Mgombea urais wa ACT-Wazalendo ni Samson Mwigamba

Mgombea urais wa ACT-Wazalendo ni Samson Mwigamba

Status
Not open for further replies.

Mwl. Kaijage

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
216
Reaction score
214
Chama cha ACT-Wazalendo kinamsimamisha Ndugu Samson Mwigamba kuwa mgombea Urais wa Chama hicho.

ACT-Wazalendo watafanya Mkutano MKUU wa Kidemokrasia wa kupitisha jina la Mgombea Urais. ACT-Wazalendo kimemsimamisha mtu muadilifu tofauti na vyama vingine.
 
mwalimu umeadimika kwenye ili jukwaa vp wewe ndio ulikua umejificha ndani ya nyumba juzi mlivyotoka kuchukua fomu?
 
natumai safari hii utaizungumzia act chama chako kwenye mada moto ili utueleweshe vizuri kuhusu mipango yenu msalimie sana kaka zito maana hatumsikii kabisa.
 
Kutunza heshima ya chama kwa wananchi ni afadhali msingelisimamisha mgombea !! Tuliona hivyo kwa vyama vilivyokuwa vinachipuka (vichanga) wakati huo kama CHADEMA na vingine vichache kutokuwa tayari kupata walau 0.1% ya kura zote za URAIS ni bora ukajipanga kwenye udiwani na viti walau 2 vya ubunge.
 
Chama cha ACT-Wazalendo kinamsimamisha Ndugu Samson Mwigamba kuwa mgombea Urais Wa Chama hicho.ACT-Wazalendo watafanya Mkutano MKUU Wa Kidemokrasia Wa kupitisha jina la Mgombea Urais.ACT-Wazalendo kimemsimamisha MTU muadilifu tofauti na vyama vingine. UKAWA wamemsimamisha Lowassa mwenye tuhuma za ufisadi na magufuli pia mwenye tuhuma za ufisadi

Huenda akapata kura za familia yake tu kama cheyo 1995
 
Chama cha ACT-Wazalendo kinamsimamisha Ndugu Samson Mwigamba kuwa mgombea Urais Wa Chama hicho.ACT-Wazalendo watafanya Mkutano MKUU Wa Kidemokrasia Wa kupitisha jina la Mgombea Urais.ACT-Wazalendo kimemsimamisha MTU muadilifu tofauti na vyama vingine. UKAWA wamemsimamisha Lowassa mwenye tuhuma za ufisadi na magufuli pia mwenye tuhuma za ufisadi
kaijage umerudi tenaa??????....jamani njaa hizi!!
 
Hiv huyu jamaa ataweza kufanya hata mikutano kwel...???Her wangemwwmbia zito aende mwenyewe.....
 
Duuuu mgombea urais aliye fukuzwa kuwa mwenyekiti wa CDM mkoa wa Arusha alifukuzwa bila hata mfuasi Mmoja kumfata Leo hii ni mgombea urais wa Chama ?
 
Si bure, lazima utakuwa na cancer ya ubongo ambapo ni vigumu kuokoa maisha yako.

Chama cha ACT-Wazalendo kinamsimamisha Ndugu Samson Mwigamba kuwa mgombea Urais wa Chama hicho. ACT-Wazalendo watafanya Mkutano MKUU wa Kidemokrasia wa kupitisha jina la Mgombea Urais.

ACT-Wazalendo kimemsimamisha mtu muadilifu tofauti na vyama vingine. UKAWA wamemsimamisha Lowassa mwenye tuhuma za ufisadi na Magufuli pia mwenye tuhuma za ufisadi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom