Mgaya anang'ata Kongoli, ana meno sasa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgaya anang'ata Kongoli, ana meno sasa!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Geza Ulole, Aug 9, 2010.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,065
  Likes Received: 3,992
  Trophy Points: 280
  TUCTA to ask for briefing from all presidential candidates

  By ROSE ATHUMANI, Daily News
  9th August 2010


  THE Trade Union Congress of Tanzania (TUCTA) has said that it will ask all presidential candidates for the October general elections to brief delegates during its annual convention next month on how they will deal with various challenges that affect workers.

  The Union's Acting Secretary General, Mr Nicholas Mgaya, said this in Dar es Salaam ON Monday during a press briefing.

  ''We intend to invite the presidential candidates and learn from them through dialogue how much they know about the plight of workers. We also want to know their way forward in the quest to help improve the situation. They must explain to us how they intend to defend workers rights if elected into office,'' Mgaya explained.


  ''We will decide whom to give the votes at the general meeting in September, after ascertaining that the presidential candidate has the interest of the workers at heart,'' Mr Mgaya, who was presiding over Researchers, Academician and Allied Workers Union (RAAWU) meeting, said.


  Mr Mgaya noted that the plight of workers in the country has not been solved yet explaining that more than half of the funds allocated for salaries in the national budget normally goes into allowances for government officials.


  ''Only 41 per cent of the money allocated for salaries actually goes into salary budgets but 59 per cent goes into allowances for government offices, especially directors and other top government officials. Half of the allowances could have been injected into workers salaries,'' he explained.


  He noted that in 2006/07 alone 113bn/- was spent on allowances for government officials. ''We are not saying that there should not be allowances, but rather half of the allowances should be injected into salaries allocations,'' he added.


  Tucta is pressing for pay increase; improved pension schemes and reduction of taxes. Mr Mgaya says the minimum salary that the government granted was too little compared to the prevailing standard of living.


  ''We had demanded that the lowest salary should be pegged at 315, 000/-. We agreed to go down to 160, 000 but the government maintained that it could afford 135, 000/- but this is still very little,'' he stressed.


  On tax reduction Mr Mgaya said that the one per cent granted by the government was too little and on pension, he noted that they are awaiting for the government to establish an authority to supervise the scheme but still noted that retirees are still facing hardships.


  ''A Member of Parliament who only stays for five years then retires gets 45m/- for pension but a normal worker who works for 40 years gets 4m/-,'' he explained.


  He also revealed that a minister who gets invited to officiate at a workshop receives 1.2m/- from the organizers, while the deputy minister receives 900, 000/- and the Permanent Secretary receives 600, 000/-.


  ''With this kind of money, which a minister receives after officiating, say four workshops in a month, he will not fight for the plight of those receiving low wages because he does not understand the hardships they go through,'' he explained.


  Mr Mgaya advised RAAWU members to choose leaders who cannot be cowed but stand firm in advocating for workers' rights at the RAAWU meeting which was called to deliberate reports and choose a new leadership into power.


  ''This is not an arena for those who are easily scared or those with self interests. This is a place to fight for the rights of those you are leading without intimidation from any corner,'' he said.
   
 2. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,065
  Likes Received: 3,992
  Trophy Points: 280
  Kikwete lazma atoke mbio hapo!
   
 3. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #3
  Aug 9, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Yeye mwenyewe atakwenda nchi za nje kipindi chote cha mkutano, na hivyo kumtuma Tambwe akamwakilishe kwenye mkutano huo.
   
 4. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kwenye nyekundu ni takwimu ya mwaka gani?? Hivi wafanyakazi ni asilimia ngapi ya Watanzania wote? Maana sasa nchi hii inataka kuwa ni wafanyakazi kila siku. Na wangapi ndio wanaopiga kura??? Ufanisi wa hao wafanyakazi ukoje? Wanawahi kazini?? Hawaibi? Rushwa na utendaji wao ukoje? Mbona hatujawahi kuona shirikisho hili likisimama kidete kwenye kuzorota kwa utendaji?

  aanze kwa kuwaambiwa hawa wafanyakazi wajibu wao kwanza ingependeza maana kwa kweli ufanisi wao haueleweki. Ndio maana mara customer service, rushwa, ardhi nk. Hawa wote ni wafanyakazi.
   
 5. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Kikwete kishawaambia wafanyikazi hataki kura zao. Sidhani atakubali kushiriki kwenye mjadala huu.
   
 6. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu kama wewe upo private sector kaa kimya. Kuna watu wetu wa karibu sana wanafanya kazi serikalini kwa kujituma hasa lakini hakuna anayethamini nguvu zao.

  Tanzania's public sector is a main employer and derives about 90% of the economy. Kama unakumbuka enzi za zamani wakati wa mei mosi rais alikuwa akitangaza kuongesha mshahara kwa 10% bei za vitu zinaongezeka kwa 40%. Hii ni kuonesha kuwa unapotaka kuleta maisha bora kwa kila mtanzania basi mlipe vizuri mfanyakazi ili akamuunge muuza nyanya, muuza mitumba etc.

  Hivi kwa nini hujiulizi why kila mtu Tanzania anataka kuwa mwanasiasa hata kama ana taaluma nzuri ya kuendeleza?, Jibu ni kuwa nobody cares. Viongozi wote wa nchi, nasema tena wote hakuna hata mmoja mwenye kuangalia masilaahi ya nchi, what they want is personal gain and interests, colluding with corrupt businessmen to overstate prices of Govt supplies and take 10%.

  Watanzania ni wachapa kazi wazuri sana kama unawalipa kulingana na kazi wanazofanya. Hao unawaongelea wezi, corrupt etc ni jambo dogo tu linalo wasumbua, wengi wao hela wanayolipwa haitoshi kuishi hata kwa wiki moja wakati huo huo kuna mtu analipwa kwa kusinzia mjengoni tu karibia laki tatu kwa siku. Wakurugenzi sina tatizo nao maana kama wanalipwa kutokana na taaluma yao haijalishi ila serikali haina mwenyewe. Yaani ni kama shamba la bibi kuchuma zaidi ya uwezo wako. Chief accounting officer wa nchi, rais kalala usingizi wa pono kwa kuogopa kudhuliwa/kurogwa kwa kuwachukulia hatua wezi rafiki zake.

  Haiingii akilini mtu ana darasa la saba au form four failure anakaa mjengoni kwa miaka 5 akilala na kusema ndiyo anaondoka na 45M wakati Professor aliyefundisha kwa miaka 40 ana staafu na kupewa Tshs 10m au less. Tanzania inahitaji structural change kubwa sana ya kuanzia kwenye siasa mpaka kwenye utendaji. Tunahitaji mtu kama Dr. Slaa angalau kwa miaka mitano tu aturekebishie nchi yetu. Suala la nitawataja, nawajua, halisaidii. Bora kufa kishujaa kuliko kuishi kimbwa koko.
   
 7. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Wewe unamlipa mfanyakazi mshahara ambao hata chakula hautoshi unategemea ufanisi gani? Lets be realistic. ndiyo maana anasema hiyo asilimia 51 inayolipa allowance za wakurugenzi na wengineo zilipe mishahara ili kuongeza ufanisi. Wewe unategemea ufanisi wakati mtu anafanya kazi huku anawaza mchana watoto watakula nini, au atalipaje ada ya mtoto au kodi ya nyumba? Unategemea ufanisi gani hapo?
   
 8. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Huu ni mfano mdogo wa swali nauliza kila siku sipati jibu
  Kwa nini M bunge wa jimbo ambalo limo ndani ya walaya apate mshahara mkubwa kuliko ofisa elimu wa wilaya, mganga mkuu wa wilaya au RPC

  Mbunge huyu huyu anauzuria na kupata posho za kamatai ya ulinzi ya mkoa na wilaya, kamati ya elimu ya wilaya na mkoa na bado kwenye kamati za bunge.

  Tuna manaufacture kizazi cha wanasiasa badala ya watendaji .
   
 9. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkuu mie sipo private sector. Mie ni mtumishi wa Umma, lakini inakera saana namna watumishi wengi wanavyofanya kazi zao. Ni kichefuchefu kwa kweli lazima tuseme ukweli kuna tatizo tena kubwa na wengi wetu huwa hatupendi kusema ukweli kama unatugusa. Rejea post ya Mwanakijiji kero ambazo watu wamezieleza zinaletwa na nani kama si nyingi katika hizo ni hawa watumishi wa Umma!

  Hapo juu unajichanganya kwamba Watanzania ni wachapakazi na hao wanaosinzia si watanzania. Ukisoma malalamiko mengi ya mashirika ya Kimataifa ni kuwa nchi yetu inatatizo la rasilimali watu. Si kwamba watu hapana la hasha application ya taaluma kwenye kazi zao na ufanisi ni wenye kusitikitisha. Mtu wa darasa 7 au 4 kuwa Mbunge hilo ni suala jingine na ni thread nyingine maana ni haohao Watanzania wamemchagua na pia wengine hadi wakidiriki kusema kuwa haijalishi ilhali wanasahau kuwa bunge pia ni chombo cha kutunga sheria na sheria nyingi zinahitaji watu walio na upeo wa kutosha na si blah blah.

  Katika andiko langu sijapinga kuwa maslahi ni madogo, ninachosema ni kuwa nchi kuitwa masikini ni pamoja na kutokuwa na uwezo wa kutimiza basic needs.
   
 10. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #10
  Aug 10, 2010
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 995
  Trophy Points: 280
  Kikwete atakwenda kwasababu he has nothing to lose kwa wafanyakazi.Asipo kwenda haitabadilisha chochote tangu awaambie haitaji kura zao,lakini kwasababu anajua watanzania 70% ni bendera fuata upepo, atahudhuria hili kujaribu kuwavuta wachache.

  Kuna kipindi Kikwete alikuwa na mkutano na watanzania london kabla ya mkutano watu walikuwa wamepania kwa maswali, hata hapo ukumbini iliongelewa sana kuhusu maswali ya kwenda kumuuliza lakini kwenye mkutano waliishia kuchekacheka, hao ni Watanzania amabao wameshaona PM wa UK anavyopigwa maswali na wakati mwingine hata kurushiwa unga. Sita shangaa baada ya mkutano baadhi ya wafanyakazi wakianza kumsifia.
   
 11. O

  Ogah JF-Expert Member

  #11
  Aug 10, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  ......Mkuu Anfaal..............maslahi ya wafanyakazi ni standard na yanatakiwa yakidhi mahitaji muhimu...............nidhamu kazini nikitu kingine........Ufanisi kazini unacxhangiwa na vitu vingi.........maslahi ikiwa inaongoza.............kama wewe ni mtumishi wa umma kuna kitu kinaitwa General orders...........kama huzijui hizo ndio maana tunaishi na mediocres maofisini................viongozi hawajui hata Grneral Orders

  ni kweli kabisa allowance ni nyingi kuliko mishahara huko ofisi za serikali


  .....again ile falsafa yako ya two wrongs sijui unaitumiaje.................yaani unajustfy makosa ya serikali kwenye maslahi ya wafanyakazi na makosa mengine.................vipi mkuu..........
   
 12. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #12
  Aug 10, 2010
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  WanaCCM wa Reading na matawi yote yale unde mama Majar wamuulize JK maswali? Kama watu wanasafiri kutoka UK kuja kushiriki mkutano wa CCM Dodoma na hutusikii imput yao hata moja na mkutano kutawaliwa na akina Bushoke, dokii tutegemee hao kuuliza mwaswali jamani mmmh sijui labda walondoners wengine sio hao waliofungua matawi kila kukicha
   
 13. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #13
  Aug 10, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  JK kama bado ana roho ya binadamu, atakuwa anakumbuka kauli ya kuwabeza wafanyakazi kwa roho ya kujuta. Ila kwa kuwa ni mwanasisa kama wanasiasa walivyo hajutii wala hajaona alichokosa mpaka sasa. Mbaya wapambe wake kina Tambwe wamenaza kubadili upepo eti alinukuliwa vibaya. JK akache mdahalo aende kwenye mkutano wa TUCTA? Mmmh itakuwa ngumu
   
 14. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #14
  Aug 10, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nikiwa kama mfanyakazi nimefarijika sana kuona tucta wanajiandaa kutoa tamko la kuamua ni nani wafanyakazi tumpigia kura hapo oktoba.msimamo ni huu "ni mgombea gani akipata uraisi atajali maslahi ya wafanyakazi na ambae anawajali wafanyakazi na kuomba kura zao" wenye wivu wajinyonge tu ila hii inamtupa tena kiranja mkuu kwani yeye alishasema hahitaji kura za wafanyakazi, naongeza na za wategemezi wetu.'solidarity forever'
   
 15. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #15
  Aug 10, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,862
  Likes Received: 11,978
  Trophy Points: 280
  Hapo ndipo Kikwete na CCM watakapotambua kong'ota ni nani na mbaywayu ni nani, mabadiliko mengi duniani huletwa na vyama vya wafanyakazi TUCTA wakishikilia wanachosema CCM chali.
   
 16. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #16
  Aug 10, 2010
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Tatizo wafanyakazi walio wengi hawajajiandikisha kupiga kura.........!
   
 17. M

  Malila JF-Expert Member

  #17
  Aug 10, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Hata kama hawajajiandikisha,wakiamua kuiangusha CCM wanaweza,wafanyakazi wako ktk nafasi nzuri ya kuuelimisha umma po pote walipo.Polisi,mgambo,jwtz,hujisahau kuwa nao ni waajiriwa,siku wakiacha vibarua ndo utakuta wanapiga kelele.
   
 18. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #18
  Aug 10, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  TUCTA, this is the right time to unleash your powers.No more strikes ,just very simple and polite way of winning a big victory .Secret ballot tarehe 31/10/2010. Wafanyakazi waambiwe kabisa kuwa sasa ndio muda wa kuponyesha donda aliliotia JK ktk mioyo yao siku ile alipoongea na wazee . ALIGOMEA KURA ZETU HADHARANI. SISI TUTAMGOMEA NDANI YA KISANDUKU CHA KURA KILAIINIIIIIII....
   
 19. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #19
  Aug 10, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  CCM watapata long time effect kwa Kauli ya Kikwete kwa upande wowote utakayo-itizama.

  1. Kwanza effort na mbwembwe zote alizozionyesha Kikwete kwenye mkutano ule... sasa zinaonekana kumuondolea a lot of credibility... the whole thing iko well recorded ...na ina ring loud and clear kwenye kila masikio ya aliye sikia .... ataibadilisha je? Let's wait and see ...lakini Taka asitake itamvuruga yeye na wenzake kwa kipindi kirefu cha kutosha...! Na hasa ukitilia maanani kuwa wakati hauko upande wao!!

  2. Hata kama wafanyakazi wengi walisha zira kujiandikisha, lakini faida kwa upinzani ni kubwa ..how? Wataitumia kauli hiyo kwenye majukwaa yao kujenga hoja nyingine mbalimbali kwani ni udhaifu ulioko waziwazi na very clear!

  3. Kuna njia sahihi na njia ambayo sio sahihi kwa CCM kushughulikia swala zima la kauli hiyo. Wakitumia njia sahihi Wataimaliza bila madhara makubwa. Wakiishughulikia kwa njia ambayo sio sahihi .... itazidi kuharibu mambo na kuzidi kuwavuruga....NA Kwa namna hali ilivyo Haionekani kama CCM wanaweza kujituliza na Kuwa sahihi kwenye makosa waliyofanya so? Kuna kila dalili wataijibu kivurugu vurugu! Mmesikia msemaji wao alivyoikanusha !!! So cheeplyy!!!!!
   
 20. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #20
  Aug 10, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,595
  Likes Received: 4,710
  Trophy Points: 280
  Watafanya kampeni ya mtu kwa mtu mpaka kieleweke
   
Loading...