😂😂😂😂Anyway karibu sana Brazaa
NIsameheni sijui nifanyaj utaratibu mnipe ata pm sipajyiduh we una makosa mengi sana
1. Umejiunga tu na kutupatia chai, umesema ulikuwa unafuatilia jf kupitia simu ya "batani". Sawasawa
2. Umeingia tu na kujipa umalkia.
Anyway, karibu sana. Kwanza nikupe siri, Moderator ni Mbaga Jr
Pili, Ukiona kuna mtu anakusumbua niambie nimpe ban
Bonyeza avatar(profile picture) yangu hapo utaona sehemu imeandikwa Start conversation kisha nitumie ujumbe hapo nitakupa maelekezo.Jamani uko pm unaingiyaje nipeni muongozo
Mpaka sasa hajafika pm ili nimpe utaratibu, hawa ndo baadae wanakuja kuwalalamikia mods tunawaonea
Cc Tayana WogBonyeza avatar(profile picture) yangu hapo utaona sehemu imeandikwa Start conversation kisha nitumie ujumbe hapo nitakupa maelekezo.
Selikavu, Intelligent businessman
Anadai kuwa hajui namna kuingia pmMpaka sasa hajafika pm ili nimpe utaratibu, hawa ndo baadae wanakuja kuwalalamikia mods tunawaonea
Weka namba yakoHello wakubwa zangu
Ninafuraha kujumuika katika jamii forum...letsay nikama mwenyeji maana nimeanza kufuatilia JF kwenye simu ndogo ya batani..
Naombeni muwe Nami jamani mgeni malikia.thanks for all
Shauri zakeAnadai kuwa hajui namna kuingia pm
Nimeona, nakuja.NIMeingia wameandika title pale na maneno mengine