Mgeni mpya JF

Mgeni mpya JF

duh we una makosa mengi sana
1. Umejiunga tu na kutupatia chai, umesema ulikuwa unafuatilia jf kupitia simu ya "batani". Sawasawa
2. Umeingia tu na kujipa umalkia.

Anyway, karibu sana. Kwanza nikupe siri, Moderator ni Mbaga Jr
Pili, Ukiona kuna mtu anakusumbua niambie nimpe ban
 
Mpaka sasa hajafika pm ili nimpe utaratibu, hawa ndo baadae wanakuja kuwalalamikia mods tunawaonea
 
Back
Top Bottom