Mgeni mpya JF

Mgeni mpya JF

Hello wakubwa zAngu.ninafuraha kujumuika katika jamii forum...letsay nikama mwenyeji maana nimeanza kufuatilia jf kwenye cm ndogo ya batani..
Naombeni muwe Nami jamani mgeni malikia.thanks for all
Mdogo wangu malkia, karibu sana JF.

Ushauri kama mama na dada ni mmoja tu "OGOPA WANAUME WA HUMU KAMA UKOMA" wanapenda kutongoza tongoza sana na ni waongo.

Mie mara nyingi naandika kuhusu mapenzi na kufanya mapenzi; editor wangu ni mjomba wako uzuri_hatujuani , akili ikiwa imekaa sawa, naandika mada za kijamii kwenye JAMVI LA WANAWAKE - nenda kasearch huko uelimike.
 
Hatimae namimi nimeokota dodo kwenye shamba la mchicha!, nitoe tahadhari tu wana jf huyu ni wakwangu atakae taka kumchukua badala yangu awe amejidhatiti kimzimu,kijini na kiganga maana mara hii sitakubali kuliacha hili toto!, hii vita ni ya kihasimu!.
 
Hello wakubwa zAngu.ninafuraha kujumuika katika jamii forum...letsay nikama mwenyeji maana nimeanza kufuatilia jf kwenye cm ndogo ya batani..
Naombeni muwe Nami jamani mgeni malikia.thanks for all
No Reform no Ellection ,hapa hayuna porojo nyingi, unakaribishwa
 
Sawa dada nimekuelewa vizuri Asante
Mdogo wangu malkia, karibu sana JF.

Ushauri kama mama na dada ni mmoja tu "OGOPA WANAUME WA HUMU KAMA UKOMA" wanapenda kutongoza tongoza sana na ni waongo.

Mie mara nyingi naandika kuhusu mapenzi na kufanya mapenzi; editor wangu ni mjomba wako uzuri_hatujuani , akili ikiwa imekaa sawa, naandika mada za kijamii kwenye JAMVI LA WANAWAKE - nenda kasearch huko uelimike
 
Hello wakubwa zAngu.ninafuraha kujumuika katika jamii forum...letsay nikama mwenyeji maana nimeanza kufuatilia jf kwenye cm ndogo ya batani..
Naombeni muwe Nami jamani mgeni malikia.thanks for all
Haya karibu sana weka na namba yako ya simu ili tukukaribishe vizuri
 
Back
Top Bottom