Mgao wa DAWASCO ni balaa, mwenye namba ya wauza maji na magari Ubungo anisaidie


0D62F99F-42B3-4F59-A015-03E0ECFA7D8D.jpeg
 
Mimi kuoga hainisumbui. Asubuhi natoka home nakimbia jogging mpaka Coco beach mgongoni nina begi la nguo.

Nikifika nafanya stretching nikimaliza naogelea pale baharini natumia sabuni ya magadi, najipaka lotion ya Razac nachana nywele navaa nguo za kwenye begi naendelea na mishe mishe.

Desperate times call for desperate measures
 
Hamkujua kuwa kuruhusu vibaka wachukue nchi kupitia wizi wa kura kuna gharama yake?

Acha mpigwe mbele na nyuma(maji na umeme kwa pamoja)ili mjifunze kutetea demokrasia.
 
Tunafungua nchi sasa, hiyo ndio maana sahihi ya mzunguko, nyie hela mnapeleka breweries tu na kwenye "bia tamu" acha sasa water bowser zetu zifanye kazi.. vijana wapate ajira na nyie muoge..
 
Kila siku mnajaa bar tu tunawaangalia, clubs zote mnajaza tunawaangalia, magari bia yako busy tunawaangalia tu.... sasa zamu yetu..

Na huu mchango tunaochangishana huu mwezi majamaa tutawapa hela ya kutosha hili zoezi tunapiga kama mwaka hivi....
 
Back
Top Bottom