Elections 2010 Mgaya anang'ata Kongoli, ana meno sasa!

tucta tumieni kibwagizo hiki " solidarity with Slaa forever" au "wafanyakazi tushikame na slaa pamoja"
wafanyakazi tafuteni kibwagizo rahisi kuhamasishana kupiga kura na kumchagua Slaa kwani mkwere hahitaji kura zenu na hana pesa zakuwalipa ila anazo za kusafiria nje,kuongeza wabunge,baraza la mawziri,kununua mashangingi,posho,etc.
 
TUCTA muda huu ndio wa kuzichanga karata vizuri ili tumpige chini huyu jamaa.
 
tucta tumieni kibwagizo hiki " solidarity with Slaa forever" au "wafanyakazi tushikame na slaa pamoja"
wafanyakazi tafuteni kibwagizo rahisi kuhamasishana kupiga kura na kumchagua Slaa kwani mkwere hahitaji kura zenu na hana pesa zakuwalipa ila anazo za kusafiria nje,kuongeza wabunge,baraza la mawziri,kununua mashangingi,posho,etc.

Umenikuna sana kaka, naona ni jinsi gani wafanyakazi walivyokichoka CCM (CHAMA CHA MAFISADI).Kibwagizo hiki ni bomba sana na inabidi tukitengenezee wimbo na kukiandika kwenye T-Shirt kama ile ya Wafanyakazi sihitaji kura zenu.Safi sana kaka.
 
Nikiwa kama mfanyakazi nimefarijika sana kuona tucta wanajiandaa kutoa tamko la kuamua ni nani wafanyakazi tumpigia kura hapo oktoba.msimamo ni huu "ni mgombea gani akipata uraisi atajali maslahi ya wafanyakazi na ambae anawajali wafanyakazi na kuomba kura zao" wenye wivu wajinyonge tu ila hii inamtupa tena kiranja mkuu kwani yeye alishasema hahitaji kura za wafanyakazi, naongeza na za wategemezi wetu.'solidarity forever'

Mkuu, sisi wafanyakazi na walipa kodi / wavujajasho wa nchi hii tayari tushajua tunampa kura nani - wakubwa wetu ( Tucta) waje tu wamalizie lakini majibu sisi tunayo tayari, madai yetu ni ya msingi na yanatekelezeka.

CCM imeshaigeuza nchi hii kutoka kwa Wakulima na Wafanyakazi na kuwa nchi ya wafanyabiasha wezi ( wakwepa kodi) na mafisadi. Ni wakati muafaka wafanyakazi tuamke tujikomboe. Natoa wito kwa wakulima wa nchi hii watuunge mkono.
 
yani its a shame kuwa mwana uchumi kiwete hajui jinsi inflation eats the purchasing power of pipo with fixed income kama ss wafanyakazi..!
 
Nikiwa kama mfanyakazi nimefarijika sana kuona tucta wanajiandaa kutoa tamko la kuamua ni nani wafanyakazi tumpigia kura hapo oktoba.msimamo ni huu "ni mgombea gani akipata uraisi atajali maslahi ya wafanyakazi na ambae anawajali wafanyakazi na kuomba kura zao" wenye wivu wajinyonge tu ila hii inamtupa tena kiranja mkuu kwani yeye alishasema hahitaji kura za wafanyakazi, naongeza na za wategemezi wetu.'solidarity forever'
hakuna lolote hao wafanyakazi ni wasanii tu kwani si walisema wanagoma mara wakapigwa mkwara asiyeripoti kazini hana hajira wakarejea kazini wote tena kwa woga mbona hawakuendeleza mgomo wao sasa hivi ndo wanajidai kutishia nyau mtu mzima?sema watasaidia chama kitakachoshinda kisishinde kwa kishindo ah ah ah najua unakijua chama kitakachoshinda.:frusty:
 
Jk lazima aje atubu na kuomba msamaha mbele ya TUCTA kwa kauli yake,ni nchi nyingi tuu mapinduzi ya nchi yameletwa na wafanyakazi.
TUCTA ni muda muafaka kila mgombea ajicommit atawafanyia nini wafanyakazi personally katika suala la kodi ambayo ni kubwa mno ie PAYE.
Mbaya zaidi kodi unakatwa ukidhani utapata unafuu wa maisha ukienda police ata karatasi ya kuandikia waambiwa kanunue,uko mahospitalini ndo roho ata wazee wanapigwa dana dana.Wanaweza sema ela ztumika kujenga barabara but ukiangalia barabara nyingi ni misaada kama ya iringa-iyovi,songea-namtumbo,sumbawanga-tunduma
 
Kwenye nyekundu ni takwimu ya mwaka gani?? Hivi wafanyakazi ni asilimia ngapi ya Watanzania wote? Maana sasa nchi hii inataka kuwa ni wafanyakazi kila siku. Na wangapi ndio wanaopiga kura??? Ufanisi wa hao wafanyakazi ukoje? Wanawahi kazini?? Hawaibi? Rushwa na utendaji wao ukoje? Mbona hatujawahi kuona shirikisho hili likisimama kidete kwenye kuzorota kwa utendaji?

aanze kwa kuwaambiwa hawa wafanyakazi wajibu wao kwanza ingependeza maana kwa kweli ufanisi wao haueleweki. Ndio maana mara customer service, rushwa, ardhi nk. Hawa wote ni wafanyakazi.

wasipolipwa vizuri wataacha kuiba? Unategemea ufanisi mzuri katika masingira ya dhuluma?
 
""Sizitaki kura zenu wafanyakazi" ni mtaji tosha wa mabadiliko Tanzania...Mdharau mwiba guu huota tende
 
Yes Mgaya, you are really for people. I admire you. It is now time for presidential aspirants to commit themselves to workers. Workers therefore should campagn and vote with solidarity they always sing for. I'm worried if workers are ready for change. History of change always starts with workers unions. It is time for you works.
 
Jk lazima aje atubu na kuomba msamaha mbele ya TUCTA kwa kauli yake,ni nchi nyingi tuu mapinduzi ya nchi yameletwa na wafanyakazi.
TUCTA ni muda muafaka kila mgombea ajicommit atawafanyia nini wafanyakazi personally katika suala la kodi ambayo ni kubwa mno ie PAYE.
Mbaya zaidi kodi unakatwa ukidhani utapata unafuu wa maisha ukienda police ata karatasi ya kuandikia waambiwa kanunue,uko mahospitalini ndo roho ata wazee wanapigwa dana dana.Wanaweza sema ela ztumika kujenga barabara but ukiangalia barabara nyingi ni misaada kama ya iringa-iyovi,songea-namtumbo,sumbawanga-tunduma

Huyu hastahili kusamehewa, kitendo alichotufanyia wafanya kazi ni sawa na uhaini na uasi, anastahili hukumu na hukumu yake itapatikana kwenye sanduku la kura.
 
""Sizitaki kura zenu wafanyakazi................................................
UNAJUA MAANA YA KAULI HII? MAANA YAKE NI HII HAPA CHINI
1.Mishahara yenu hinisaidii
2.Sina shida nazo kwakuwa naishi pazuri
3.Umeme haukatiki kwangu
4.Silijui joto ingawa naishi DSM. Nyumbani, Ofcn, ******, Ukweni,Garini, Ndegeni nina AC ya ukweli
5.Sina shida ya Maji kama ninyi
6.Sipati shida ya kukaa foleni masaa 6 niendapo ofcn au mke wangu aendapo markiti
7.Watoto wangu hawana shida na hawatapata shida kwa zaidi ya miaka 50 ijayo

I HAVE NOTHING TO LOOSE therefore MSINIPE KURA ZENU!!
 
Hizi kampeni za kwenye mitandao hazitatusaidia sana, we need to go out there na kuwambia wapige kura haya tunayoyahubiri hapa! Wafanyakazi waliowengi ndio wasomi wa nchi hii, na hao ndio wamekuwa wakiiangusha nchi hii for many years....coz wanajua ukweli wa mambo lakini they don't act accordingly.......! We need to have a realistic change...sio tunaongelea mabadiliko ya kinafiki tu...! tuje tusikie waliopiga kura ni 5million people kati ya 20 million waliojiandikisha.....this is shame!
 
Tutaona sasa kama Tambwe ataweza kutamba na kauli mbofu mbofu za mwenyekiti wake!
 
Kwa kiongozi mkubwa kama Rais Ukichemka tu kwenye kauli zako unapo hutubia Taifa au eneo lililowakusanya watu wenye itikadi tofauti ina kula kwako bila ubishi hizo kauli alizo zitoa JK ingekua ni Media za UK au any European Countries ange koma hapa naona sijui media hazina ukomavu au, Hapa kwetu ni nchi nzuri sana viongozi hujiropokea tuuuuu basi wakijua fika media ya hapa imelala na inapenyeka kwa njia zozote i mean njaaa hizi njaaaa zitatua ua sana.

Hii kauli nashindwa elewa ivi JK mwenyewe alisha kanusha useme wowote kwa aliyo yasema kwa wafanyakazi? maana nasikia kumeibuka kundi la watetezi CCM kuwa oooh JK hakuwa anamaanisha vile mara hivi sasa ni wakati wa yeye kusema tena iwe kwa upole sio kwa ukali alio utumia siku ile akiwahutubia wazeee wachache wa Dar na Taifa.

Ndio twajua siasa ni fitna na mchezo mchafu na JK mwenyewe analijua hilo sasa nashindwa kumwelewana hata hao viongozi wachache nao toa kauli kama izo sijua huwa wanafanya hivyo makusudi au ni kuudharau umma wa watanzania? au sie ni malimbukeni sana. sasa mjue kwenye siasa kuna fitna na wenzio sasa ndio wanaitumia kama fimbo inatupasa tujifunze haya mambo jamani hata kama wewe ni kiongozi ni ujue umebeba dhamana ya watanzania wote hautawali kwako nyumbani ati au ukoo wenu hii ni Nchi.

Sijui kitengo cha Propaganda CCM huwa hakiko makini kuchambua hotuba ya Rais au ni Rais mwenyewe hujitamkia kwa jazba huku akiwa hana data kamili maana huwezi tu kurupuka huko kama zuzu na kuropoka taifa zima lakutizama alafu kesho yake watu wengine wanakutetea jamani tena ulishakuwa kwenye kitengo cha diplomasia na umeisha deal na mambo ya nje wapi ile hekma yakooo,???

Hizi Immunity zina wapumbaza sana viongozi wetu na kutokuwa makini na ujue huongozi chama fulani ni nchi msije singizia ati oooh propaganda za siasa hizooo!!!! noooo you pave them to tolk by ur lips mistake.
 
Hizi kampeni za kwenye mitandao hazitatusaidia sana, we need to go out there na kuwambia wapige kura haya tunayoyahubiri hapa! Wafanyakazi waliowengi ndio wasomi wa nchi hii, na hao ndio wamekuwa wakiiangusha nchi hii for many years....coz wanajua ukweli wa mambo lakini they don't act accordingly.......! We need to have a realistic change...sio tunaongelea mabadiliko ya kinafiki tu...! tuje tusikie waliopiga kura ni 5million people kati ya 20 million waliojiandikisha.....this is shame!

Mkulu hapo nami nakuunga mkono kwa hilo naona humu twatoa points nzito na wanasoma ni wengi wahusika na watendaji wengi haziwafikii sasa je tufanyeje ili maoni yetu yatoke njee;

Pakichapishwa Jarida la kutangaza haya utashangaaa waliohusika ndani

njia mbadala ni kuchapisha ma copies ya vipeperushi na vigawiwe bure bure huko vijijini na mijini kimya kimya tuu ili ijulikane kuwa ndio hivyo sasa wananchi wameamua.

Au wewe unapendekezo gani??

Mbona sielewei elewi?! Wakati ule ilikuwa ni kipindi kuelekea World Economic Forum(Africa)! Yanakuja kuibuka tena kipindi cha kuelekea kwenye kampeni na hatimae uchaguzi mkuu! What's behind the scene?! Siwezi kum-support kwa sababu i am convinced kwamba huyu jamaa anawatumia wafanyakazi kwa maslahi yake! Vilevile am not convinced coz' naona anapoteza muda wake kv najua ni asilimia ndogo sana ya wafanyakazi wa TZ hii unaoweza kuwaambia fulani ndie anaefaa halafu akakuelewa!
 
Back
Top Bottom