MGEGEDO wake unasimama mara moja kwa mwezi

MGEGEDO wake unasimama mara moja kwa mwezi

Yaan kama matatizo we rafiki zako ni zaidi ya nchi ya Tanzania
 
Huyu dada ni rafiki yangu sana, nilikuwa nafanya nae kazi ofisi moja kabla sijafukuzwa kazi, alikuwa rafiki yangu sanaa kiasi cha yeye kunipa siri zake za ndani sana.

Tatizo ni kwamba bwana wake anasimamisha mgegedo wake mara moja tu kwa mwezi, leo asubuhi nilikuwa nachat nae whatsapp akaniambia unakumbuka lile tatizo la mume wangu nililo kwambia nikamwambia ndio akasema yaani mwezi uliyopita MGEGEDO wake haujasimama kabisa na mwezi huu ndio hivo unaisha bila jamaa kusimamisha. sasa anajiuliza kuwa yawezekana jamaa siku ilisimama akaenda kumalizia haja zake sehem nyingne au ndio amekuwa hanisi tayari?

Mkuu muambie huyo rafiki yako amfwatilie huyo mume wake yawezekana ni bwabwa msumari


Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom