Chama cha ACT-Wazalendo kinamsimamisha Ndugu Samson Mwigamba kuwa mgombea Urais wa Chama hicho.
ACT-Wazalendo watafanya Mkutano MKUU wa Kidemokrasia wa kupitisha jina la Mgombea Urais. ACT-Wazalendo kimemsimamisha mtu muadilifu tofauti na vyama vingine.
Yeye aje kushiriki tu atengeneze cv kwamba aliwahi kugombea uraisi wa jmt!
Uuuuuwi!!!! Nimechapia, mkutano uko wapi? Nimeona mitaa ya sinza kuna pitapita nyingi ya ACT, tujuze tukachukue kadi.
WANAFUATA MAELEKEZO YA bwana MKUBWA WAO CCM ILI WAPUNGUZE KURA ZA URAIS ZA Ukawa. kitila alijua hata akisimama kama mgombea hawezi hata kufua dafu ndio maana akawashauri wenzake wajikite kwenye ubunge na udiwani lakini wakauona kama msalitiKutunza heshima ya chama kwa wananchi ni afadhali msingelisimamisha mgombea !! Tuliona hivyo kwa vyama vilivyokuwa vinachipuka (vichanga) wakati huo kama CHADEMA na vingine vichache kutokuwa tayari kupata walau 0.1% ya kura zote za URAIS ni bora ukajipanga kwenye udiwani na viti walau 2 vya ubunge.
Kiongozi mkuu kasepa Kigoma Mjini.
Chama cha ACT-Wazalendo kinamsimamisha Ndugu Samson Mwigamba kuwa mgombea Urais wa Chama hicho.
ACT-Wazalendo watafanya Mkutano MKUU wa Kidemokrasia wa kupitisha jina la Mgombea Urais. ACT-Wazalendo kimemsimamisha mtu muadilifu tofauti na vyama vingine.
Chama cha ACT-Wazalendo kinamsimamisha Ndugu Samson Mwigamba kuwa mgombea Urais wa Chama hicho.
ACT-Wazalendo watafanya Mkutano MKUU wa Kidemokrasia wa kupitisha jina la Mgombea Urais. ACT-Wazalendo kimemsimamisha mtu muadilifu tofauti na vyama vingine.
Na mfadhili wake mkuu alikuwa Lowassa si ndiyo?

Hapana mkuu, huyu anagombea uraisi wa CHAMA CHA ACT siyo JMT.
Profesa samsoni mwigamba ndiye mgombea urais wa ACT