Ni pm namba yako mahali ulipo,zen tutawasiliana jinsi ya kukutumia dawa!mimi nipo dom!Huyu dada ni rafiki yangu sana, nilikuwa nafanya nae kazi ofisi moja kabla sijafukuzwa kazi, alikuwa rafiki yangu sanaa kiasi cha yeye kunipa siri zake za ndani sana.
Tatizo ni kwamba bwana wake anasimamisha mgegedo wake mara moja tu kwa mwezi, leo asubuhi nilikuwa nachat nae whatsapp akaniambia unakumbuka lile tatizo la mume wangu nililo kwambia nikamwambia ndio akasema yaani mwezi uliyopita MGEGEDO wake haujasimama kabisa na mwezi huu ndio hivo unaisha bila jamaa kusimamisha. sasa anajiuliza kuwa yawezekana jamaa siku ilisimama akaenda kumalizia haja zake sehem nyingne au ndio amekuwa hanisi tayari?
matatizo huwa hayaish ndugu, kwa mganga nilienda na nimeleta mrejesho angalia angalia nyuzi hapo
He!!! Umekuja na ID nyingine?
ID yake ya supu ya mawe wameiunganisha na hii. Ameshaenda kujitambulisha kwenye jukwaa la utambulisho kuwa supu ndiye Mchunguzi huru.
Huo mgegedo huwa inasimama tarehe gani ya mwezi?saa ngapi?na ukisimama huwa unasimama kwa muda ganii??
ID yake ya supu ya mawe wameiunganisha na hii. Ameshaenda kujitambulisha kwenye jukwaa la utambulisho kuwa supu ndiye Mchunguzi huru.
thread zako na wewe...loh!
si imi mkuu, ni rafiki yangu wa kike bwanake ndio mwenye tatz hilo
Kama mleta mada anasema ukweli, kuna mama anaonekana ana mitishamba inayotibu tatizo hili na kutokuwa na hamu kwa akinamama. Usiniulize kama ni kweli bali watu wengi nimeona wanaenda kwake na wenzi wao. Mama huyo anapatikana Bunju B. Kwa vile sina ruhusa yake ya kuweka namba yake, akinipm nitampa ajaribu kama ccm inaweza kuwa juu kila wakati. Ila akifanikiwa itabidi wachukue likizo ya mwaka mzima ili walipize=)....akasema yaani mwezi uliyopita MGEGEDO wake haujasimama kabisa na mwezi huu ndio hivo unaisha bila jamaa kusimamisha. sasa anajiuliza kuwa yawezekana jamaa siku ilisimama akaenda kumalizia haja zake sehem nyingne au ndio amekuwa hanisi tayari?