzishwa kwa mkakati mahususi wa ati kuipasua CHADEMA katikati ili wawe mbadala wakimtumia Zitto Kabwe kama mhusika wa upasuaji huo - sasa bila kufanya utafiti wa kina - upepo (dynamics) umegeuka na jamaa wamekosa uelekeo kabisa.
 
Duh,kweli hatari hii. Hivi Mwigamba alishamlipa hela alizomkopa yule dogo wa Arusha aliemkwida kipindi kile?
Mshaurini huyo dogo ahame nchi kabla mheshimiwa hajawa amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, vinginevyo uhai wake utakuwa mashakani.
 
Hiki chama kilianzishwa kwa mkakati mahususi wa ati kuipasua CHADEMA katikati ili wawe mbadala wakimtumia Zitto Kabwe kama mhusika wa upasuaji huo - sasa bila kufanya utafiti wa kina - upepo (dynamics) umegeuka na jamaa wamekosa uelekeo kabisa.
Na mfadhili wake mkuu alikuwa Lowassa si ndiyo?
 
Chama cha ACT-Wazalendo kinamsimamisha Ndugu Samson Mwigamba kuwa mgombea Urais wa Chama hicho.

ACT-Wazalendo watafanya Mkutano MKUU wa Kidemokrasia wa kupitisha jina la Mgombea Urais. ACT-Wazalendo kimemsimamisha mtu muadilifu tofauti na vyama vingine.
mkuu Mwl kaijage itabidi mtoe taarifa upya tume ya uchaguzi , zile fomu za mwanzo hazitakubaliwa apewe mtu mwingine zaidi ya yule mliemwandika kule kitila mkumbo .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom