Mgeni mpya JF

Mgeni mpya JF

Mdogo wangu malkia, karibu sana JF.

Ushauri kama mama na dada ni mmoja tu "OGOPA WANAUME WA HUMU KAMA UKOMA" wanapenda kutongoza tongoza sana na ni waongo.

Mie mara nyingi naandika kuhusu mapenzi na kufanya mapenzi; editor wangu ni mjomba wako uzuri_hatujuani , akili ikiwa imekaa sawa, naandika mada za kijamii kwenye JAMVI LA WANAWAKE - nenda kasearch huko uelimike.
anza kumfunda vyema. siku tukiachana niwe na pa kukimbilia
 
Kama hii ni picha yako kweli basi WEWE NI MALI! MBEGU YA DUBEI HII,
Screenshot_20250601_211409.jpg
 
Hello wakubwa zangu

Ninafuraha kujumuika katika jamii forum...letsay nikama mwenyeji maana nimeanza kufuatilia JF kwenye simu ndogo ya batani..

Naombeni muwe Nami jamani mgeni malikia.thanks for all
Nashindwa kujibu pm yako mana kuna tatizo nashindwa kureply, em nitumie namba yako inbox ili nikupe muongozo kamili 😎
 
Back
Top Bottom