Mgogoro wa Waislam UDOM waingia hatua mpya: Sheikh Ponda atoa tamko zito

Mkuu,naomba kufahamishwa kama hao vijana waliajiriwa kwasababu ya uislamu wao.

Hawakuajiriwa kwa mujibu wa Uislamu wao ila inaonyesha kuhamishwa kwao kuna element ya kuhamishwa sababu ya dini yao.

Wakati wa kuajiriwa hawakuajiriwa kwa mkupuo wakiwa waislamu watupu ila wamehamishwa kwa mkupuo, tena wote wakiwa waislamu tupu 100% na tena ikiwa ni baada ya sakata la kubomoa site ya msikiti kwa nguvu!. Hii inatuma picha gani?.

Fumbo afumbiwe mjinga ila mwerevu huling'amua
 
Kuna mtu kauliza je Kanisa nalo limejengwa pale?
Nimemjibu kuwa eneo la kujenga lipo kwenye ramani,Wakiristo watakapopata wasaa watajenga!

Hata hivyo kutokujengwa kwa kanisa hivi sasa kusiwakwaze Waislamu ambao wameshapata wasaa wa kuendeleza eneo lao walilolipata kwa kufuata taratibu zote!

Kwani chuo kinasemaje juu ya hayo maeneo???kwamba wakristo wabaki waislam watoke ama hakuna yeyote kuwa na jengo la ibada hapo chuoni???
 
Sikiliza ndugu yangu, mimi nimetoa data na takwimu
Suala la mimi kuwa Myahudi, Mkiristo, Muislamu au Atheist halina mshiko hapa!

Mimi natetea haki ya yeyote ninayeoona anaonewa bila kujali dini yake, hivyo ndivyo moyo wangu ulivyo.

Sasa wewe kama unaniona eti siyo mfuasi wa YESU wa NAZARETH kwa kupinga kwangu uonevu na unyanyapaa dhidi ya ndugu zetu Waislamu basi pole ila nataka nikuhakikishie mimi ni Mfuasi wa YESU.

Wewe unadhani watu watampendaje YESU kama wale wanaojifanya Wamempokea wanatenda ubaguzi katika nafasi za utumishi tulizowapa watutumikie?

Yesu alisema mpende jirani yako, nami nawapenda Jirani zangu Waislamu!

Laiti wanayofanyiwa wao wangefanyiwa Wakiristo katika utawala wa Rais Muislam wewe usingepiga kelele humu JF na katika makanisa na vigango?

Ondoa upofu wewe tenda haki kwa binadamu wenzako, acha upofu wa UDINI
Hata ungejitetea kwa namna gani mkuu bado haiondoi ukweli wewe ni muislamu swafi kabisa tukihold hoja yako ya kutetea haki constant

Ukija kwenye issue ya msikiti nayo siyo suala la msingi sana na wala siyo la kufanya kuwa kilio kila siku yaani issue ambayo ingekuwa ya kulilia hapa na hapo tungekuwa pamoja ingekuwa ni uminywaji wa uhuru wa kuabudu yaani kama mngekuwa mmezuiwa kufanya swala zenu 5 hapo ingekuwa tatizo lkn swala mnafanya na bado mmepewa na sehemu ya kufanyia swala ila bado mnalalamika mnataka msikiti ambao mamlaka zimeona kuna makosa yalifanyika ktk utoaji wa kibali hili siyo sawa.

Kuweni na subra watukufu waislamu taratibu zifuatwe na kurekebishwa pale zilipokosewa hamuwezi kulazimisha makosa yaonekane ni sawa
 
Kwani chuo kinasemaje juu ya hayo maeneo???kwamba wakristo wabaki waislam watoke ama hakuna yeyote kuwa na jengo la ibada hapo chuoni???

Waliovunjiwa ni waislamu, wakiristo wao walikuwa hawajaanza kuendeleza eneo lao!

Waislamu wameharibiwa mali ambayo tayari kuna pesa na gharama wameshaiingiza katika kuendeleza eneo lao!

Kwa hiyo hii kauli ya kuwa wote wasijenge ni kauli ya kujificha tu lakini kimsingi inaonekana kuwa imewatarget waislamu ambao wameshainvest katika ujenzi wa eneo lao
 
Wacheni mitazamo ya jumla namna hiyo,kama ni hivyo basi waislam walitakiwa wadai fidia,ndio ingeleta mantiki.

Wewe unafikiri wakristo kwa umoja walio nao wameshindwa kujenga kanisa hapo ndani???au walichelewa sababu ya kutokuwa na uhakika na wanachofanya??
 
Watumishi wa Kikiristo ni wengi kuliko Waislamu hapo UDOM toka zama za uongozi wa awali , kwa hiyo kudai kulikuwa na upendeleo wa ajira kwa waislamu ni UONGO WA MCHANA!.

Labda kama una maanisha kuwa Waislamu wasipate nafasi kabisa ya utumishi katika Taasisi za umma hapo ndo uone kuwa imekaa sawa!
Hapana sikumaanisha hivyo ila nilichoandika ni 'Hearsay' kama nilivyoonesha hapo.
 
Kwahiyo waislam wakitaka kujenga eneo la kufanyia ibada mahali kama hapo unashauri kwanza pajengwe kanisa au wakaombe ujenzi wa kanisa kisha wapewe kibali cha kujenga msikiti au unamaanisha nini ?
Vinginevyo punguza kashfa ili mjadala uende sawa
Kwa hiyo pale udom kuna kanisa?. Acheni ufala nyie wajinga pale ni chuo wala si sehemu ya dini. Si mna chuo cha dini morogoro kama mnataka anzisheni vingine. Pumbavu zenu. Dini yenyewe ya kigaidi tu haina maana shenzi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmeamua kutokusoma wala kutopeleka watoto wenu shule,mnawapeleka madrasa! Haya ndo matokeo wachache wanakidhi vigezo hasa kutumika ktk ngazi za juu za kielimu...

Acheni udini,huu uzi tu ni udini tosha! Nendeni shule acheni kushauriana mambo yasiyo na tija.

Kama wamehamishwa,huko walipoenda si wapige kazi tatzo nini? Au kuna mkate gani walikua wanapata walipokua UDOM?

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe umesoma mpaka level gani ndugu ? ulivyo comment tu unaonekana kichwani hakuna kitu. mimi ni muislam na ninauhakika kabisa nimesoma vizur na kwa kiwango ambacho kukifikia itakuchukua muda mrefu sana... ifike mahali uwe una staha kiongozi
 
Sasa mkuu muunganiko wa wew kua muislam na kusoma kwako ni upi? Mbn unaleta udini mzee?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawakuajiriwa kwa mujibu wa Uislamu wao ila inaonyesha kuhamishwa kwao kuna element ya kuhamishwa sababu ya dini yao.

Wakati wa kuajiriwa hawakuajiriwa kwa mkupuo wakiwa waislamu watupu ila wamehamishwa kwa mkupuo, tena wote wakiwa waislamu tupu 100% na tena ikiwa ni baada ya sakata la kubomoa site ya msikiti kwa nguvu!. Hii inatuma picha gani?.

Fumbo afumbiwe mjinga ila mwerevu huling'amua
Kwanini sasa isiwe wewe unayeona hizo elements za udini ndio mdini?
 
Hivi mumelazimishwa kwenda u dom? Nendeni kwenye chuo chenu morogoro acheni chuo mataifa yote kelele za nn.
 
Uhamisho wao unaonyesha kuna dhana ya "dini" zao kuwa sababu ya uhamisho wao!.
Haiwezekani ukahamisha watu 11 halafu 100% ya hao uliowahamisha wakawa wa dini moja then ukaja kusema kuwa hakuna kitu behind!

Utakuwa unadanganya!
Wamehamishiwa kwenye taasisi ya Kiislam au kwenye taasisi ya serikali? Huko hakuna waislam?
Au wamekuwa demoted? Sababu ni uislam wao?

Kama wamehamishwa kwasababu ya ukorofi wa kidini basi ni sawa na wamesaidiwa tu kukata mitandao ya kiharakati ua udini. Ka.a umeajiriwa kufundisha, fundisha. Kama unataka kuwa kama Ponda, basi acha ajira nenda kawe mtetezi na mwanaharakati wa dini.

Acheni mambo ya hovyohovyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maneno makubwa sana haya, hata Yesu hakupenda watu wadhulumiwe kwa sababu yoyote.
Mwenyezi Mungu akujaalie kwa moyo wako huo
Sikiliza ndugu yangu, mimi nimetoa data na takwimu
Suala la mimi kuwa Myahudi, Mkiristo, Muislamu au Atheist halina mshiko hapa!

Mimi natetea haki ya yeyote ninayeoona anaonewa bila kujali dini yake, hivyo ndivyo moyo wangu ulivyo.

Sasa wewe kama unaniona eti siyo mfuasi wa YESU wa NAZARETH kwa kupinga kwangu uonevu na unyanyapaa dhidi ya ndugu zetu Waislamu basi pole ila nataka nikuhakikishie mimi ni Mfuasi wa YESU.

Wewe unadhani watu watampendaje YESU kama wale wanaojifanya Wamempokea wanatenda ubaguzi katika nafasi za utumishi tulizowapa watutumikie?

Yesu alisema mpende jirani yako, nami nawapenda Jirani zangu Waislamu!

Laiti wanayofanyiwa wao wangefanyiwa Wakiristo katika utawala wa Rais Muislam wewe usingepiga kelele humu JF na katika makanisa na vigango?

Ondoa upofu wewe tenda haki kwa binadamu wenzako, acha upofu wa UDINI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongozi uliopo umechoka jamani sasa ni wakati wa kubadili uongozi wa taifa kwani chama kimekaa mda mrefu mmnooo! Chama kimezeeka, kina jenga huku kinabomoa kule.
 
Ngovongo, ]Hilo la kupata msikiti ni bora zaidi na hata mimi napenda,lakini point yangu kwa nini zitumike fujo ambazo zinautia uislamu taswira mbovu?

Kuna faida gani ya watu kupewa eneo la ibada wakawa wanafanya ibada eneo ambalo wamelipata kwa fujo fujo?

Yaani unaona raha mnapewa eneo la kuswalia huku mkionekana watu wafujo fujo na kila mmoja anakusema kwa fujo yako?

Yani unaona raha kula chakula ambacho unakula huku pembeni unasemangwa kwa fujo ulizotumia kula chakula hicho?

Ndugu yangu mimi ni muislamu na naweza kumfundisha dini hata baba yako na ma yako,lakini tatizo ni njia zenu mnazotumia kudai haki zenu zinautis doa uislamu.

Sawa unatakiwa uwape watoto wako kuls,lakini ndo ukaibe na kukaba?

Alafu wakati huo watoto wako wanakula vizuri na wewe umetimiza majukumu yako kuna watu pembeni wanakusema kwa njia amabzo umetumia kutimiza jukumu lako hilo,na kuwa umeshajenga taswira mbaya tayari hivi kuna raha gani?

Tatizo waislamu tuna jazna na tuna visababu vya kijinga jinga,umeisoma sira ya mtume wakati yupo makka?

Kuns baadhi ya mambo hutakiwi kutumia njia yeyote tu mradi upate jambo unalotaka,angalia hiyo njia ina maslahi gani na italeta picha gani na je dini inakubali hiyo njia?

Wewe unadhani uislamu wako peke yako tuu kwamba usali peke yako?
Uislamu unataka na wengine waingiee katika uislamu wajue mazuri na mema ya uislamu,sasa unafkiri kwa fujo hizo nani anatamani kujua mazuri ya dini kama mambo yenyewe huenda kifujo fujo?

Kuna bwana alimkopesha mtume pesa zake,wakaahidiana kwamba siku fulani bwana mtume ndo alipe.baada ya Muda ambao makubaliano ya kulipwa deni haujafika akaenda kwa mtume akamshika mashati na kuanza kumdai naomba pesa zangu,mtume wala hakupaniki na wala hakumuambia kwamba mbona mda bado?
Wale masahaba wakachukia kile kitendo wakataka kumtia adabu yule mdaiji,mtume akawakataza akawaambia "MFUNFISHENI NAMNA YA KUDAI NA MIMI MNIFUNDISHE NAMNA YA KULIPA"
Yule bwana mwenye kudai akapata aibu na kisa kinasema akasilimu yule bwana akawa muislamu kwa kitendo hiki tu.

Na kisa kingine cha bedui kukojolea msikiti wa mtume na mtume anaona,na mkojo ni najisi na mtume alikuwa na uwezo wa kumtia adabu,lakini mtume akawakataza masahaba wasimfanye kitu,baadae alipomaliza akawatuma masahaba wale wale wasafishe alafu akamuita pembeni yule bedui akamwambia "HAPA NI SEHEMU YA IBADA,HUTAJWA ALLAH SIO SEHEMU YA KUKIDHI HAJA.."
Bedui akasikia haya mpaka akasema "EWE ALLAH NIREHEMU MIMI NA MUHAMMAD TU NA SIO WALE AMBAO WALITAKA KUNIPIGA ...."
Al muhim kisa kirefu.

Sasa ungekuwa wewe hapo fujo mtindo mmoja wakati mafundisho yanataka tuyaendee mambo kwa upole.

UMMA WA KIISLAMU WA SASA UNAHITAJI KULINGANIWA KWA KWELI.
 
Umeandika maelezo marefu ukijifanya unaujjua vema uislamu lakini hakuna lolote..
Muislam kukosa swala 5 huwezi kuliita jambo dogo, muislam kupata swala 5 ndani ya eneo la chuo cha uma, serikali au uma husika vinapoteza nini?
Chuo ni mahali pa kujifunza ni vema wanaojifunza hapo waendelee na ibada zao. suala la ibada ya mtu linakunyima nini wewe?
Ibada zina faida nyingi, moja ya faida zake zinatupunguzia wahalifu mitaani

Sent using Jamii Forums mobile app
Waislamu wamekatazwa kuswali sala tano kumbe hapo msikitini?
 
Hilo la kupata msikiti ni bora zaidi na hata mimi napenda,lakini point yangu kwa nini zitumike fujo ambazo zinautia uislamu taswira mbovu?

Kuna faida gani ya watu kupewa eneo la ibada wakawa wanafanya ibada eneo ambalo wamelipata kwa fujo fujo?

Yaani unaona raha mnapewa eneo la kuswalia huku mkionekana watu wafujo fujo na kila mmoja anakusema kwa fujo yako?

Yani unaona raha kula chakula ambacho unakula huku pembeni unasemangwa kwa fujo ulizotumia kula chakula hicho?

Ndugu yangu mimi ni muislamu na naweza kumfundisha dini hata baba yako na ma yako,lakini tatizo ni njia zenu mnazotumia kudai haki zenu zinautis doa uislamu.

Sawa unatakiwa uwape watoto wako kuls,lakini ndo ukaibe na kukaba?

Alafu wakati huo watoto wako wanakula vizuri na wewe umetimiza majukumu yako kuna watu pembeni wanakusema kwa njia amabzo umetumia kutimiza jukumu lako hilo,na kuwa umeshajenga taswira mbaya tayari hivi kuna raha gani?

Tatizo waislamu tuna jazna na tuna visababu vya kijinga jinga,umeisoma sira ya mtume wakati yupo makka?

Kuns baadhi ya mambo hutakiwi kutumia njia yeyote tu mradi upate jambo unalotaka,angalia hiyo njia ina maslahi gani na italeta picha gani na je dini inakubali hiyo njia?

Wewe unadhani uislamu wako peke yako tuu kwamba usali peke yako?
Uislamu unataka na wengine waingiee katika uislamu wajue mazuri na mema ya uislamu,sasa unafkiri kwa fujo hizo nani anatamani kujua mazuri ya dini kama mambo yenyewe huenda kifujo fujo?

Kuna bwana alimkopesha mtume pesa zake,wakaahidiana kwamba siku fulani bwana mtume ndo alipe.baada ya Muda ambao makubaliano ya kulipwa deni haujafika akaenda kwa mtume akamshika mashati na kuanza kumdai naomba pesa zangu,mtume wala hakupaniki na wala hakumuambia kwamba mbona mda bado?
Wale masahaba wakachukia kile kitendo wakataka kumtia adabu yule mdaiji,mtume akawakataza akawaambia "MFUNFISHENI NAMNA YA KUDAI NA MIMI MNIFUNDISHE NAMNA YA KULIPA"
Yule bwana mwenye kudai akapata aibu na kisa kinasema akasilimu yule bwana akawa muislamu kwa kitendo hiki tu.

Na kisa kingine cha bedui kukojolea msikiti wa mtume na mtume anaona,na mkojo ni najisi na mtume alikuwa na uwezo wa kumtia adabu,lakini mtume akawakataza masahaba wasimfanye kitu,baadae alipomaliza akawatuma masahaba wale wale wasafishe alafu akamuita pembeni yule bedui akamwambia "HAPA NI SEHEMU YA IBADA,HUTAJWA ALLAH SIO SEHEMU YA KUKIDHI HAJA.."
Bedui akasikia haya mpaka akasema "EWE ALLAH NIREHEMU MIMI NA MUHAMMAD TU NA SIO WALE AMBAO WALITAKA KUNIPIGA ...."
Al muhim kisa kirefu.

Sasa ungekuwa wewe hapo fujo mtindo mmoja wakati mafundisho yanataka tuyaendee mambo kwa upole.

UMMA WA KIISLAMU WA SASA UNAHITAJI KULINGANIWA KWA KWELI.
Jaribu kuwa mkweli maana ukweli ni sehemu ya ibada kwa muislam.
Hiyo video hapo juu au maelezo ya mtoa mada ni mahali gani panapohimiza kufanyika fujo?
Mbona ni majadiliano ya kawaida fujo iko wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazungu na waharabu walijua ku brain wash ngozi nyeusi kuhusu dini haya na turudi enzi zetu sasa kwanini kusiwepo na darasa maalumu kwaajili ya sala na kwa dini zote hapo mnabadilishana muda tu chuoni waende kusoma tu kila dhehebu likajenge madhabahu kwao waulizwe wameenda kusoma au kuswali? UDOM ni chuo cha dini? Binafsi au cha serikali? Je SERIKALI INA DINI? Mbona kujishughulisha na mambo mengi misikiti si ipo mitaani? Nakaribisha povu la kila sabuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao watu wamefukuzwa au wamehamishwa eneo la kufanya kazi?kwanini wang'ang'ane kufanya kazi hapo udom?au kuna mpango uliokuwa unaendelea kwa hiyo kutokuwepo kwao ni kufeli?walihamishwa watu 24, kati yao wakrist/wenye majina ya kikristo ni 13, mbona hatusikii kelele za upande wa pili?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini wahamishwe waislam tu, hufunguki mzee?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom