Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,502
- 51,098
- Thread starter
- #21
Basi waishi ktk misingi ya Umma,na sio ktk preferences zao ambazo zinataka dini yao ipewe kipaumbele wakati kipaumbele ni umma kama one group na sio individual religious groups.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuishi katika misingi ya umma maana yake ni kuwepo kwa RELIGIOUS TOLERANCE na siyo ABSENCE OF RELIGION.
Religious tolerance ndiyo maana huwa tuna siku za OFF kwa ajili ya sikukukuu za kidini za Eid na Christmass hata kama NCHI YETU HAINA DINI ( ila watu wake wana dini)