MGEGEDO wake unasimama mara moja kwa mwezi

MGEGEDO wake unasimama mara moja kwa mwezi

Huyu dada ni rafiki yangu sana, nilikuwa nafanya nae kazi ofisi moja kabla sijafukuzwa kazi, alikuwa rafiki yangu sanaa kiasi cha yeye kunipa siri zake za ndani sana.

Tatizo ni kwamba bwana wake anasimamisha mgegedo wake mara moja tu kwa mwezi, leo asubuhi nilikuwa nachat nae whatsapp akaniambia unakumbuka lile tatizo la mume wangu nililo kwambia nikamwambia ndio akasema yaani mwezi uliyopita MGEGEDO wake haujasimama kabisa na mwezi huu ndio hivo unaisha bila jamaa kusimamisha. sasa anajiuliza kuwa yawezekana jamaa siku ilisimama akaenda kumalizia haja zake sehem nyingne au ndio amekuwa hanisi tayari?

sorry ww ni wakiume au gasho
 
Mazito,mungu amzidishie ustahmilivu,aende hospital au huyo jamaa hajisikii ku du au anajua sababu?
inawezekana mwenzioe sababu anaijua yeye anajitabisha tuu... lakini duu anamoyo wa kustahmili...
 
Hivi inakuwaje mtu anatoa siri za chumbani kwake mbele ya watu asiowajua?
 
Mazito,mungu amzidishie ustahmilivu,aende hospital au huyo jamaa hajisikii ku du au anajua sababu?
inawezekana mwenzioe sababu anaijua yeye anajitabisha tuu... lakini duu anamoyo wa kustahmili...

inatokea tu mgegedo wake hausimami
 
MAONI YA KATIBA
1. Wabunge mbunge ambaye atashindwa kutimiza ahadi alizotoa wakati wa kampeni kwa muda wa miaka mitatu, wananchi wapewe mamlaka ya kumwondoa madarakani na nafasi yake apewe alipata nafasi ya pili wakati wa uchaguzi. 2. Wafanyakazi wapewe nafasi ya kuandamana kupewa haki zao ,kusiwepo na ukandamizwaji wa madai yao. 3. Mishahara ya wafanyakazi wote iendane na viwango vya elimu na posho zitolewe kwa kazi zinazofanywa muda wa ziada. 4. Itikadi za vyama zisitawale bungeni ,hoja muhimu zinapotolewa ziungwe mkono bila kujali aliyetoa hoja anatoka chama gani kwa maslahi ya umma. 5. Kuwepo na mfumo maalum wa kujua idadi ya wabunge wanaokubali au kupinga hoja Fulani. Na siyo mwitikio wa NDIYOOOOO au SIYOOOO . Iwepo labda electronic machine katika kila meza ya mbunge ya kuonesha kama anakubali au anapinga hoja fulani. 6. Mbunge yeyote ambaye atabainika anaongea lugha ya matusi ndani ya bunge na hata kwa raia wa kawaida afunguliwe mashtaka na hukumu yake ni kifungo cha miezi 6 na faini ya sh milioni 20. 7. Kuwepo na serikali ya mseto ili kuepusha migogoro ya kisiasa mara kwa mara. 8. Askari jeshi wawe wanashtakiwa kama raia wengine wanavyokutwa na makosa . 9. Wahujumu uchumi wafilisiwe mali zao kupewa kifungo cha miaka 30. 10. Wakuu wa wilaya na makatibu tawala wasiwepo. ( vyeo hivyo vifutwe). Majukumu yao wapewe wakurugenzi wa halmashauri na meya

TUJADILI KWANZI HII KITU YA CCM!
 
Hebu na wewe nenda katest ili uwe na uhakika kuwa Jamaa hasimamishi.....
 
Huyu dada ni rafiki yangu sana, nilikuwa nafanya nae kazi ofisi moja kabla sijafukuzwa kazi, alikuwa rafiki yangu sanaa kiasi cha yeye kunipa siri zake za ndani sana.

Tatizo ni kwamba bwana wake anasimamisha mgegedo wake mara moja tu kwa mwezi, leo asubuhi nilikuwa nachat nae whatsapp akaniambia unakumbuka lile tatizo la mume wangu nililo kwambia nikamwambia ndio akasema yaani mwezi uliyopita MGEGEDO wake haujasimama kabisa na mwezi huu ndio hivo unaisha bila jamaa kusimamisha. sasa anajiuliza kuwa yawezekana jamaa siku ilisimama akaenda kumalizia haja zake sehem nyingne au ndio amekuwa hanisi tayari?
Si umsaidie maze!!!
 
SUPU YA MAWE
sijasema kuwa hakujui ila nimesema wewe unaleta kwa watu usiowajua
 
Last edited by a moderator:
Ina maaana MSIMAMISHO wa jamaa ni siku ya mshahara nini???
 
Kusimama kwa msimu, mkuu pamoja sanaa ....
 
Back
Top Bottom