Mgeni mpya JF

Mgeni mpya JF

Mdogo wangu malkia, karibu sana JF.

Ushauri kama mama na dada ni mmoja tu "OGOPA WANAUME WA HUMU KAMA UKOMA" wanapenda kutongoza tongoza sana na ni waongo.

Mie mara nyingi naandika kuhusu mapenzi na kufanya mapenzi; editor wangu ni mjomba wako uzuri_hatujuani , akili ikiwa imekaa sawa, naandika mada za kijamii kwenye JAMVI LA WANAWAKE - nenda kasearch huko uelimike.
Usi seme wanaume wa humu, sisi wengine hatuna muda wa kusumbuana na mtu tusiye mjua.
 
Back
Top Bottom