Al assad
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 1,404
- 1,517
OK, sawa mkuu!Ni makosa hayo mkuu. Ukraine haijawahi kukaribishwa NATO
OK, sawa mkuu!Ni makosa hayo mkuu. Ukraine haijawahi kukaribishwa NATO
F-16 - Air superiority fighterkuna kindege kime dondoshwa uko na F-16
Bush bin laden vs jeshi la armeniaF-16 - Air superiority fighter
Su-25 - Ground attack fighter
Tactically F-16 kuiua Su-25 sio ishu sana kwasababu ni ndege mbili zenye majukum tofauti. Ni kama ambavyo A-10 ambavyo haiwezi chukua round kwa Su-27..
Ngoma inakuwa ngumu F-16 akiingia ring moja na Su-27, Su-35 nk hii mechi lazima iwe ngumu.
Hapa naowashangaa ni maafisa mipango ya jeshi la Armenia unaitumaje Su-25 kwenye mission bila support ya mabaunsa wa anga kama Su-27. Its a suicide mission.
Mkuu hii vita itaisha siku Nagorno-Kabarakh ikiwa chini ya Azerbaijan.
Hiyo Armenia tangu mwaka 2018 inajitenga na Russia kidogokidogo.
Unasema Russia wana base kama kigezo lakini mbona US wapo Incirlik airbase na walideploy mabomu ya nuclear pale, pia wana radar station nchini umo ila bado Turkey anawageuka.
Mataifa mengi yanafatilia hapa, lakini sidhani kama ni mzozo mkubwa kama ule wa Syria au North Korea! Pili sidhani kama India ina athari sana kama ufaransa au Iran.Kitu kingine huu mgogoro unafatiliwa sana kimyakimya. India walikuwa wawazi kuwa wanafatilia each and everything
Sijui kujibu kwa kuweka highlights kila mistari maana naona unatafsiri kila sentensi na pengine unarudia nilichokisema.Hapa nakubaliana na wewe kwasababu Azerbaijan wanatetea eneo lao LA Nagorno karbakh walilochukuliwa na Armenia, kwahiyo suluhu ni kurudisha eneo la watu ulilopokonya!
Hapa hujasema inajitenga vipi, nilikuuliza inajitengaje wakati ina mkataba wa kijeshi (ulinzi) na Urusi?! na Russia ina vikosi vyake Armenia?! Bado hujanijibu how?!
Turkey ni mwanachama wa NATO wanamkataba nao, na Marekani ina kambi mbili za jeshi nchini Uturuki, kama unafuatilia vizuri siasa za Uturuki utagundua kuwa Uturuki hajahatarisha hats kidogo maslahi ya marekani zaidi ya kutaka kurejesha dola lake la zamani la Ottoman hii ndio ndoto ya Tayep Erdogan, kwavipi hajamgeuka marekani?! Turkey ni mwislam lakini hujasikia akijaribu kumtisha Israel kumfutilia mbali kama Iran, Turkey kaungana na marekani kumsambaratisha na kumdhoofisha Syria adui wa Israel, kwa kusupport waasi wa Free Syrian army, Uturuki bado ana mvimbia Russia kuhusu armeni, akisupport Azerbaijan, Russia ambaye ni adui wa Marekani. Kwahiyo sioni wapi Uturuki kahatarisha maslahi ya marekani waziwazi zaidi ya kupingana na Russia Kyle Syria na sasa Azerbaijan na Armenia.
Mataifa mengi yanafatilia hapa, lakini sidhani kama ni mzozo mkubwa kama ule wa Syria au North Korea! Pili sidhani kama India ina athari sana kama ufaransa au Iran.
Kuhusu Crimea nilichosema siongezi ni jukumu lako kukubali au kukataa. Ungerejea mifumo ya uongozi wa USSR ilivyokuwa usingepinga. Nchi zilizokuwa USSR na Yugoslavia zilipigana baada ya kuvunjika muungano kwa sababu zilezile.
Leo hii huwezi chukua kisiwa cha Mafia ukakiweka chini ya Zanzibar ukiamini muungano utadumu, kisha muungano uvunjike Zanzibar ikatalie kisiwa hicho.
Kwa mfano huu: Mafia- Crimea, Zanzibar- Ukraine, Tanganyika- Russia. Badae Tanganhistoriawaa kisiwa chake uiite beberu.
Russia si kuwa analazimisha mahusiano na nchi za zamani za Soviet block. Yeye asichopenda ni kuweka base za NATO na US kwenye nchi hizo. Huwezi kuweka base ya Russia nchini Mexico US wakakubali. US hawezi kubali Russia kuivamia Canada hata kama isingekuwa NATO. US huyuhuyu ndiye aliweka naval blockade pale Cuba ilipohifadhi makombora ya USSR wakati huo USSR ikataka makombora yaliyoko mpakani naye yaondolewe.
Nataka nikukumbushe tu kuwa mshirika wa upande Fulani ni haki ya taifa lolote, Russia hana haki kuwachagulia majirani zake marafiki, nadhani unasahau hili, kila taifa lina haki ya kuchagua kuwa upande gani,Kitendo cha majirani za Russia kuwa puppets wa NATO au US hakikubaliki kwake. Huu sio msimamo wangu wa kuitetea Russia bali ni sera zao zinavyosomeka hivo. Na sikubaliani na occupation ya Donbass, kuna mahala ulisema Russia hawaaminiki wakati NATO hii hapa ilishindwa kuitetea Ukraine member wao.
Usiandike mambo mengi bila sababu tunachoshana. Part mbili za mwisho ulizo-quote hazikuwa na ulazima wa kuwepoHapa napingana na wewe, sikweli kuwa Crimea (klimea) ilikuwa sehemu ya Russia eti alafu Russia wakaitoa kwa Ukraine sikweli, baada ya kuvunjika kwa USSR kwanini Russia hakurejesha eneo lake?!
Umefuatilia sababu na jinsi Russia walivyo kivamia, kukimega na kukipora Rasi ya Klimea?!
Eneo la Crimea (Klimea) ni sehemu halali ya Ukraine na inatambuliwa na dunia nzima pamoja na UN mpaka sasa kuwa Klimea ni eneo halali la Ukraine, eneo hili linakaliwa na watu wengi wanaoongea Kirusi, na wakati wa umoja wa USSR warusi wengi walihamia eneo hili pamoja na maeneo mengine mashariki ya Ukraine kama Donetsk. baada ya kuvunjika kwa Soviet wakazi wengi wa kirusi pamoja na wale wanaoongea kirusi walibaki hapo Klimea, sasa Russia kwakutaka kuikomoa Ukraine kwasababu ilianza mchakato wa kujiunga na kambi ya magharibi, waliivamia Klimea kijeshi na kutangaza kuitisha kura ya maoni walioisimamia wao wenyewe Warusi wakadai asilimia 80% ya wakazi wa klimea wamepiga kura kujiunga na Urusi, wakidai wameenda pale Klimea kutetea watu wenye asili ya kirusi ambao hawataki kubaki Ukraine.
Sababu hizi za kipuuzi za urusi ndizo pia zinatumiwa na Armenia kuwa ilivamia eneo la Nagorno karbakh kutetea watu wake wenye asili ya Armenia wanaoishi eneo hilo.
Pia ndio sababu zinazoendelea kutumiwa na waasi wa mashariki mwa Ukraine (Donetsk) wanaotaka kujitenga na kujiunga na urusi kwakigezo cha kuwa wanaongea kirusi. Mzozo kama huo pia uko Latvia.
Klemia haijawahi kuwa eneo la Russia na wala kamwe hakuna nchi inayotambua kuwa Klimea ni eneo la Russia mpaka sasa, hata umoja wa mataifa UN una tambua eneo hilo kuwa ni sehemu ya Ukraine. Hata China mshirika wa Russia haijatangaza kuitambua klemia kama sehemu ya Russia(iko kimyaa mpaka sasa).
*Wewe utakuwa wa kwanza kuitambua klemia kuwa eneo la Russia kimataifa.
Kusema eti ilikuwa sijui eneo la Russia kabla ya USSR inaonyesha hujui historia ya eneo hilo.
Wakati wa vita baridi Marekani na USSR walikuwa na makubaliano Treaty ambayo yalitaka nchi hizo kutokuweka makombora ya kinyuklia karibu na mipaka yao! Referred mzozo wa Cuba na Marekani.
Baada ya kuanguka kwa USSR mkataba ile ulishakufa Kitambo! Na huu ndio ukweli, kumbuka Hata sasa Russia amebuni kombora jipya la kinyuklia la Masada marefu lenye design ya vanguard, kinyume na makubaliano ya vita baridi ya kutokuongeza zana za kinyuklia au mashindano ya silaha!
Kuanguka kwa USSR na kuzeeka kwa mikataba ile ya vita baridi yale mataifa mengi ya ulaya mashariki yalijiunga na NATO.
Nataka nikukumbushe tu kuwa mshirika wa upande Fulani ni haki ya taifa lolote, Russia hana haki kuwachagulia majirani zake marafiki, nadhani unasahau hili, kila taifa lina haki ya kuchagua kuwa upande gani,
Kitendo cha Russia kuzivamia klemia, kusaidia waasi wa Donetsk, Georgia(Ossetia), na kuzitisha Latvia ni ubeberu mbaya kabisa, mfano tusemaje na Tanzania tuivamie Kenya kwasababu ina base ya Jeshi la marekani na Uingereza pale?! Russia ina haki ya kuzichagulia hizo nchi rafiki na kuzitisha?! Huu ni ubeberu tu!
Ukraine sio full member wa NATO Bali ilikuwa kwenye mchakato ndipo Russia ikaivamia klemia na mashariki yake.
Sijui kujibu kwa kuweka highlights kila mistari maana naona unatafsiri kila sentensi na pengine unarudia nilichokisema.
Uturuki kakengeuka vipi wakati sio tishio kwa Marekani mwenye base Uturuki na vikosi vya jeshi nchini humo?! Maslahi ya Marekani yametishiwa na Uturuki mpaka sasa?! How?!Ututuki kakengeuka kwa NATO na US hata ukipinga. Kanunua S-400 na US kamuondoa kwenye program ya F-35 kwa ajili hiyo. Ni member wa NATO anayemchokoza Ugiriki member mwenzake. Sijawahi sikia Ufaransa inaleta migogoro na Ujerumani kisa Alsace na Lorraine. Hakuna member wa NATO anayenunua cutting edge military technology kutoka Russia bali Ururuki pekee.
Uturuki hajaenda Syria ili kuisaidia Israel wala hajawahi kuwa na msaada kwa Israel. Uturuki kaenda Syria kwa sababu ya Wakurdi na mafuta ya black market.
Usiandike mambo mengi bila sababu tunachoshana. Part mbili za mwisho ulizo-quote hazikuwa na ulazima wa kuwepo
Nenda kawabishie na Wikipedia kuwa Crimea halijawahi kuwa eneo la Russia.Hapa napingana na wewe, sikweli kuwa Crimea (klimea) ilikuwa sehemu ya Russia eti alafu Russia wakaitoa kwa Ukraine sikweli, baada ya kuvunjika kwa USSR kwanini Russia hakurejesha eneo lake?!
Umefuatilia sababu na jinsi Russia walivyo kivamia, kukimega na kukipora Rasi ya Klimea?!
Eneo la Crimea (Klimea) ni sehemu halali ya Ukraine na inatambuliwa na dunia nzima pamoja na UN mpaka sasa kuwa Klimea ni eneo halali la Ukraine, eneo hili linakaliwa na watu wengi wanaoongea Kirusi, na wakati wa umoja wa USSR warusi wengi walihamia eneo hili pamoja na maeneo mengine mashariki ya Ukraine kama Donetsk. baada ya kuvunjika kwa Soviet wakazi wengi wa kirusi pamoja na wale wanaoongea kirusi walibaki hapo Klimea, sasa Russia kwakutaka kuikomoa Ukraine kwasababu ilianza mchakato wa kujiunga na kambi ya magharibi, waliivamia Klimea kijeshi na kutangaza kuitisha kura ya maoni walioisimamia wao wenyewe Warusi wakadai asilimia 80% ya wakazi wa klimea wamepiga kura kujiunga na Urusi, wakidai wameenda pale Klimea kutetea watu wenye asili ya kirusi ambao hawataki kubaki Ukraine.
Sababu hizi za kipuuzi za urusi ndizo pia zinatumiwa na Armenia kuwa ilivamia eneo la Nagorno karbakh kutetea watu wake wenye asili ya Armenia wanaoishi eneo hilo.
Pia ndio sababu zinazoendelea kutumiwa na waasi wa mashariki mwa Ukraine (Donetsk) wanaotaka kujitenga na kujiunga na urusi kwakigezo cha kuwa wanaongea kirusi. Mzozo kama huo pia uko Latvia.
Klemia haijawahi kuwa eneo la Russia na wala kamwe hakuna nchi inayotambua kuwa Klimea ni eneo la Russia mpaka sasa, hata umoja wa mataifa UN una tambua eneo hilo kuwa ni sehemu ya Ukraine. Hata China mshirika wa Russia haijatangaza kuitambua klemia kama sehemu ya Russia(iko kimyaa mpaka sasa).
*Wewe utakuwa wa kwanza kuitambua klemia kuwa eneo la Russia kimataifa.
Kusema eti ilikuwa sijui eneo la Russia kabla ya USSR inaonyesha hujui historia ya eneo hilo.
Wakati wa vita baridi Marekani na USSR walikuwa na makubaliano Treaty ambayo yalitaka nchi hizo kutokuweka makombora ya kinyuklia karibu na mipaka yao! Referred mzozo wa Cuba na Marekani.
Baada ya kuanguka kwa USSR mkataba ile ulishakufa Kitambo! Na huu ndio ukweli, kumbuka Hata sasa Russia amebuni kombora jipya la kinyuklia la Masada marefu lenye design ya vanguard, kinyume na makubaliano ya vita baridi ya kutokuongeza zana za kinyuklia au mashindano ya silaha!
Kuanguka kwa USSR na kuzeeka kwa mikataba ile ya vita baridi yale mataifa mengi ya ulaya mashariki yalijiunga na NATO.
Nataka nikukumbushe tu kuwa mshirika wa upande Fulani ni haki ya taifa lolote, Russia hana haki kuwachagulia majirani zake marafiki, nadhani unasahau hili, kila taifa lina haki ya kuchagua kuwa upande gani,
Kitendo cha Russia kuzivamia klemia, kusaidia waasi wa Donetsk, Georgia(Ossetia), na kuzitisha Latvia ni ubeberu mbaya kabisa, mfano tusemaje na Tanzania tuivamie Kenya kwasababu ina base ya Jeshi la marekani na Uingereza pale?! Russia ina haki ya kuzichagulia hizo nchi rafiki na kuzitisha?! Huu ni ubeberu tu!
Ukraine sio full member wa NATO Bali ilikuwa kwenye mchakato ndipo Russia ikaivamia klemia na mashariki yake.
Hakuna kitu unanifundisha. Each and everything unachosema hapa sio kigeni kwangu wewe ukitaka andika tu ila usiandike kwa nia ya kunifundisha. Soma hapa
Naandika kukuelimisha maana unadanganya watu eti sijui klemia ni kama kisiwa cha mafia kuipa Zanzibar!
Inaonyesha hujui historia ya mzozo huo, badala yake unapotosha! Na uongo ukisemwa sana unaonekana kama ukweli.
Nenda kawabishie na Wikipedia kuwa Crimea halijawahi kuwa eneo la Russia.
Na mfano wangu wa kisiwa cha Mafia unaendelea kuwa applied. Serikali ya Tanzania ikiiweka Mafia chini ya Zanzibar kisha muungano ukavunjika, Tanganyika ikiitwaa Mafia yake utasema ni uvamizi?View attachment 1596322View attachment 1596321
Ahahaaa kaka,, Wikipedia sio Quran wala biblia kuna mangapi yako Wikipedia sio sahihi?! Sio kila kitu Wikipedia ni correct,, kuna mada iko huku jf inahusu vita ya kagera, Wikipedia imedai Tanzania tulisaidiwa na Mozambique wakati waliopigana vita ile wanakanusha! Tuamini nani aliyepigana vita au Wikipedia?!Nenda kawabishie na Wikipedia kuwa Crimea halijawahi kuwa eneo la Russia.
Na mfano wangu wa kisiwa cha Mafia unaendelea kuwa applied. Serikali ya Tanzania ikiiweka Mafia chini ya Zanzibar kisha muungano ukavunjika, Tanganyika ikiitwaa Mafia yake utasema ni uvamizi?View attachment 1596322View attachment 1596321
Hongera kwa kubishia historia ya dunia. Ikiwezekana andika historia yako ya Crimea ambayo unaita sijui Krimea. Uzuri wa hii declaration ipo sasa sijui utachomokea wapi ukiendelea kubisha, hapa si lazima itumike WikipediaAhahaaa kaka,, Wikipedia sio Quran wala biblia kuna mangapi yako Wikipedia sio sahihi?! Sio kila kitu Wikipedia ni correct,, kuna mada iko huku jf inahusu vita ya kagera, Wikipedia imedai Tanzania tulisaidiwa na Mozambique wakati waliopiga vita ile wanakanusha! Tuamini nani aliyepigana vita au Wikipedia?!
Nimekuuliza swali rahisi tu, kuwa kama klemia ilikuwa sehemu ya Russia kwanini UN haitambui kama eneo la urusi mpaka sasa?! Kwanini wapige kura kujitenga na Ukraine wakati sio sehemu yake?! Think about it,
Naona unaokoteza matango pori na kutulazimisha tuamini uongo mwepesi sana! Declaration ambayo UN haitambui sijui ilifia wapi?!Hongera kwa kubishia historia ya dunia. Ikiwezekana andika historia yako ya Crimea ambayo unaita sijui Krimea. Uzuri wa hii declaration ipo sasa sijui utachomokea wapi ukiendelea kubisha, hapa si lazima itumike Wikipedia
Uko sahihi mkuu, Ukraine sio member wa NATOUkraine ni member wa NATO Sikh hizi!?
Nilikuwa sins habari!
Tukiachana na Wikipedia. Hawa hapa Voice of America, BBC na Britannica ambao always ni wapinzani wa Russia nao wapinge.Naona unaokoteza matango pori na kutulazimisha tuamini uongo mwepesi sana! Declaration ambayo UN haitambui sijui ilifia wapi?!
Hujajibu swali unapuyanga tu, kwanini UN haitambui Klimea kuwa sehemu ya Russia?!
Au na UN nao hawajui hiyo Wikipedia unayozunguka nayo?!
UN hawajui hiyo declaration isipokuwa wewe tu na Russia?!
Hebu tuwe serious!!
Umechelewa kugundua kosa hili. Yeye kasoma once na kagundua kosa na nishakubali kuwa nimekosea masaa matatu yalopita.Uko sahihi mkuu, Ukraine sio member wa NATO
ndio maana nikasema kuna watu hawana information sahihi juu ya saga hili.
Russia alikuwa mvamizi tu wa eneo la watu ndio maana hata dunia nzima imegoma kuitambua klemia kuwa sehemu ya Russia,Umechelewa kugundua kosa hili. Yeye kasoma once na kagundua kosa na nishakubali kuwa nimekosea masaa matatu yalopita.
Pia mimi sizungumzii declaration ya UN wala chochote kuhusu haki. Ninasema hivi, Crimea ilikuwa part ya Russia na wewe unadai hakiuwahi kuwa. Kwenye declaration kuikubali au kuikataa ni maamuzi ya mtu binafsi.View attachment 1596394
Ramani ipi hiyo mkuu??.Kwa hii ramani ninachoona ni matayarisho ya kuizingira Iran pande zote.Time will tell.