Mfungwa Lillian aliye Hong Kong

Wewe unayekula RUSHWA ,,,na WEWE UNAYEKULA MALI YA UMMA JE ?ndy unafanya vizuri?Africa watu wa ajabu sn,,wakati wazungu wakiwapuuza wauza madawa ,,wao Africa ndy wanaona kipaumbele kuwafunga wauza madawa miaka mingi gerezani..ajabu saana,,

Sent using Jamii Forums mobile app

So mnataka mpuuzwe? Wazungu wanawapuuza tu kumbe?

Kwa hiyo sasa hivi Amsterdam na kwingine kwa wazungu mnajipitia tu na mangada yenu hakuna mzungu anatime na nyinyi?

Duh unanidhawishi na uzee huu nitumbukie na mie nikapuuzwe na wazungu
 
Nakula rushwa wapi bro, unayajua maisha yangu jombaa?

Yeyote anayejishughulisha na madawa ya kulevya anatakiwa anyongwe.
 
hawa vijana wa kibongo ni wameweka tamaa mbele wasichokijua ni kuwa wanafanya wanapush hiyo mizigo katika mifumo dhaifu mno,sio kama nchi zingine huko ambako hao madrug lord wana serikali zao na mikono yao ni mirefu,kama itatokea unakamatwa na mzigo basi ni vita kubwa na serikali.

Sasa huku bongo drug lord mwenyewe humjui,na yeye kajificha kwenye kivuli cha siasa,ukikamatwa na akiona anaelekea kumtaja anafilkilia kukumaliza huko huko jela ulipo sasa kuna kazi tena hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MZUNGU anayekufunga miezi sita jela ukiwa na kilo sita ,,,wakati Africa gram 200 unafungwa miaka 30...huoni kama wamepuuza wauza madawa?
So mnataka mpuuzwe? Wazungu wanawapuuza tu kumbe?

Kwa hiyo sasa hivi Amsterdam na kwingine kwa wazungu mnajipitia tu na mangada yenu hakuna mzungu anatime na nyinyi?

Duh unanidhawishi na uzee huu nitumbukie na mie nikapuuzwe na wazungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo amstadam unapigwa miezi 6 na pesa jela unapewa..unarudishwa..kula RUSHWA na ufisadi ni miaka 10 JELA.. Huoni kama wanapuuza?
So mnataka mpuuzwe? Wazungu wanawapuuza tu kumbe?

Kwa hiyo sasa hivi Amsterdam na kwingine kwa wazungu mnajipitia tu na mangada yenu hakuna mzungu anatime na nyinyi?

Duh unanidhawishi na uzee huu nitumbukie na mie nikapuuzwe na wazungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ndy akili za MUAFRICA...kumuacha anayeathiri taifa zima ,,na Ku deal na watu mmoja mmoja....unajuwa MLA RUSHWA ANAATHIRI WATU WNGP?ndy maana China ADHABU NI MOJA,,RUSHWA NA.MDAWA YOTE MIAKA 30 JELA
Mbeba madawa yeyote awe tajiri au masikini inatakiwa afungwe maisha au anyongwe kabisa, Siku ndugu au rafiki yako wa karibu akivurugwa na haya madude utaelewa kwanini hao punda wanapigwa vita.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hawa vijana wa kibongo ni wameweka tamaa mbele wasichokijua ni kuwa wanafanya wanapush hiyo mizigo katika mifumo dhaifu mno,sio kama nchi zingine huko ambako hao madrug lord wana serikali zao na mikono yao ni mirefu,kama itatokea unakamatwa na mzigo basi ni vita kubwa na serikali.

Sasa huku bongo drug lord mwenyewe humjui,na yeye kajificha kwenye kivuli cha siasa,ukikamatwa na akiona anaelekea kumtaja anafilkilia kukumaliza huko huko jela ulipo sasa kuna kazi tena hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app

In this business , Death is the only verdict

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ndio vijana wa kisasa,shortcuts kutaka maisha mazuli ndio kuna kowaponza kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app

Nani asiyetaka maisha mazuri ? , acheni hizo bhana , Wengi ni vile mmekosa connection tu Ndio maana mnaishia kusema hivyo , ila kama mngezipata hyo vocabulary isingekua mdomon mwako

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nani asiyetaka maisha mazuri ? , acheni hizo bhana , Wengi ni vile mmekosa connection tu Ndio maana mnaishia kusema hivyo , ila kama mngezipata hyo vocabulary isingekua mdomon mwako

Sent from my iPhone using JamiiForums
Muuza ngada ni muuaji wa halaiki na adhabu yake inapaswa kua kifungo cha maisha, mtu anayetetea muuaji hua anashangaza sana.
 
wewe nawe bure kabisa,yani connection ya kuwa punda,njoo mtaani kwangu nkupe hiyo conection uende kama kwako ni deal.

Kumbe kuna watu uelewa ni mdogo kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ndy akili za MUAFRICA...kumuacha anayeathiri taifa zima ,,na Ku deal na watu mmoja mmoja....unajuwa MLA RUSHWA ANAATHIRI WATU WNGP?ndy maana China ADHABU NI MOJA,,RUSHWA NA.MDAWA YOTE MIAKA 30 JELA

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye mambo ya kijinga mnakimbilia MUAFRICA, nani kwenye dunia hii anayesapoti madawa ya kulevya? Unaijua athari ya madawa ya kulevya wewe, una mpendwa wako yoyote ameathirika na madawa ya kulevya?

Tamaa zako za maisha ndio uue wengine? Acheni kutetea ujinga bhana.
 
Muuza ngada ni muuaji wa halaiki na adhabu yake inapaswa kua kifungo cha maisha, mtu anayetetea muuaji hua anashangaza sana.

Hivi kwan huwa wanalazimishwa kutumia madawa? Kuna vitu huwa natafakari nakosa majibu lol , kila mtu ana uhuru wa kuchagua maisha yake

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
wewe nawe bure kabisa,yani connection ya kuwa punda,njoo mtaani kwangu nkupe hiyo conection uende kama kwako ni deal.

Kumbe kuna watu uelewa ni mdogo kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Huko uswahilin kwenu you only deal na uchafu sio unga, utaendelea tu kuwasikia real dealers kwenye bomba sio hao wapuuzi wa mtaan kwenu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom