Mgogoro kati ya Armenia na Azerbaijan

Mgogoro kati ya Armenia na Azerbaijan

Hivi kurudi upya kwa himaya ya ottoman sio hatari kwa masilahi ya marekani?
Unasema Uturuki sio tishio kwa Israel wakati ni mfadhiri mkubwa wa kifedha kwa kundi la hamasi ambaye ni adui mkubwa wa Israel.
Uhusiano kati ya Israel na Uturuki ulishaharibika kitambo hasa baada ya Trump kuitambu Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel.
Hao wakurdi wanao shambuliwa na Uturuki wanapata uungaji mkono kutoka Israel.
Mkuu nimegundua licha ya kwamba ww uko vizuri kwa kiasi fulani kwenye haya mambo ya siasa za kimataifa ,lakini ww ni mbishi hata kwenye mambo ambayo yako wazi kabisa.
Hivi mkuu unapo bisha ya kwamba Uturuki haijaikengeuka Marekani unakuwa unamaanisha nn?
Hivi uhusiano wa Uturuki na marekani miaka ya 2000 na uhusiano wao walionao kwa sasa unafanana?
Kwa sasa Uturuki sio nchi tena ya kupokea amri kutoka USA kama zamani.
Kati ya nchi iliyo felisha vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran ni Uturuki,inanunua gesi na mafuta na bidhaa nyingine za viwandani kwa mabilion ya $ Kutoka Iran licha ya vitisho kutoka Marekani.
Uturuki kwa sasa kila kukicha inajiondoa polepole kutoka kwenye makucha ya Marekani unadhani Marekani analipenda hilo?

Hapa nimecheka kidogo mkuu, tunatofautia uelewa Wa mambo sana, na sidhani kama ni sahihi kutulazimisha wote tufikiri kwa uelewa wako, au tuwe na kiwango kimoja cha uelewa mkuu, huu ni mtazamo finyu sana na kubana maoni na mawazo ya watu.

Hebu tuangalie unadhani uturuki ni hatari kwa marekani (kwa mtazamo wako wewe), nadhani una mwangalia marekani kama vile Palestine au Iran.

Marekani sio dhaifu hivyo mkuu, uturuki ni nchi dhaifu sana compared na marekani kuanzia kijeshi, kiuchumi, intelligence hadi ushawishi.

Kumbuka kuwa Marekani tayari ana kambi mbili ndani ya nchi ya uturuki ikiwemo na makombora ya nyuklia madhariki mwa uturuki.Marekani ana intelegencia kubwa sana ndani ya uturuki ambayo amekuwa akiendesha mapinduzi nchini humo. Marekani ndiye anayempatia uturuki asilimia 80% ya silaha zake. (Na tayari amesitisha program ya Ndege za F 35 na uturuki baada ya kununua S 400 ya Russia) Marekani ni m-bia mkubwa Wa biashara na uturuki akiwemo na umoja Wa ulaya hasa ujerumani na Italy. (Wakimbinya hawa kiuchumi mfano vikwazo tayari uturuki hana ujanja) hata akikimbilia Russia kiuchumi haina uwezo huo kumsapoti.

Umesema kurudi upya kwa himaya ya Ottoman ni hatari kwa Marekani how?! Inaweza kuwa tisho kwa rivals wake kama Egypt, saudia, Bahrain na UAE, kwa marekani bado sana, Turkey anapambani ushawishi na maslahi ya kiuchumi angalia Mzozo Wa uchimbaji gesi na ugiriki, Libya na Qatar. Pia ana pambania ushawishi eneo hilo la mashariki ya kati. Kumbuka Marekani sio mjinga alale na kuiacha turkey Ku dominated that region!

Kuiunga mkono hamasi kifedha sio tisho kwamarekani kama ambapo Iran anaunga mkono kijeshi kwakupeleka marocket na silaha pamoja military technology kwa hamasi, nchi nyingi zinasaidia hamasi na Palestine kifedha kama humanitarian aid ikiwemo Malaysia na Indonesia. Lakini sio tisho kwa marekani wala Israel. Kumbuka kuwa Uturuki bado ina uhusiano Wa kidiplomasia na Israel na inaitambua Israel tofauti na Iran.

Uhusiano Wa marekani Na uturuki haujaharibika tu baada ya marekani kutambua Jerusalem kama capital ya Israel Bali uliharibika baada ya kufanyika jaribio la mapinduzi uturuki dhidi ya Tayep Erdogan na erdogan kuishutumu marekani kuwa nyuma ya jaribio hilo ikimsaidia kiongozi Wa kiislam anayeishi marekani.

Uturuki chini ya erdogani ina fuata msimamo mkali nafahamu kama misri chini ya Mohamed Mossi Wa Islamic brotherhood aliyepinduliwa na Sise. Lakini sio tisho bado kama Iran haijafika hapo, na lolote linaweza kutokea kuanzia mapinduzi mpaka assassination! Marekani bado ina majeshi na ujasusi mkubwa turkey! Bado sio tisho kihivyo kwa marekani kama Urusi au Iran.
 
Kwahiyo kuvamia eneo la mtu ni lako?!

Mimi sina mahaba Niue na urusi, wrote urusi na marekani ni mabeberu tu, na hutaweza kunibadirisha msimamo wangu kwa hoja dhaifu sana,

Nimekuuliza swali dogo tu, lakini una puyanga, rahisi sana unadai klimea ni eneo la Russia ina maana United Nations hawajui hilo isipokuwa wewe na Wikipedia tu? Kama sivyo kwanini UN hawatambui kuwa ni eneo halali la Russia?! Ukijibu hapa nitakuelewa!
Hebu mjijibu ili tujue eneo hili ni la nani hasa ?
 
Uturuki na Israel ni marafiki wakubwa Sana.
 
Hakuna Urafiki kati ya Uturuki na Israel bali wana uhusiano wa kidipromasia kama ilivyo tz lakini hata uhusiano huo miaka ya hivi karibuni uhusiano ulivurugika kabisa baada ya Israel kuua zaidi ya waparestina 50 kwenye maandamano ya kupinga Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel.
 
Narudia tena. Israel na uturuki ni marafiki wakubwa Sana
 
Nadhani unaweza kujibu kwa uelewa wako, ndivyo unavyoelewa wewe, sasa usilazimishe nami nifikiri kwa kiwango cha uelewa wako mkuu, na kudai ni "ubishi" ingekuwa wote tunauelewa mmoja hata Maendeleo yangechelewa kufika.

Hoja yako unasema ni eneo la Russia sababu mwaka 1954 walilikabidhi kwa Ukraine kutokana na urahisi Wa utawala, hutaki kuona kuwa Russia walilivamia (occupied) wakalimega (segregated) na kulitenga (annexed)) na Ukraine baada ya kulivamia eneo hilo! Upeo huo hujafikiria bali umeanzia hapo kwenye sababu ya kulikabidhi kwa Ukraine! Kwahiyo ndugu South Africa kuivamia Namibia na kuja kuipa Uhuru 1990 inahalalisha kuwa eneo la south Africa?! Uingereza kuitawala Zanzibar na kuipa Uhuru 1963 kisha ikirudi na kuivamia ni halali? Klimea ilitawaliwa na nchi nyingi kuanzia Roma, ugiriki, Ufaransa enzi za Napoleon, Uturuki enzi za Ottoman, ujerumani enzi za Adolf Hitler, ikaja kukombolewa na Russia aliyekuwa mvamizi wake toka miaka ya 1700 kisha Mwaka huo 1954 ilirudishwa kwa Ukraine kama eneo lake halali.

Na ndio maana dunia nzima inatambua Klimea ni eneo la Ukraine halali, mpaka Leo hii hakuna nchi iliyotangaza kutambua unyakuzi huo Wa Russia klimea, hata Umoja Wa Mataifa umekataa kutambua hilo, Ramani zote Mpya zinazotoka sasa bado zinaonyesha kuwa klimea ni eneo la Ukraine.

Nimewauliza ina maana UN na wanadiplomasia wote hawajui kuwa klimea lilikuwa eneo la Russia isipokuwa nyie humu Jamiiforum?!

Tuache ushabiki na mapenzi binafsi tusome historia, mvamizi hawezi kuwa mmiliki kamwe.
Wewe hujui historia ya mataifa kabla ya kuwepo UN wala League of Nations. Kipindi cha zamani haya yalitokea nchi nyingi sana leo hii huwezi anza kuqndika upya historia kutaka kila eneo lililokwapuliwa lirudishwe. Soma hapa kuhusu US na Mexico:

"In 1846, everything changed. War broke out between the U.S. and Mexico over the U.S. annexation of Texas. Mexico was defeated, and in 1848 the two nations signed the Treaty of Guadalupe Hidalgo. This treaty gave the victorious nation an enormous amount of land, including what would later become the states of California and Texas, as well as parts of Colorado, Arizona, New Mexico, Utah and Nevada, in exchange for a token payment of $15 million."

Leo hii huwezi kumwambia Mexico adai eneo lake kwa US. Bado kuna nchi kama Germany ilichukua majimbo ya Alsace na Lorraine. Huwezi itaka China ivunjike irudishe dynasty za zamani kama Qing.

Hiyo ramani ya Urusi ni kubwa kwa sababu iliweza kushinda vita zote za maadui wa kipindi kile akina Ottoman Empire, Sweden, Britain, France na wengine. Hiyo Crimea ilitolewa kwenye milki ya Ottoman Empire na Russia wala sio kwenye milki ya Ukraine. Prince aliyeanzisha Russia miaka ya 800 mwishoni alianza na Moscow pekee akaendelea kumiliki maeneo ya jirani na walipofata kina Ivan the Terrible na Catherine walipigana na maadui kulinda nchi. Nani hajui kuwa Napoleon alishindwa vita nchini Russia wakati kwingine alipita.

Baada ya UN kuwa na resolutions na mikataba kusainiwa ndipo nchi yoyote inayovamia inakiuka mikataba hiyo. Israel kwa sasa anakataliwa annexation ya Jerusalem kwa sababu hii.
Yani unataka sheria ya 1940s ikabadili ramani za 1700s? Dunia si itachafuka kwa vita.
 
Uturuki ni wajanja sana, wanamlaani United Arab Emirates (Dubai) kwakuanzisha uhusiano Wa kibalozi na Israel, wakati yeye Uturuki ana uhusiano Wa kibalozi na Israel miaka nenda rudi,

Alafu anatokea mtu anakwambia eti Uturuki ni hatari kwa Marekani na Israel, seriously?! Ukimpinga anakuita wewe mbishi, hata mambo haya yanahitaji uelewa mpana sana! Sio kuangalia maneno ya kwenye media na wanasiasa wakina erdogani, wakati kwenye field mambo ni tofauti kabisa! Uturuki ana uhusiano Mzuri sana na Israel tukiacha maneno yake ya kisiasa kujifanya anaiunga mkono hamasi wakati matendo ni tofauti kabisa!
 
Teh teh [emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa bhana...
Mkuu Iran hata azungukwe na nini ni vigumu kuishambulia kwa sababu majibu yake ni hatari sana na anaogopeka, tuchukulie ule mfano wa male M.East na Asia hakuna aliekubali eti Ardhi yake itumike na mmarkani kuishambulia Iran wakati ule Iran ilivyopiga kwa missiles zile kambi za Marekani, pia Iran ina uwezo wa kurusha Missiles 1200 kwa wakati mmoja, hio alisema yule Kamanda wao wakati akiwaonya watakaotumia ardhi yao kuwaruhusu Marekani
Kwahiyo kuvamia eneo la mtu ni lako?!

Mimi sina mahaba Niue na urusi, wrote urusi na marekani ni mabeberu tu, na hutaweza kunibadirisha msimamo wangu kwa hoja dhaifu sana,

Nimekuuliza swali dogo tu, lakini una puyanga, rahisi sana unadai klimea ni eneo la Russia ina maana United Nations hawajui hilo isipokuwa wewe na Wikipedia tu? Kama sivyo kwanini UN hawatambui kuwa ni eneo halali la Russia?! Ukijibu hapa nitakuelewa!
Nadhani unaweza kujibu kwa uelewa wako, ndivyo unavyoelewa wewe, sasa usilazimishe nami nifikiri kwa kiwango cha uelewa wako mkuu, na kudai ni "ubishi" ingekuwa wote tunauelewa mmoja hata Maendeleo yangechelewa kufika.

Hoja yako unasema ni eneo la Russia sababu mwaka 1954 walilikabidhi kwa Ukraine kutokana na urahisi Wa utawala, hutaki kuona kuwa Russia walilivamia (occupied) wakalimega (segregated) na kulitenga (annexed)) na Ukraine baada ya kulivamia eneo hilo! Upeo huo hujafikiria bali umeanzia hapo kwenye sababu ya kulikabidhi kwa Ukraine! Kwahiyo ndugu South Africa kuivamia Namibia na kuja kuipa Uhuru 1990 inahalalisha kuwa eneo la south Africa?! Uingereza kuitawala Zanzibar na kuipa Uhuru 1963 kisha ikirudi na kuivamia ni halali? Klimea ilitawaliwa na nchi nyingi kuanzia Roma, ugiriki, Ufaransa enzi za Napoleon, Uturuki enzi za Ottoman, ujerumani enzi za Adolf Hitler, ikaja kukombolewa na Russia aliyekuwa mvamizi wake toka miaka ya 1700 kisha Mwaka huo 1954 ilirudishwa kwa Ukraine kama eneo lake halali.

Na ndio maana dunia nzima inatambua Klimea ni eneo la Ukraine halali, mpaka Leo hii hakuna nchi iliyotangaza kutambua unyakuzi huo Wa Russia klimea, hata Umoja Wa Mataifa umekataa kutambua hilo, Ramani zote Mpya zinazotoka sasa bado zinaonyesha kuwa klimea ni eneo la Ukraine.

Nimewauliza ina maana UN na wanadiplomasia wote hawajui kuwa klimea lilikuwa eneo la Russia isipokuwa nyie humu Jamiiforum?!

Tuache ushabiki na mapenzi binafsi tusome historia, mvamizi hawezi kuwa mmiliki kamwe.
Hapa nimecheka kidogo mkuu, tunatofautia uelewa Wa mambo sana, na sidhani kama ni sahihi kutulazimisha wote tufikiri kwa uelewa wako, au tuwe na kiwango kimoja cha uelewa mkuu, huu ni mtazamo finyu sana na kubana maoni na mawazo ya watu.

Hebu tuangalie unadhani uturuki ni hatari kwa marekani (kwa mtazamo wako wewe), nadhani una mwangalia marekani kama vile Palestine au Iran.

Marekani sio dhaifu hivyo mkuu, uturuki ni nchi dhaifu sana compared na marekani kuanzia kijeshi, kiuchumi, intelligence hadi ushawishi.

Kumbuka kuwa Marekani tayari ana kambi mbili ndani ya nchi ya uturuki ikiwemo na makombora ya nyuklia madhariki mwa uturuki.Marekani ana intelegencia kubwa sana ndani ya uturuki ambayo amekuwa akiendesha mapinduzi nchini humo. Marekani ndiye anayempatia uturuki asilimia 80% ya silaha zake. (Na tayari amesitisha program ya Ndege za F 35 na uturuki baada ya kununua S 400 ya Russia) Marekani ni m-bia mkubwa Wa biashara na uturuki akiwemo na umoja Wa ulaya hasa ujerumani na Italy. (Wakimbinya hawa kiuchumi mfano vikwazo tayari uturuki hana ujanja) hata akikimbilia Russia kiuchumi haina uwezo huo kumsapoti.

Umesema kurudi upya kwa himaya ya Ottoman ni hatari kwa Marekani how?! Inaweza kuwa tisho kwa rivals wake kama Egypt, saudia, Bahrain na UAE, kwa marekani bado sana, Turkey anapambani ushawishi na maslahi ya kiuchumi angalia Mzozo Wa uchimbaji gesi na ugiriki, Libya na Qatar. Pia ana pambania ushawishi eneo hilo la mashariki ya kati. Kumbuka Marekani sio mjinga alale na kuiacha turkey Ku dominated that region!

Kuiunga mkono hamasi kifedha sio tisho kwamarekani kama ambapo Iran anaunga mkono kijeshi kwakupeleka marocket na silaha pamoja military technology kwa hamasi, nchi nyingi zinasaidia hamasi na Palestine kifedha kama humanitarian aid ikiwemo Malaysia na Indonesia. Lakini sio tisho kwa marekani wala Israel. Kumbuka kuwa Uturuki bado ina uhusiano Wa kidiplomasia na Israel na inaitambua Israel tofauti na Iran.

Uhusiano Wa marekani Na uturuki haujaharibika tu baada ya marekani kutambua Jerusalem kama capital ya Israel Bali uliharibika baada ya kufanyika jaribio la mapinduzi uturuki dhidi ya Tayep Erdogan na erdogan kuishutumu marekani kuwa nyuma ya jaribio hilo ikimsaidia kiongozi Wa kiislam anayeishi marekani.

Uturuki chini ya erdogani ina fuata msimamo mkali nafahamu kama misri chini ya Mohamed Mossi Wa Islamic brotherhood aliyepinduliwa na Sise. Lakini sio tisho bado kama Iran haijafika hapo, na lolote linaweza kutokea kuanzia mapinduzi mpaka assassination! Marekani bado ina majeshi na ujasusi mkubwa turkey! Bado sio tisho kihivyo kwa marekani kama Urusi au Iran.
Wewe hujui historia ya mataifa kabla ya kuwepo UN wala League of Nations. Kipindi cha zamani haya yalitokea nchi nyingi sana leo hii huwezi anza kuqndika upya historia kutaka kila eneo lililokwapuliwa lirudishwe. Soma hapa kuhusu US na Mexico:

"In 1846, everything changed. War broke out between the U.S. and Mexico over the U.S. annexation of Texas. Mexico was defeated, and in 1848 the two nations signed the Treaty of Guadalupe Hidalgo. This treaty gave the victorious nation an enormous amount of land, including what would later become the states of California and Texas, as well as parts of Colorado, Arizona, New Mexico, Utah and Nevada, in exchange for a token payment of $15 million."

Leo hii huwezi kumwambia Mexico adai eneo lake kwa US. Bado kuna nchi kama Germany ilichukua majimbo ya Alsace na Lorraine. Huwezi itaka China ivunjike irudishe dynasty za zamani kama Qing.

Hiyo ramani ya Urusi ni kubwa kwa sababu iliweza kushinda vita zote za maadui wa kipindi kile akina Ottoman Empire, Sweden, Britain, France na wengine. Hiyo Crimea ilitolewa kwenye milki ya Ottoman Empire na Russia wala sio kwenye milki ya Ukraine. Prince aliyeanzisha Russia miaka ya 800 mwishoni alianza na Moscow pekee akaendelea kumiliki maeneo ya jirani na walipofata kina Ivan the Terrible na Catherine walipigana na maadui kulinda nchi. Nani hajui kuwa Napoleon alishindwa vita nchini Russia wakati kwingine alipita.

Baada ya UN kuwa na resolutions na mikataba kusainiwa ndipo nchi yoyote inayovamia inakiuka mikataba hiyo. Israel kwa sasa anakataliwa annexation ya Jerusalem kwa sababu hii.
Yani unataka sheria ya 1940s ikabadili ramani za 1700s? Dunia si itachafuka kwa vita.
Wakuu naomba kujuzwa zaidi kuhusu hizi air defense system kuharibiwa kirahisi katika mgogoro huu wa Nagono-Karabah.

Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu huu mgogoro lakini kuna jambo linanishitua sana kuona mifumo ya ulinzi wa anga kama S-300 ,Osas na Kub kuharibiwa tena ndani ya muda mfupi pia eti kwa kutumia drone tu tena siyo stearth!

Maana katika mgogoro huu wrote Armenia na Azbaijan wanatumia ndogo za kizazi cha zamani kidogo kama SU-25,24 MIGs nk..sasa hapa imekaaje !?

Na je hii haiwezi kuharibu soko LA mifumo hii ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Narudia tena. Israel na uturuki ni marafiki wakubwa
Inavyo onekana ww sio mfatiriaji wa siasa za kimataifa,haya tuwekee vigezo vinavyo sababisha mpaka ww unawaita marafiki wakubwa.
 
Wewe hujui historia ya mataifa kabla ya kuwepo UN wala League of Nations. Kipindi cha zamani haya yalitokea nchi nyingi sana leo hii huwezi anza kuqndika upya historia kutaka kila eneo lililokwapuliwa lirudishwe. Soma hapa kuhusu US na Mexico:

"In 1846, everything changed. War broke out between the U.S. and Mexico over the U.S. annexation of Texas. Mexico was defeated, and in 1848 the two nations signed the Treaty of Guadalupe Hidalgo. This treaty gave the victorious nation an enormous amount of land, including what would later become the states of California and Texas, as well as parts of Colorado, Arizona, New Mexico, Utah and Nevada, in exchange for a token payment of $15 million."

Kwanza nikuhakikishie historian ya marekani naijua vizuri sana, tangu kufika kwa kina Christopher Columbus, kufika kwa ufaransa Kule Mississippi river, kufika kwa waingereza majimbo 13 ya mashariki mwa marekani, mpaka vita ya wenyewe kwa wenyewe kati ya kusini na kaskazini, historia ya kutekwa kwa majimbo ya Texas na new Mexico!

Kuhusu historia ya the league of nations iliyokuwa Switzerland mpaka vita kuu ya Pili iliyokuja kuua league of nations na kuanzisha United Nations Kule new York, hii kwangu ni hadithi za kitoto sana!
Leo hii huwezi kumwambia Mexico adai eneo lake kwa US. Bado kuna nchi kama Germany ilichukua majimbo ya Alsace na Lorraine. Huwezi itaka China ivunjike irudishe dynasty za zamani kama Qing.

Pengine hujaelewa nilichouliza au umepotosha swali makusudi ili kupoteza jibu!

Hakuna mahali niliposema eti kila sehemu iliyonyakuliwa zamani basi irudishwe, Nope!

Ingekuwa hivyo basi hata Burundi na Rwanda zilinyakuliwa na uingereza kwa Dutch East Africa ya kijerumani ingebidi Nyerere azidai nchi za Burundi na Rwanda kutoka kwa Uingereza aliyempa Ubelgiji kama zawadi ya kumsaidia kumshinda ujerumani vita kuu ya kwanza 1914-18 zirudishwe kuwa sehemu ya Tanganyika maana uingereza hakuwa mkoloni Wa Tanganyika (kama Kenya na Uganda) Bali alipewa tu hadhi maalum yakuwa protectorate(mwangalizi mpaka hapo tutakapo kuwa tayari kujitawala) Hivyo hakuwa na mandate ya kuigawanya Tanganyika dutch east Africa!

Sijasema popote kudaiwa kwa maeneo hayo yaliyonyakuliwa! Hoja yangu ilikuwa hivi,

Eneo la Klemia lililokuwa limekaliwa na Russia kimabavu lilisharudishwa kwa mwenyewe Ukraine 1954! (Lilishapewa Uhuru) kama Hong Kong ilivyopewa Uhuru na uingereza kupewa mwenyewe China mwaka 1997! Na Macao kutoka kwa Portugal kupewa mwenyewe China!

Sasa unarudi vipi na kulinyakua eneo ambalo ulisharudisha kwa mwenyewe?! Dunia itakuelewa?! Hii ndio hoja hapa Klemia lilisharudishwa kwa mwenyewe Ukraine kutoka kwa mkoloni Mrusi, sijasema popote nchi zidai maeneo yao yaliyonyakuliwa vinginevyo dunia itasambaratika! Japo Israel inayadai maeneo yake kutoka kwa Palestine sitaki kuingia huko!

Hiyo ramani ya Urusi ni kubwa kwa sababu iliweza kushinda vita zote za maadui wa kipindi kile akina Ottoman Empire, Sweden, Britain, France na wengine. Hiyo Crimea ilitolewa kwenye milki ya Ottoman Empire na Russia wala sio kwenye milki ya Ukraine. Prince aliyeanzisha Russia miaka ya 800 mwishoni alianza na Moscow pekee akaendelea kumiliki maeneo ya jirani na walipofata kina Ivan the Terrible na Catherine walipigana na maadui kulinda nchi. Nani hajui kuwa Napoleon alishindwa vita nchini Russia wakati kwingine alipita.

Hii pia ni mada nyingine ambayo sitaki kuikuza tutashinda tukibishana hapa! Napoleon Bonaparte alishindwa vita Russia wakati kwingine alipita???? Hivi unajua kuwa Napoleon alipigwa na uingereza na wakamkamata na kuja kumfunga kama mtumwa kisiwa cha Afrika magharibi mpaka mauti yake?! Tuyaache haya ya Napoleon!

Hoja kwamba Russia ilinyakua (annexed) Klemia kutoka kwa Ottoman kwenye vita vya Russo -Turkey war sio ithibati kuwa eneo ni la Russia kwani wote walikuwa mabeberu imperialists, ni vita kama vya Ujerumani na Mwingereza hapa Tanganyika haiwezi kuhalalisha eti kwakuwa uingereza ilinyakua Tanganyika kutoka kwa ujerumani basi ni eneo lake halali! Au kwavile Uingereza ilinyakua Zanzibar kutoka kwa Mwarabu na sio mwafrica basi Zanzibar ni eneo halali la uingereza au wamrudishie mwarabu ndio sahihi! Ukweli ni kwamba wote uingereza, ujerumani na mwarabu walikuwa mabeberu tu! Kama walivyokuwa Turkey na Russia ( Klemia tayari walishakaliwa na Roman empire and Greek empire before Ottoman and Russo empire).
Baada ya UN kuwa na resolutions na mikataba kusainiwa ndipo nchi yoyote inayovamia inakiuka mikataba hiyo. Israel kwa sasa anakataliwa annexation ya Jerusalem kwa sababu hii.
Yani unataka sheria ya 1940s ikabadili ramani za 1700s? Dunia si itachafuka kwa vita.
Ndipo napoona unabisha kitu kirahisi kabisa! Sheria ya mwaka 1940's ikabadili ramani ya 1700s vipi wakati Klemia ilisharudishwa (kupatiwa Uhuru) na Russia mwaka 1954?! Hivi mwaka 1945 na 1954 unaelewaje kaka?! (Kwahiyo uingereza ikaivamie hong kong na kudai ni eneo lake tangu miaka ya 1700s mpaka 1997 kwasababu sheria ya UN ya mwaka ya 1940 ni mapema mno?!

Hapa ndipo unaposhindwa kujibu swali langu rahisi sana! Kama Klemia ni sehemu ya Russia kwanini UN haiitambui kama sehemu halali ya Russia?! Unazani jumuiya ya Kimataifa hawajui kuhusu historia ya Klemia?! Why not recognized it as part of Russia?!
 
Uturuki ni wajanja sana, wanamlaani United Arab Emirates (Dubai) kwakuanzisha uhusiano Wa kibalozi na Israel, wakati yeye Uturuki ana uhusiano Wa kibalozi na Israel miaka nenda rudi,

Alafu anatokea mtu anakwambia eti Uturuki ni hatari kwa Marekani na Israel, seriously?! Ukimpinga anakuita wewe mbishi, hata mambo haya yanahitaji uelewa mpana sana! Sio kuangalia maneno ya kwenye media na wanasiasa wakina erdogani, wakati kwenye field mambo ni tofauti kabisa! Uturuki ana uhusiano Mzuri sana na Israel tukiacha maneno yake ya kisiasa kujifanya anaiunga mkono hamasi wakati matendo ni tofauti kabisa!
Kwani kuwa na mahusiano ya kidipromasia ndio kuwa marafiki ?
Mbona Iran na Saudia wa uhusiano wa kibalozi lakini ni maadui wakubwa?
Mbona Marekani na Urusi wana uhusiano wa kibalozi lakini ni maadui? jaribu kutumia akili basi.
 
Ahahaaa kweli wewe una mahaba Niue na Russia, hata avatar yako imefanana na kituo cha habari cha television ya Russia cha RTI...

Pengine ungetumia akili kidogo tu ungegundua mapungufu yako! Hoja ilikuwa hivi, uturuki ni tishio kwa marekani?! Jibu nikasema hapana sio kama Irani na urusi, maana turkey hajahatarisha maslahi yoyote kwa marekani.

Mkaleta hoja uturuki hajahatarisha vipi wakati anawasiadia hamasi kifedha?! Nikajibu kuwa kuisaidia hamasi kifedha sio ishu hata Malaysia, Indonesia Na ujerumani wanatuma fedha Palestine as humanitarian aid, lakini tishio ni Irani anayetoa support ya silaha na military technology kwa hamasi na sio uturuki.

Nikasema uturuki ana mahusiano mazuri na Israel kuanzia kidiplomasia hadi kiuchumi, na alivyo MJANJA anawakosoa wenzake wanaoanzisha uhusiano Wa kidiplomasia na israel, kama Emirates wakati yeye uturuki ana uhusiano huo na Israel!

Uturuki hajawahi kutuma silaha kwa hamasi, wala kuishambulia Israel kijeshi kama Egypt, Syria, Jordan na Iraq mwaka 1967.

Uturuki amekuwa na ubalozi Israel Kitambo sana! Wamekuwa na uhusiano Mzuri sana kiuchumi, kuliko hata nchi za kiarabu (kumbuka uturuki na Iran sio waarabu japo ni waislam).

Uhusiano kati ya Israel na Uturuki umeanza kuonekana wakirushiana maneno kipindi hiki cha erdogani, tena ni maneno tu yakisiasa pasipo matendo yoyote! Kwenye field Israel ana uhusiano Mzuri sana na Uturuki kuliko hata baadhi ya nchi za kiarabu!

Hii ndio point hapa!
 
Mapigano mapya yalizuka mchana huu na kuacha vifo vya watu saba na majeruhi 33 katika mji wa Ganja nchini Azerbaijan.

Msingi wa hii vita umelalia kwenye miaka ya 1990s ambapo Azerbaijan walipata uhuru wao kutoka ilokuwa USSR na Armenia wao wakajitenga wakiwa kwenye kajisehemu kao lakini kalichopo ndani ya Azerbaijan.

Hicho kipande cha ardhi ambacho Armenia wanataka kiwe ni nchi kamili na huru ndiko kanaitwa Nagorno-Karabakh.

Armenia ina mkataba wa kijeshi na Russia yaani Treaty na Azerbaijan wao wanasaidiwa na Uturuki.

Pia Armenia ina uhusiano na Iran.

Kwa upande wa Russia anaona kwamba si salama watu kupigana nyuma ya uzio wake.

Upande wa Uturuki na raisi Erdogan wanasadikiwa kuitengeneza upya himaya ya Ottoman na Uturuki inawaona hawa Warmenia kuwa ni kikwazo.

Hapohapo yaonekana Syria na Uturuki wanaonekana wako nyuma ya Azerbaijan na bila kuwasahau Israeli ambao hawajionyeshe wazi kuwa wako upande wa Azerbaijan.

Hivyo Russia ana tatizo la vita kutengenezwa ndani ya eneo hilo ambapo vita hiyo ikikolea itasambaa hadi eneo la mashariki ya kati.

Na hiyo ni baada ya Russia pia kushtukia mchezo unaofanywa kupitia Belarus.

Lakini kwa ujumla hii ni sehemu ya vita ya kutafuta maeneo ya kujihami kati ya mataifa makubwa yaani geopolitical war na hapa wahusika wakuu ni Russia, Marekani,Iran na China.
 
Mapigano mapya yalizuka mchana huu na kuacha vifo vya watu saba na majeruhi 33 katik amji wa Ganja nchini Azerbaijan.

Msingi wa hii vita umelalia kwenye miaka ya 1990s ambapo Azerbaijan walipat auhuru wao kutoka ilokuwa USSR na Armenia wao wakajitenga wakiwa kwenye kajisehemu kao lakini kalichopo ndani ya Azerbaijan.

Hicho kipande cha ardhi ambacho Armenia wanataka kiwe ni nchi kamili na huru ndiko kanaitwa Nagorno-Karabakh.

Armenia ina mkataba wa kijeshi na Russia yaani Treaty na Azerbaijan wao wanasaidiwa na Uturuki.

Pia Armenia ina uhusiano na Iran.

Kwa upande wa Russia anaona kwamba si salama watu kupigana nyuma ya uzio wake.

Upande wa Uturuki na raisi Erdogan wanasadikiwa kuitengeneza upya himaya ya Ottoman na Uturuki inawaona hawa Warmenia kuwa ni kikwazo.

Hapohapo yaonekana Syria na Uturuki wanaonekana wako nyuma ya Azerbaijan na bila kuwasahau Israeli ambao hawajionyeshe wazi kuwa wako upande wa Azerbaijan.

Hivyo Russia ana tatizo la vita kutengenezwa ndani ya eneo hilo ambapo vita hiyo ikikolea itasambaa hadi eneo la mashariki ya kati.

Na hiyo ni baada ya Russia pia kushtukia mchezo unaofanywa kupitia Belarus.

Lakini kwa ujumla hii ni sehemu ya vita ya kutafuta maeneo ya kujihami kati ya mataifa makubwa yaani geopolitical war na hapa wahusika wakuu ni Russia, Marekani,Iran na China.
Nikweli uliyoandika, ila nikusahihishe kidogo mkuu, Syria haipo nyuma ya Azerbaijan! Labda kama unaongelea waasi Wa Syria Wa free Syrian army wanaoungwa mkono na Uturuki ambao inasemekana kiasi cha wapiganaji kama 300 au 400 hivi wamepelekwa Azerbaijan na uturuki kuisaidia japo uturuki na Azerbaijan wamekanusha na kudai ni propaganda!

Rais Wa Syria Asad aliongea na kituo cha Russia na kumshambulia Rais Wa Uturuki Tayep Erdogani kwa kile alichodai kuchukua wapiganaji nchini syria kuwapeleka kuishambulia Armenia! Kwahiyo Syria haipo nyuma ya Azerbaijan, Azer wanasaidiwa na Turkey na Israel kama ulivyosema, Iran Na Russia wapo kwa Armenia.
 
Ni "grey" area hii lakini taarifa zilizopo za kijasusi ni kwamba waasi wa Syria na hata kutoka Libya ambao wanaungwa mkono na CIA wapo wakipigana mjini Karabah.

Kijiografia Armenia imesimama kati ya bara ya Ulaya, Bahari Nyeusi na mashariki ya kati.

Pia eneo hilo ipo sehemu ijulikanayo kama Caucasus ambayo ni sehemu ilosheheni mafuta na hapo ndipo mataifa makubwa ya kibeberu ndipo yanapopazingira na kumezea mate.

Raisi wa Ufaransa Emmanuel Macron amethibitisha kuwa wanajeshi wa kukodi kutoka Syria na Libya ambao ni wanamgambo wa kiislam wanakodiwa kuipigania Azerbaijan.

Huenda Ufaransa akaingia kuwasaidia Armenia ambao kiukweli hawana nguvu sana kwenye hii.

Hawa wanapitia Uturuki na moja ya stratejia na Marekani katika vita kwenye eneo la mashariki ya kati ni kutoa mafunzo na silaha kwa waasi wa Syria.

Taarifa zingine za kijasusi ni kwamba Azerbaijan ni sehemu ya maandalizi ya kivita yanayofanywa na Marekani na Israeli.

Russia tayari kagundua kwamba makombora ambayo yametupwa kule Armenia kutokea Azeri yametengenezwa na kampuni ya Azad System ambayo ni ya Azerbaijan.

Kampuni hiyo inashirikiana na kampuni ya Israeli ya Aeronautics ambayo inasaidia kiteknolojia.

Hivyo hii vita mlengwa hapo ni Russia kwa sababu alikwishawafyekelea mbali waasi kule Syria lakini akasahau kwamba wataingia Urutuki na kuhifanyiwa.
 
Kwani kuwa na mahusiano ya kidipromasia ndio kuwa marafiki ?
Mbona Iran na Saudia wa uhusiano wa kibalozi lakini ni maadui wakubwa?
Mbona Marekani na Urusi wana uhusiano wa kibalozi lakini ni maadui? jaribu kutumia akili basi.
Kumbe Iran na Saudi Arabia wana uhusiano was kibarozi!?
 
Wengi hamjui hii vita imekaaje kwa upande wa Armenia ndo maana hata Warusi awajatoa msaada wowote ule kwenye Vita hii.Armenia ni mwanachama wa muungano wa kijeshi unaoitwa Collective Security Treaty Organization(CSTO) wenye wanachama 6 ambao ni

*Russia
*Tajikistan
*Belarus
*Armenia
*Kazakhstan
*Kyrgyzstan

Kwa iyo mwanachama mmoja akivamiwa na nchi yoyote ile basi wanachama wengine lazima watume majeshi ili kumlinda mshirika mwenzao.

Ndo maana hata hii vita ya sasa inapiganiwa sehemu 2 tu.kwenye ardhi ya Azerbaijan na upande wa sehemu iliyojitenda ya Nagorno-karabakh.Armenia yeye anapiga kwenye ardhi ya Azerbaijan kwa sababu anajua Azerbaijan hawezi kupiga kwenye ardhi yao kwa kuogopa kuingia kwenye vita na majeshi ya Muungano.

Kwa iyo hii Vita anayeumia sana na Azerbaijan kwa sababu Ardhi yake ndo imekuwa sehemu ya kutest silaha
 
Wakuu naomba kujuzwa zaidi kuhusu hizi air defense system kuharibiwa kirahisi katika mgogoro huu wa Nagono-Karabah.

Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu huu mgogoro lakini kuna jambo linanishitua sana kuona mifumo ya ulinzi wa anga kama S-300 ,Osas na Kub kuharibiwa tena ndani ya muda mfupi pia eti kwa kutumia drone tu tena siyo stearth!

Maana katika mgogoro huu wrote Armenia na Azbaijan wanatumia ndogo za kizazi cha zamani kidogo kama SU-25,24 MIGs nk..sasa hapa imekaaje !?

Na je hii haiwezi kuharibu soko LA mifumo hii ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijafatilia sana ila hizi systems za miaka ya 1980s uko hazikuja kipindi cha smart munitions zikitawala. Kama hizo loitering munitions zimekuwa popular kwenye mapigano haya tu.

Designers wa zamani hawakuwa na idea kwa njia za siku hizi za kushambulia. Nakumbuka ile mwanzo mwa UAE kupeleka silaha Libya walipeleka Pantsir air defence system zikapigwa na droke za Bayraktar BTB za Turkey. Nikaanza kuzichukulia poa ila kumbe zile zilikuwa ni first batch ambazo jeshi la Russia lilizikataa.

Baadae nikajiuliza mbona pale Khmeimim/Hmeimim airbase kule Latakia drones ndogo sana zaidi ya Bairaktar zilikuwa zinadondoshwa tena zikija kwa mkupuo. Nilifatilia nikaona wanatumia layered air defence. Pantsir na Strela kwa low level flight na low range. Medium to high zipo kina S-350 ni latest, long range ndo hizi S-300, S-400 na S-500 ijayo.

Systems kubwa haziwezi ona target ndogo. Unakuta inaona 300km away ila haiwezi kabisa kuona 3km away inategemea na radar imekaaje. Ndo maana kule Saudi Arabia drones zilizogungwa gundi za karatasi ziliharibu mitambo inayolindwa na Patriot. Wiki jana kuna mashambulizi kama matatu yamezuiwa na Saudi Arabia kwa vile washajua threat ilivyo.
 
Back
Top Bottom