Mgogoro kati ya Armenia na Azerbaijan

Mgogoro kati ya Armenia na Azerbaijan

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635] piga keleeee kwa Warusi wakeeeeee!!!!.

Armenia anatumia vizuri silaha za Warusi.wale wanaosemaga Warusi wanauza silaha sio, waje sasa hapa
kuna kindege kime dondoshwa uko na F-16
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635] piga keleeee kwa Warusi wakeeeeee!!!!.

Armenia anatumia vizuri silaha za Warusi.wale wanaosemaga Warusi wanauza silaha sio, waje sasa hapa
Sasa mbona vifaru vimelipuliwa Kwa dakika tu
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635] piga keleeee kwa Warusi wakeeeeee!!!!.

Armenia anatumia vizuri silaha za Warusi.wale wanaosemaga Warusi wanauza silaha sio, waje sasa hapa
Su 25 imeangushwa uko .
 
hawa jamaa siku 3 tu wasesababisha hasara mara 10 ya vita yote ya kagera
IMG_20201001_002328.jpeg
 
Mgogoro huu inasemekana ni wa muda wa karibu miongo minne.
Lakini ulikuja kuwa mkubwa sana baada ya nchi hizi mbili kupata uhuru wao kamili miaka ya 1990 na kuendelea.
Inasemakana Russia inawaunga mkono Armenia huku Uturuki ikiwaunga mkono Azerbaijan.

Leo kumetokea kurushiana risasi, ndege kuangusha vifaru kulipuliwa mpakani mwa nchi mbili huku kisa cha haya ikiwa ni sehemu ya Nagorno-Karabakh inayogombaniwa na nchi hizi. Eneo hili linakaliwa na Warmenia wengi.

Fuatilia mgogoro huu kwa karibu kupitia vyombo mbali mbali vya ulimwengu.
Mimi nimeanza na chombo hiki hapa chini cha habari.

View attachment 1582544

‘Azerbaijan is not alone’: Ankara throws weight behind Baku as fighting rages on over disputed Nagorno-Karabakh region

Hostilities break out between Armenia & Azerbaijan over long disputed Nagorno-Karabakh region, both countries trade blame
Hawa ndugu zake kim kardashian wanapigania nini
 
uzi wa kibabe huu,let me subscribe it [emoji109]
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635] piga keleeee kwa Warusi wakeeeeee!!!!.

Armenia anatumia vizuri silaha za Warusi.wale wanaosemaga Warusi wanauza silaha sio, waje sasa hapa
Hii vita ni very tricky!
 
Pia usisahau kuna drone za Uturuki zimedondoshwa uko
sasa hizo drones ambazo ndani yake hakuna mtu uta fananisha na hizo tanks ambazo ndani yake kuna watu zaid ya wa3 plus ile migari yao inayo beba supplies/weapons na watu ndani yake?
m naona anae umia zaidi ni uyu armenian ambae ndie mvamizi wa ardhi ya watu ingia twitter uone mtanange vzur
 
Hawa ndugu zake kim kardashian wanapigania nini
hawa ni wavamizi waliingia eneo ambalo si lao waka weka makazi mwenye eneo amesema sasa basi ndo maana wamegoma kukaa kuzungumza uyu armenia anapaswa kutoka mahali apo
 
sasa hizo drones ambazo ndani yake hakuna mtu uta fananisha na hizo tanks ambazo ndani yake kuna watu zaid ya wa3 plus ile migari yao inayo beba supplies/weapons na watu ndani yake?
m naona anae umia zaidi ni uyu armenian ambae ndie mvamizi wa ardhi ya watu ingia twitter uone mtanange vzur
We kweli unafatilia vizuri huu mtanange ndugu?.maana video nyingi zinaonyesha jinsi azerbaijan walivyokufa sasa nashangaa unasema Armenia wamepoteza watu wengi.iyo itakuwa Twitter ya buguruni

sasa hizo drones ambazo ndani yake hakuna mtu uta fananisha na hizo tanks ambazo ndani yake kuna watu zaid ya wa3 plus ile migari yao inayo beba supplies/weapons na watu ndani yake?
m naona anae umia zaidi ni uyu armenian ambae ndie mvamizi wa ardhi ya watu ingia twitter uone mtanange vzur
Yani awa Azerbaijan hata sisi Tanzania tuna uwezo wa kuwapiga kabisa maana wana vifaa vizuri ila awana akili ya kuvitumia kabisa.
Ila hii vita inapoelekea naona kama kila upande utakuwa na majeshi ya kutoka taifa lingine maana jana inasemekana ndege ya Uturuki aina F-16 imetungua ndege ya Armenia aina ya Su-25.leo hii mfumo wa ulinzi wa anga wa Iran umetungua ndege ya Azerbaijan pasipo hata kutoa warning yoyote ile
 
Sina upande lakini Inaonyeshea Armenia amechezea kichapo kitakatifu kabla ya Urusi kuingia kati, inavyosemekana usiku huu Ballistics zitatumika ila nahisi itawacost sana, kuna drone kama 4 mda huu za Azerbaijan zimepigwa mfululizo so inawezekana anga ya Armenia now itakua ngumu sana kushambuliwa
 
Back
Top Bottom